Software development titles

Chief Lugina

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
286
76
Habari

Leo nakuja na challenge kuhusu Software Development. Imagine leo hii ungekuwa upo final year (chuo) ukisoma COMPUTER SCIENCE,SOFTWARE ENGINEERING ,INFORMATION SYSTEM au ITna ukaambia utaje title ya Project yako based in SOFTWARE DEVELOPMENT.,ungetaja title gani?

Yawezekana kuna watu wana ideas juu ya kitu Fulani but hawawezi ku implement hizo idea zao ,siyo kwa sababu hawajui programming language but ni kwa sababu hawana mda au siyo mhimu sana kwa mda huu. But sote tunajua Kwenye Programminig unaweza kukuta mtu anaweza ku code lakini hana ideas, sasa hii itasaidia wale ma coder kupata ideas na pia itasaidia wale wenye ideas kuona zikiwa implemented.

Mimi naanza na :
1.MOBILE BILLING SYSTEM
 
Chief Lugina, nyasiro hizo si idea mpya,,, we need to do something new & challenging.. my project was .. adaptive traffic light control system.. implemented by supervised neural network.... another project was law enforcement ..developed by using Mamdani fuzzy inference engine. Hizi project zilinipa exposure ya nini kinatakiwa kufanyika ktk ulimwengu huu wa 2012 badala ya kutegemea mawazo yaleyale ya kila siku
 
Last edited by a moderator:
mie nilifanya congestive heart failure diagnosis using ECG signal implemented by using neural network and artificial intelligence.
 
Back
Top Bottom