Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Hao hao ndo wamemwoka kwenye uchairman hapo UWT na wakammwagia mapesa akapiga kampeni ya kufa mtu mnategemea atawasiliba walio mwenzesha lah hasha zaidi zaidi tutegemee kuwapiga kombora wapiganaji wanao wasulubu wanao faidi nchi.
 
nimekuwa najiuliza kwa muda mrefu.. Wizara ya Utawala Bora inahusiana na mambo gani hasa?
Inawezekana ni kulinda maslahi ya wale inaoona ni muhimu kulindwa hata kama gharama yake ni kuwa kichekesho ulimwengu mzima. Maana sijui kwanini anapigana kufa na kupona kuona hatusemi lolote kuhusu mambo tunayoyaona yanatuhusu
 
Tatizo lake hajui kufunga mdomo. Alitakiwa kujifunza kwa waziri wa mambo ya ndani. Kwani yule naye kila akifungua domo ni mchemsho tu. Nadhani tutaendelea kuwa nao hadi 2011, kwenye baraza jipya la mawaziri. Ndio utendaji wa kiongozi mkuu ulivyo. Hakuna haraka bongo!
 
Hao hao ndo wamemwoka kwenye uchairman hapo UWT na wakammwagia mapesa akapiga kampeni ya kufa mtu mnategemea atawasiliba walio mwenzesha lah hasha zaidi zaidi tutegemee kuwapiga kombora wapiganaji wanao wasulubu wanao faidi nchi.
Kwahiyo matatizo yetu makubwa kama nchi ni wanasiasa kulipa fadhila za uchaguzi? Maana hata watu wengine wakubwa wanagwaya kufanya maamuzi kwasababu walilipiwa kwenye uchaguzi
 
Huyu si ndiyo yule mama uliyemfanyia interview mwaka jana mwanakijiji kwenye radio yake alafu akachemsha sana tuu alafu ukamtetea?au namfananisha?.

Kulikoni now?.

Kutetewa mwaka jana,haina maana akivurunda asipewe ukweli wake,may be she was right at that time! This time kama kachemka,yes! she need to pack and go!
 
Inawezekana ni kulinda maslahi ya wale inaoona ni muhimu kulindwa hata kama gharama yake ni kuwa kichekesho ulimwengu mzima. Maana sijui kwanini anapigana kufa na kupona kuona hatusemi lolote kuhusu mambo tunayoyaona yanatuhusu

yaani dada kaapa kabisa kuwa wote wanaotajwa tajwa na ufisadi watasafishwa! Kawajia juu kina Kilango, Selelii na wengine. Kilichonitibua ni kuwa kwa vile yeye pia anasimamia Usalama wa TAifa basi anatumia nafasi yake ya Uwaziri kuwanyanyasa wabunge wa kawaida. Lakini zaidi ni kuwa ameenda hadi kwa watu ambao wako nje ya Bunge! subirini mtayasikia nisiseme mengi.
 
mzee kumfagilia mtu ni kitu kingine kabisa; nilivyo huru ni kuwa sioni haya kumtetea mtu hata adui yangu, sioni ugumu kumsifia mtu hata kama sikubaliani naye, na sioni shida kumpinga mtu hata kama ni ndugu yangu. Uhuru huu unanifanya nisimamie nilipomtetea wakati aliposhambuliwa wakati ule na vile vile kutaka aachie ngazi kwani aliyoyafanya/sema kwenye hicho kikao ni aibu kabisa. Lakini kwa upande mwingine akiendelea kwa nafasi yake even a week inabidi tujiulize; what does it say about the one who appointed her?
Sophia Simba anatekeleza matakwa ya mteuajii....

hana chakupotezaa..wanamwihitaji sana kwa michezo yao ya kufikia ushindii..
 
Ile wizara ilipaswa kuwa na mtu strong na mtendaji,utampaje mtu wa mipasho/matusi mdomoni kuongoza wizara nyeti kama ile? Badala ya kuonyesha utawala bora,kazi yake kuwananga na kubwatukia watu ovyo ovyo.
 
mwenyewe anajitta "mtoto wa mjini" hakopeshi. Na kama ni kuwapasha watu jana amewapasha watu. RA alichelewa kuzungumza labda atazungumza leo au ataamua kuyeyuka, anaenda safari na yeye. Mwisho kina Mwinyi wataamua kuacha tu haya mambo!
 
Kwahiyo matatizo yetu makubwa kama nchi ni wanasiasa kulipa fadhila za uchaguzi? Maana hata watu wengine wakubwa wanagwaya kufanya maamuzi kwasababu walilipiwa kwenye uchaguzi

Yeah hiki ndicho kinatumaliza sana nchi hizi maskini unategemea JK anaweza kumwajibisha RA? au EL hata siku moja hawezi na angalia safu nzima ya uongozi ndo hao hao akina Sofia Simba hawana makali tunao teseka ni sisi maskini.
 
mwenyewe anajitta "mtoto wa mjini" hakopeshi. Na kama ni kuwapasha watu jana amewapasha watu. RA alichelewa kuzungumza labda atazungumza leo au ataamua kuyeyuka, anaenda safari na yeye. Mwisho kina Mwinyi wataamua kuacha tu haya mambo!
Akina Mwinyi hawana ubavu wa kufanya lolote zaidi ya kupata wasaa wakusikia malumbano zaidi na kuelewaa yupi mwenye nguvu kwa masilahi yao..

Mzee Mwinyi namuheshimu ila naye ni sehemu la tatizo ya malumbano ya chama chake. Ana bahati kuwa na hulka ya upole na kuvutia walio wengi na kwa hiyoo kusifiwaa zaidi na jamii kupitia vyombo vya habari...Ni bahati yake.
 
Mwanakijiji hii mbona inakuwa ka udaku! Tupe kilichojili kwa ukamilifu mzee.
 
Mwanakijiji hii mbona inakuwa ka udaku! Tupe kilichojili kwa ukamilifu mzee.

si jua ndio limeanza kutoka na watu wanaamka..? usiwe na haraka ndugu yangu.. nadhani wengine mtaanza kusoma kwenye magazeti Ijumaa!!
 
mzee kumfagilia mtu ni kitu kingine kabisa; nilivyo huru ni kuwa sioni haya kumtetea mtu hata adui yangu, sioni ugumu kumsifia mtu hata kama sikubaliani naye, na sioni shida kumpinga mtu hata kama ni ndugu yangu. Uhuru huu unanifanya nisimamie nilipomtetea wakati aliposhambuliwa wakati ule na vile vile kutaka aachie ngazi kwani aliyoyafanya/sema kwenye hicho kikao ni aibu kabisa. Lakini kwa upande mwingine akiendelea kwa nafasi yake even a week inabidi tujiulize; what does it say about the one who appointed her?

Mwanakijiji, be fair to Sophia Simba, mbona husemi kasema nini jana?. Kwa kusaidia huyu mama katapika mbovu, kaiponda ripoti ya kina Mwakiembe haikuwa ya nia njema. Kamponda mama Kilango kuwa alikuwa akiuza madawa ya kulevya. Kaponda Mzee Malechela kwa kampeni yake kuutafuta urais ilifadhiliwa na Jeethu Patel fedha za ufisadi wa Epa. Kamponda Spika Sitta ndiye aliyeileta Richmond alipokuwa TIC, Kaisoma barua nzima ya Kashilila kwenda Takukuru kuhusu Posho mbili na kuonyesha unafiki wa Spika Sitta, kathibitisha wamefanya uchunguzi na kuthibitisha hakukuwa na rushwa kwenye richmond, ndipo kashauri ufanyike uchunguzi huru kuweka mambo sawa. Hili ndilo kosa lake?.
 
RA alichelewa kuzungumza labda atazungumza leo au ataamua kuyeyuka, anaenda safari na yeye. Mwisho kina Mwinyi wataamua kuacha tu haya mambo!

Ni kweli RA alikuwa ateme cheche jana na leo yeye na Serukamba walikua watimkie zao Dar. Nimewaona asubuhi hii na wamesema hawaondoki, hivyo leo the king maker ata spill the beans.
 
Tuammbieni yaliojiri kwa ukamilifu ili tuweze kusema kakijineno. Ila CCM c wajitenge tu, watu waunde chama kipya.
 
Back
Top Bottom