Sofia Simba naye ajitangaza kupambana na mafisadi

Niliwahi kusema kuwa mzee wangu Mwanakijiji, kila tunapokaribia uchanguzi mkuu utaona vituka vya Mr ben na sio Comedy ya Kitanzania, Sasa Bado wote walikuwa kwenye Sakata la Richmond kujitokeza na kusema watapambana na mafisadi, Na ndio maana tunasema kuwa vita dhidi ya ufisadi sio ya CCM bali CHADEMA ndio yao, Dr Slaa ni yake na Mwezake CHADEMA. Sasa Simba aseme Mafisadi ni Wakina nani CCM, Bado Makamba naye, hawa wote wanafuata Upepo tu hakuna kitu na kazi moja ya kuzuga Watanzania, Watanzania sio Mabwege tena.. Inahuzunisha na kufurahisha sana
 
tuendelee kuwahesabu wale walioonekana kutetea mafisadi na sasa wanajionesha wamepata "ufunuo"

- Chiligati
- Makamba
- Sofia Simba
-

-Msekwa
-A.H. Mwinyi

Kwahiyo wakimwendea na bilioni mbili na kuendelea anaachia???

Ndo maana yake!
Na Kwa uthibitisho, rejea jinsi mama huyu asiye na haya alivyowatesa wenzake kwa rushwa wakati wa uchaguzi wa UWT, hadi ikafikia hatua Ritha Mlaki akajitoa ktk uchaguzi huo na kupeleka malalamiko kwenye ngazi za juu za chama.
Huyu waziri hawezi kusimamia utawala bora ilhali yeye mwenyewe si MTAWALA BORA! Hili haliwezekani.
 
yaani huyu mi ndo ananichekesha kweli kweli.Huyu si ndo mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa CCM huyu...nadhani kasahau kuwa alifanya ufisadi wa kutisha wakati wa kampeni zake za kuutaka huo uenyekiti wa UWT CCM

Labda huyu mama kaokoka!! Anadhani tumesahau madudu yake!

Ila nakuwa na wasiwasi na hawa wapiganaji wa CCM walioanzisha hii kampeni wako upande gani? wamejiunga nao hawa au kila mtu anapiga ngoma yake?

Ndo nimeanza kumkumbuka Zitto akiwa Tarime, kwani alitamka wazi kuwa msidanganywe na Wabunge wote wa CCM walikura pesa ya Kagoda??

Bila CCM kujisafisha wakaondolewa wote wachafu tusimwamini mtu!! Tiyari hawa wameshauza nchi yetu, leo ndo mtu anakwambia yeye ni Msafi? Tusidanganyike!!!
 
Kaazi kweli kweli.

Hii inakera na inatia hasira. Kwa mtaji huu wanatupoteza lengo, ni sawa na ujanja wa mijizi ambayo nasikia ikikimbizwa, akiona kafika kona na amepata upenyo mzuri, yeye pia huungana na wakimbizaji mwizi na kupiga kelele za 'mwizi, mwizi'.

Kama wamekosa la kusema bora wanyamaze.
 
Ndo maana yake!
Na Kwa uthibitisho, rejea jinsi mama huyu asiye na haya alivyowatesa wenzake kwa rushwa wakati wa uchaguzi wa UWT, hadi ikafikia hatua Ritha Mlaki akajitoa ktk uchaguzi huo na kupeleka malalamiko kwenye ngazi za juu za chama.
Huyu waziri hawezi kusimamia utawala bora ilhali yeye mwenyewe si MTAWALA BORA! Hili haliwezekani.

Wote ni wale wale huyu Ritha Mlaki si ndo aligawa baiskeli huku Msasani kusudi apate upate Ubunge wa Kawe?? wote wezi hawa!
 
mpaka sasa ana bifu na akina zarina madabida na janeth kahama kwa ajili ya uchaguzi wa uwt ilipitia, she would make a good taarab vocalist na sio waziri mwenye dhamana kubwa kama ya utawala bora
 
UCHAGUZI FEKI = RAIS FEKI + MAWAZIRI FEKI + WABUNGE FEKI + MAJAJI FEKI + MAJESHI FEKI + MABENKI FEKI + KILIMO FEKI + UVUVI FEKI + UFUGAJI FEKI + SEKTA YA MADINI FEKI + MIPANGO FEKI + VIWANDA FEKI + MASHIRIKA FEKI + VYUO FEKI + HOSPITALI FEKI + MIUNDO MBINU FEKI + MAKANISA FEKI + MISIKITI FEKI + WAUMINI FEKI + WANANCHI FEKI + FIKRA FEKI + MISHAHARA FEKI gggggrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!! FEKI FEKI FEKI FEKI FEKI FEKI FEKI FEKI FEKI FEKI .............. SITAKI KUSIKIA TENA ... KAMWE! KUTOKA KWA HAWA WAZEE FEKI WASIO NA UWEZO WA KUFIKIRI UREFU WA PUA YAO...
 
Ndio aina ya wanasiasa wetu ilivyo. Amenusa kuanza kuzama kwa meli ya ufisadi, ameungana na makamba kuwa mpiganaji.
Tutaona mengi sana siasa za TZ
 
Bwana hawa mafisadi hawana uchungu na nchi hii na anayewatetea kwa namna yoyote naye atakuwa fisadi
No way
 
UCHAGUZI FEKI = RAIS FEKI + MAWAZIRI FEKI + WABUNGE FEKI + MAJAJI FEKI + MAJESHI FEKI + MABENKI FEKI + KILIMO FEKI + UVUVI FEKI + UFUGAJI FEKI + SEKTA YA MADINI FEKI + MIPANGO FEKI + VIWANDA FEKI + MASHIRIKA FEKI + VYUO FEKI + HOSPITALI FEKI + MIUNDO MBINU FEKI + MAKANISA FEKI + MISIKITI FEKI + WAUMINI FEKI + WANANCHI FEKI + FIKRA FEKI + MISHAHARA FEKI gggggrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!! FEKI FEKI FEKI FEKI FEKI FEKI FEKI FEKI FEKI FEKI .............. SITAKI KUSIKIA TENA ... KAMWE! KUTOKA KWA HAWA WAZEE FEKI WASIO NA UWEZO WA KUFIKIRI UREFU WA PUA YAO...

ndugu umenichekesha kwa hiyo serikari yetu ime -Corrupt :)
 
ndugu umenichekesha kwa hiyo serikari yetu ime -Corrupt :)

SYSTEM NZIMA NI FEKI... ETI SOPHIA MPAMBANAJI!!! G ME A BREAK!!!!YEYE NA SERIKALI NZIMA YA CCM WOTE FEKIIIIIIIIIIIIIIIIIII .... FIRSTLADY1, TANZANIA NI NCHI PEKEE AMBAPO HAKUNA HATA SEKTA MOJA IMEWEZA KUDELIVER!!!! UONGOZI FEKI KUANZIA JUU MPAKA CHINI, MASHIRIKA YOTE FEKI ! MIJI YA HOVYOO FEKI, NISHATI MMMMH??? FEKI FEKI FEKI FEKI .... MPAKA MLO MMOJA HATUWEZI KWA SIKU!!! fekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom