Software gani nzuri kwa biashara?

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
6,491
10,474
Wadau naamini nimefikisha issue yangu mahali husika, ingawa nilipata tabu kidogo niipost katika jukwaa lipi kati ya hili, sayansi na teknolojia au jf store.

Nina mradi wangu wa duka la bidhaa mbali mbali nahitaji kuistall simple software itakayo nirahisishia mahesabu yangu na kufanya stock taking.itakayo niwezesha kuona mauzo,stock na kutengeneza financial statement automatic.

Nilijaribu tally 9 lakini naona kama ina complication nyingi naomba mwenye kujua iliyo simple anitajie niitafute.

nawasilisha
 
Wadau naamini nimefikisha issue yangu mahali husika, ingawa nilipata tabu kidogo niipost katika jukwaa lipi kati ya hili, sayansi na teknolojia au jf store.

Nina mradi wangu wa duka la bidhaa mbali mbali nahitaji kuistall simple software itakayo nirahisishia mahesabu yangu na kufanya stock taking.itakayo niwezesha kuona mauzo,stock na kutengeneza financial statement automatic.
Nilijaribu tally 9 lakini naona kama ina complication nyingi naomba mwenye kujua iliyo simple anitajie niitafute
nawasilisha

Microsoft Access Database ni software nzuri kutrack stock ,mapato ,matumizi ya biashara ndogo.Hata hivo utahitaji mtu na working knowledge ya database kudesign tables,forms,subforms na queries.Forms zitakuwezesha kuingiza/view kwa mfano details ya mauzo au manununizi ,view stock level etc.querie zitakuezesha kugenerate daily /weekly/monthly/yearly sales,purchase ,net income reports.

Through replication unaweza kuback-up data kwenye computer nyengine au mobile device mfano smartphone au pda pia unaweza kuingiza data into your mobile phone db ambayo unaweza ku synchronize na data on desktop database baadaye via internate au bluetooth.
 
exact software hii ni mzuri sana pia haitaji kuwa na elimu kubwa ya computer au accounts ni rahisi kutumia pia kama una cancel invoice itakutawepo sio kama zingine unawweza ku edit kwa hiii lazima utagundua hivyo ni bora kuliko zingine kama unataka nitakuambia shm ya kununua
 
Wadau naamini nimefikisha issue yangu mahali husika, ingawa nilipata tabu kidogo niipost katika jukwaa lipi kati ya hili, sayansi na teknolojia au jf store.

Nina mradi wangu wa duka la bidhaa mbali mbali nahitaji kuistall simple software itakayo nirahisishia mahesabu yangu na kufanya stock taking.itakayo niwezesha kuona mauzo,stock na kutengeneza financial statement automatic.
Nilijaribu tally 9 lakini naona kama ina complication nyingi naomba mwenye kujua iliyo simple anitajie niitafute
nawasilisha

Mkuu wasiliana na huyu jamaa,TEL 0719 523676 yupo kampuni ya EXACT SOFT WARE. HAWA JAMAA WANA ACCOUNTING PACKAGE NZURI SANA.
 
Asanteni wadau MIUNDOMBINU na wanakam ntaifanyia kazi hii kitu
 
Check Palladium (google) wana genuine version unayoweza kuitumia at no cost depending na ukubwa wa biashara yako.
 
habari hizi mimi pia naamini zitanisaidia sana ktk mipango yangu ya baadaye,asanteni sana kwa ideas.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom