Sodoma Hii Hapa...!

na bado tunakoelekea ni kubaya zaidi,sasa hivi kuna kitu inaitwa ma shemale hao ndo kiboko,wamezagaa sana brazil na wamarekani weusi achilia mbali wachina,unamuona mdada chuchu sa sita mgongo umejaza kama joyce wo wo wo,halafu akikuvulia unakuta ana mdudu kasimama kama gia ya leyland CD,ndo hapo utajaza kama umkongoli au vipi,haya mambo hayajafika moshi mkuu?HII NI ZAIDI YA SODOMA NA GOMORAH
 
Hii tena ni babkubwa!

Sa hayo maungo wanayawekeza kwa kuyavaa au ni natural?

Huku kwakweli sijaona wala kusikia zahama hiyo!

We are in for any serious punishment soon and very soon!
 
Duuuh hii sas kali kuliko ile ya sodoma.Hayo ma shemale kule brazil ndo wengi kuliko maelezo.Ukiwa mpenzi wa soccer utakumbuka Ronaldo de Lima alisha kamatwa na limoja,na akajitetea kua hakujua kama ni lenyewe alidhani ni jike kwa urembo alokuwa nao.

Eee Mungu tuokoe na hii laana.
 
Hii tena ni babkubwa!

Sa hayo maungo wanayawekeza kwa kuyavaa au ni natural?

Huku kwakweli sijaona wala kusikia zahama hiyo!

We are in for any serious punishment soon and very soon!
mkuu hawavai wala nini wanawake wanabadilisha maungo wanaotesha uume na wanaume wanaotesha matiti,mambo ya wachina hayo wenzenu wameanza kutumia siku nyiiingi
 
duh, hii kweli kali, ila ni kweli kuna baadhi ya picha nimeziona ni mademu wazuri kweli lakini akivua nguo ana bonge ya kirungu chini, sasa nikawa najiuliza how come inakuwa hivi je ni demu kweli au dume limejibadilisha. hongereni sana wachina kwa kujitahidi kutuharibia jamii zetu tulizozizoea, sijui kizazi kijacho kitakuwaje, maana ni mambo ya aibu mno, hope itazoeleka na kuonekana ni kawaida
 
nashauri binadamu tusivae nguo,itatusumbua mwanzo but tutazoeana hope hata ngoma itatulia,maadili tutayaona, so atokee mwanamapinduzi mmoja ageuze ulimwengu na kuabandon tendo la kuvaa nguo!! pata picha unakatiza kariakoo!! teheee

MMhh...hii ni kali!

Mzee unakutana na mama mkwe yuko uchi mtaa si itakuwa shida!

Siku za kwanza itakuwa ni mshikemshike sana.
 
The world has never experience the GOLDEN moral.

Cha muhimu tumche Mungu kwa matendo na si maneno.
 
Siyo effects za mitandao na haya mambo hakuanza leo. Someni hata biblia kwa makini (hasa old testament) mtapata picha halisi ya lifestlye ya walioishi before Christ (BC).
 
Wewe Cynic sasa unatafuta ugomvi na watu hapa!

Mbona usiseme japo biblia na Quran? Angalia, usije kuwa

na agenda ya siri hapa...lol!
 
Chaku,
Kama umeamua kukaa kijijini achana kabisa hata kuulizia ladha yake... !

Ni michezo mibovu sana ya kuiga kila jambo.

Mi najiuliza kila siku hivi wanangu niwafungie kwenye geti gani wasione uharamu huu huko mabarabarani!

usiwafungie wanao ndugu yangu, maana wataenda shule watajumuika na watu mbalimbali, cha kufanya ni kuwaambia madhara ya kila kitu kwa mdomo wako maana wakukutana na walimu wa dunia watambiwa tofauti, pia mkabidhi Mungu yeye ndo atakuwa mlezi wao.
 
Bravol Joyceline....Kweli maisha haya tutakumbana na mengi! Pana ugumu fulani kumpa mtoto maneno hayo live, lakini Dunia ya sasa ndo inavyolazimisha! Anyway, Mungu tupe UJASIRI.
 
Chaku,
Kama umeamua kukaa kijijini achana kabisa hata kuulizia ladha yake... !

Ni michezo mibovu sana ya kuiga kila jambo.

Mi najiuliza kila siku hivi wanangu niwafungie kwenye geti gani wasione uharamu huu huko mabarabarani!

Hata ukiwafungia na geti la chuma cha pua hao wanao watayajua wenzao wayatendayo kwani hawajifunzi mambo haya barabarani kama unavyofikiri!! Wanajifunza hapo hapo nyumbani kwako wakati wewe na mama watoto mmelala wenzenu wanaangalia picha kwenye Internet!! Je unajua jinsi ya kutumia computer? Kama unajua basi unabahati kwani wengi wa rika lako ni mbumbumbu wa tekinolojia hiyo!!
 
watoto wa siku hizi wakifungiwa sana wanaweza kuchangamkiana ohoo!
 
Haya makalio ya kichina ndio kichocheo kikubwa,thats y,ndugu zetu wanchizika,najua ipo siku litatoka gazeti maalum kwa ajili ya kutangaza nguvu za kiume,sababu watu sikuhizi wanajifanya sanitation officers!!(wazibua mifereji)
 
siyo hayo tu siku hizi mdada kuka na kukuonyesha sehemu zake za ndani siyo aibu tena ni uzungu .hata under skirt hawavai ni aibu bora mimi nijikalie hukuhuku kijijini ambako sijifunzi wayafanyao wenzangu wa mjini,

hata shanga siku hizi zipo hazarani kana kwamba hakuna wazazi nyumbani.

kunyonyana ndimi imekuwa kama kunywa maji kwa kweli yesu rudi okoa kizazi hiki kimekwisha
kama kunyonyana ndimi ndio sababu na Yesu kurudi basi huko ulaya angekuwa asharudi kabla babu wa babu yako hajazaliwa
 
Back
Top Bottom