Software muhimu kuwa nazo ktk pc yako (Windows)

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Wadau kwa kawaida kila mtumiaji wa pc anakuwa ameinstall software ktk kompyuta yake kwa kadri ya mahitaji ya matumizi yake,
Mtu anayeshughulika na mambo ya video production na photos atatumia software tofauti na mtu kama accountant, architecture au Djs nk.
Ukiachilia mbali zile software muhimu kwa kazi zako kuna software nyingine ambazo in general ni muhimu kwa usalama,urahisishaji,urekebishaji na usafishaji wa pc yako kuhakikisha inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi hasa kama unakuwa connected na internet

Anti-Virus Software

Hii ndio software ya kwanza kabisa kufikiria kuiweka baada ya kuistall windows yako. kuna virus wengi sana wametengenezwa kushambulia pc yako na antvirus ndio njia pekee ya kukabiliana na hili,
So ni uchaguzi wako utapendelea ipi

Windows Maintenance

These are programs that keep your Windows installation into a shape. As you use your computer day by day its performance may drop because of various issues that are generated with everyday usage.
Hapa zinaongelewa software zitakazo ifanya pc yako ifanye kazi yake kama inavyotakiwa
Ccleaner,
registry easy,
Registry Machenics
nk kwaajili ya kumeintain windows installation na kurepair registry

SpeedUpMyPc kwa kuifanya iwe faster zaidi

Revo Uninstaller au unistaller zingine: inashauriwa kwa ku uninstall vitu bila kuacha mabaki ya registry ktk pc

EASEUS patrition master:For creating and manage disk patrition in windows sysytem

DOWNLOADER
Mara nyingi watumiaji wa pc wanaoingia online hupendelea kudownload vitu mbali mbali kama softwres, miziki, movies nk, hapa kunakuwa kunahitajika downloader itakayo fanya kazi hii kwa ufanisi zaidi na kwaharaka kuliko downloader za browser.
Internet Download Manager: Hii inaaminika na wengi kwa ufanisi wake pia inao uwezo wa kudownload youtube videos, pia zipo
Free Download Manager,
Orbit nk

Archiving Software
Katika dunia ya IT kwa sasa software hii ni muhimu sana kuwa nayo kwasababu vitu vingi sana vinavyokuwa katika internet vya kudownload vina kuwa katika mfumo wa compressed to archives, inahitajika software maalumu kuweza kufungua mafaili haya, so nimuhimu kuwa na software mojawapo ya hizi kufanya kazi hiyo.
WinRAR,
7zip,
Power archiver
nk

MALTMEDIA SOFTWARE
Kwa media player maranyingi wengi wetu ni wapenzi wa kusikiliza muziki lakini Windows media player haisapoti baadhi ya format za muziki, unaweza kudownload muziki au mfano youtube videos hizi hazipo sapported na windows meadia player hapa unahitaji software itakayo weza kuplay hizo format au kuzi convert zinazogoma kwa windows player.
VCL: Hii imeshikilia soko na ni ya kuaminika kwa kuplay format za aina tofau tofauti
Umedownload mafaili yaliyo katika mfumo(iso image) ambao unabidi utumie software kuweza kuhifadhi katika cd/dvd au umeazima cd/dvd unataka kuicopy fasta, unahitaji software hizi
Ashampoo burning studio
Nero nk

PDF READER
Kuna mafaili ambayo yapo katika mfumo wa PDF uwezi kuya fungua kama hauna software ya kufungulia mafaili hayo
Adobe reader
FoxitPhantom nk

TORRENT CLIENT
Asilimia kubwa ya software nilizo zitaja ni za kununua, lipo kimbilio la walala hoi unakwenda ktk torrents site unatafuta software utakayo bure ikiwa na keys au cracked. ila huwezi kuipakuwa hadi uwe na torrent client installed in your pc.
Hapa sasa ndio umuhimu wa torrents client unapo kuja, baadhi ya torrents clients ni
Vuze
Uttorent
Bittorrent nk Je nisoftware gani nyingine unadhani ni muhimu kuwepo katika kompyuta yako?
 
Hiki ndo tunacho kitaka,
Gooooooooooooddddddddddddd!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

This is want we need into our Forum rather thn gosspng,
INFORMATION TECHNOLOGY IS EVERY THING IN THIS GROBALIZATION
 
Kwa kuongezea Kuna hizi za muhimu nadhani kwa kila mtu

  • Office programs - Inaweza kuwa Ms office au Open office.
  • Browser ambazo ndio tunatumia kupata internet My choice ni Firefox nyigine ni chrome na IE.

Nyingine inategeama na mahitaji tofauti ya mtu mtu eg binafsi natumia

  • Hidemyip - zipo application nyingi kama validia. Inaniwezesha sometime kuona vipindi vya BBC ambavyo ni wa ajili ya watu wa UK tu.
  • Adobe CS5- Hii sana sana natumia photoshop na na Dreamwever.
  • Editplus- Hii naitumia atika editing au trubleshooting code za HTML, PHP, JAVA
  • Backtrack- Hii ni nzuri kwa watu wanaopenda kujifunza mambo ya IT security kwa vitendo. BackTrack Linux - Penetration Testing Distribution.
  • Japo si mtaalam sana wa mambo ya simu kuna hii kitu inatumika kufanya analysis ya simu http://psas.revskills.de/?q=node/6. Inaitwa Revskill before ilikuwa inaitwa QMAT
 
Kwa kuongezea Kuna hizi za muhimu nadhani kwa kila mtu

  • Office programs - Inaweza kuwa Ms office au Open office.
  • Browser ambazo ndio tunatumia kupata internet My choice ni Firefox nyigine ni chrome na IE.

Nyingine inategeama na mahitaji tofauti ya mtu mtu eg binafsi natumia

  • Hidemyip - zipo application nyingi kama validia. Inaniwezesha sometime kuona vipindi vya BBC ambavyo ni wa ajili ya watu wa UK tu.
  • Adobe CS5- Hii sana sana natumia photoshop na na Dreamwever.
  • Editplus- Hii naitumia atika editing au trubleshooting code za HTML, PHP, JAVA
  • Backtrack- Hii ni nzuri kwa watu wanaopenda kujifunza mambo ya IT security kwa vitendo. BackTrack Linux - Penetration Testing Distribution.
  • Japo si mtaalam sana wa mambo ya simu kuna hii kitu inatumika kufanya analysis ya simu Downloads | RevSkills. Inaitwa Revskill before ilikuwa inaitwa QMAT
Hapo kwenye red napenda hiyo kitu na nimeidownload tayari lakini inazingua kutumia, ngoja niifanyie mpango mkakati
 
Launchy
Inalaunch program kiurahisi zaidi.

F.lux
Inacontrol rangi na mwanga wa monitor kutegemea na ulipo duniani na jua liko wapi, inapunguza sana maumivu hasa kama unatumia screen yenyw mwanga mkali.

Everything
File searcher yenye speed ya ajabu.

Notepad++
Notepad bora zaidi, hasa kama unaprogram.

WinDirStat
Inaonyesha nafasi kwenye HD inavyotumika kwa kutumia graphs.

TrueCrypt
Unaweza kutengeneza encrypted storage ambayo haiwezi kufunguliwa hata na FBI/CIA au unaweza kuencrypt hard drive nzima.

SumatraPDF
Fastest PDF Viewer.

Comodo Browser
Browser inayotumia same code as Chrome ila haina madudu ya Google ya kufuatilia watu.

DropBox
Sync mafaili kupitia mtandao.

Foobar2000
Mp3 player nyepesi.

CDBurnerXp
CD burner.

Virtual Clone Drive
Software ya kumount disk images, .iso .img etc..
 
Na kwa wale wanaopenda kujifunza na kujaribu kwa vitendo mambo ya web development na web programmin kuna hizi add on ni nzuri sana kwa firefox

Debuging troubleshooting or editing HTML , CSS, Java script inakuwa rahisi na unaona in real time ,effect ya changes unazofanya.
 
kwa kuongezea kuna hizi za muhimu nadhani kwa kila mtu

  • office programs - inaweza kuwa ms office au open office.
  • browser ambazo ndio tunatumia kupata internet my choice ni firefox nyigine ni chrome na ie.

nyingine inategeama na mahitaji tofauti ya mtu mtu eg binafsi natumia

  • hidemyip - zipo application nyingi kama validia. Inaniwezesha sometime kuona vipindi vya bbc ambavyo ni wa ajili ya watu wa uk tu.
  • adobe cs5- hii sana sana natumia photoshop na na dreamwever.
  • editplus- hii naitumia atika editing au trubleshooting code za html, php, java
  • backtrack- hii ni nzuri kwa watu wanaopenda kujifunza mambo ya it security kwa vitendo. backtrack linux - penetration testing distribution.
  • japo si mtaalam sana wa mambo ya simu kuna hii kitu inatumika kufanya analysis ya simu Downloads | RevSkills. Inaitwa revskill before ilikuwa inaitwa qmat

hapo kwenye red mkuu,
aliyetoa mada kasema software zinazorun kwenye windows hapo kwenye red.
By the way backtrack is gud o.s kwa wale wazee wa c.e.h
 
DVDFab 8 Kufungulia password kwenye zile DVD wanazofunga zisinakiliwe.
CuteFTP 8 Professional Kwa ajili ya ku upload website na kuwasiliana na server
FastStone Photo Resizer Hii kitu ni kwa ajili ya kupunguza resolution ya picha. Ni nzuri sana. Na inafungua bulk pictures pia.
PowerISO Kwa ajili ya ku extract ISO images
QuickTime Player Hii player ni muhimu kwa kuwa kuna clips nyingi kwenye net zimewekwa kutumia kitu hii.
USB Disk Security Autorun na threats nyingi ukichomeka kitu chochote kama flash kwenye USB hakiwezi kukatiza. Sasa hivi iko version 6 ni bomba sana.
e-Sword kwa wenzangu mimi Christians huu mtandao wa biblia hii usiikose ni murua sana. Nina versions kama 6 za biblia hapa.
Revo Uninstaller Sifuti tena program kupitia Add/remove program kwenye control panel bali hii inaondoa chafu yote bana bila kubakiza kitu.

7-Zip Hii bana inafanya kazi kama Winrar.
 
mkuu mi natafuta USB disk security yenye key zake
 
Comodo Browser
Browser inayotumia same code as Chrome ila haina madudu ya Google ya kufuatilia watu.

Kwenye red: umenitisha mkuu, ebu tupe ufafanuzi zaidi wanafuatilia watu kivipi? imedibidi ningoe Chrome na kuweka Comodo japo ni copy n Paste ya chrome but nimeipenda.
 
Chrome inatoka kwenye open source project ya Chromium, Comodo nayo inatoka humo humo, wakati Chrome ilipotoka kulikuwa na reports kuwa Google wamechomeka code za kutrack matumizi ya mtandao ya mtu, hii inawawezesha kukuonyesha matangazo kwa ufanisi zaidi.
 
Back
Top Bottom