Software developer

sam2000

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
523
326
Habari zenu wakuu. I know hapa ndani kila kitu kina majibu. I want to be a software developer so nauliza hapa kwetu bongo which is the best college which can guide me to my dream career. Nataka kufanya Masters or post graduate but i love to get a place where practical work ndio emphasis coz haya mambo i know practical ndio mambo yote. Ningependa kwenda njia ya Java/Oracle. Nawasilisha wakuu. PS If you dont mind nipe na fees structure. Many thanks!!!
 
Hakuna chuo kinachotoa MSc.SE hapa bongo isipokuwa UDOM ndiyo wanatoa BSc.SE...kama una BSc. Katika carrier ya IT na unachotaka siyo sifa ya kuwa jamaa huyu ana degree mbili mi ninakushauri Piga certifications,then kama unaweza ku-display "hallo world" kwenye java bac unaweza kupiga msuli mwenyewe na ukawa fit Pre-requist hapa ni mda na moyo wa kujifunza tu...but kama vp we nenda UDSM kapige MSc.CS lakini sidhani kama hiyo ORACLE na JAVA utaikuta.....masomo mema!
 
Mi mkuu nakukubali maneno yako na kwa kuongezea tu ningependa kumshauri muuliza suali kua awe anajua hiyo software development knowedge anataka kuitumia wapi?, kama ni kuunda software for public join me at Hermitscorp Laboratory kwa C++ na kama unataka kusoma kwa kuajiriwa na company-Go where u go.
 
Thanks bro, ndio maana huwa tunaomba ushauri. Yani sitaki kuajiriwa hata kidogo nataka niwe tu independent developer
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom