soda hii ni hatari kwa maisha yetu

Wataalam mnaijua kesi ya donoghue v. Stevenson? Humalizi degree ya sheria bila kuisoma iyo kesi
 
Sema yote ukweli ni kuwa SODA ZA COCA COLA NI CHAFU.

Umetumwa huna lolote, na ndio maana una ID mbili za kufanyia kazi yako.

Mimi navyofahamu hii michezo ya kijinga haijaanza leo. Umekurupuka baada ya kupewa dili na wahindi kuleta uchafuzi kwenye biashara za watu. Mtu mwenye ushahidi si aupeleke TFDA. Nimewauliza jana mkibakwa mtakuja kujisemeshasemesha JF au mtaelekea kwenye dola?
 
Ni bifu za viwanda izo kama sehemu ya kushindana!
Ukipelekwa kuona namna izo chupa zinavyooshwa ndo utashangaa icho kizibo kilipitaje.
Personally niliwai enda!
 
Umetumwa huna lolote, na ndio maana una ID mbili za kufanyia kazi yako.

Mimi navyofahamu hii michezo ya kijinga haijaanza leo. Umekurupuka baada ya kupewa dili na wahindi kuleta uchafuzi kwenye biashara za watu. Mtu mwenye ushahidi si aupeleke TFDA. Nimewauliza jana mkibakwa mtakuja kujisemeshasemesha JF au mtaelekea kwenye dola?

Nilijua najibishana na mtu mwenye akili timamu,
kumbe ni ki ch aa.
 
Error kwenye maisha ya watuuuuu!!!!!b! Siwezi poteza muda kuwawajibisha mlolongo wake ni mrefu na pia rushwa itachukua mkondo wake tz ni zaidi ya unavyoijua!!

kwani madaktari huwakukosea, kupasua kichwa badala ya mguu and vice verse?
 
Labda nikuulize kwa namna nyingine Miss. JF Premium Member.

Mbuzi wa jirani yako wakiingia shambani kwako na kusababisha uharibifu wa mazao, unaona ni lipi sahihi la kufanya:
1. Kuwawajibisha mbuzi kwa kuwakata miguu
2. Kumwajibisha mchunga mbuzi kwa kumripoti kwa mwenye mbuzi ambaye bila shaka atamfukuza kazi
3. Kutofanya A wala B badala yake kupita mitaani kuhubiri kwa watu kuwa mbuzi ni wabaya?

Natamani mmoja wa waliopata bahati mbaya ya kukutana na uchafu angefikisha jambo hili TBS na TFDA ili wazembe wachache wenye kusababisha yote haya wafukuzwe na waajiriwe wengine waaminifu kwa kazi yao. Kwa kufanya hivi, Coca Cola itaendelea kuboreka, afya zetu zitakuwa salama na ndugu zetu wanaopata riziki zao kwa kufanya kazi pale nao wataendelea na ajira zao.

Narudia tena, sidhani kama ni lengo la mwekezaji ni kuzalisha product chafu. Hii ni incompetence ya watanzania wenzetu waliopata nafasi ya kuajiriwa hapo.

Chuki dhidi ya SODA ni ujuha, tuelekeze chuki zetu kwa mzembe anayesababisha hali hii. Naamini waajiri (wawekezaji) linawaumiza zaidi ya mnavyofikiri, ndio maana wanaatempt kutufukuza kazi mara kadhaa lkn sheria zetu mbovu zinatulinda na kutufanya tuwe wazembe zaidi kazini.

nimekubali OPTIN 2.
 
Nduguzangu katika kuboost ubongo wangu
cha maana ni kupunguza matumizi ya vinyaji hivi vilivyo jazwa "CHEMICAL$" na kuendekeza kunywa NATURAL JUICE (juice frm fresh fruits)
kwa sasa huwa nikiwa na mission za mjini huwa ni kawaida yangu kupitia "MSIKITI WA ANSAS-SUNNAR " kupata "PURE SUGAR CANE JUICE". Kwa wakazi wa moshi nadhani wanapafahamu coz ni karibu na "SOKO LA MBUYUNI".
Nilianza kupendelea kunywa fresh juice baada ya project ya production nikiwa 4m4 katika kiwanda cha BBL moshi deport, nilihic nitaona mabaki ya matunda kama maganda mengi ya mapassion lakini tuliona madumu yenye unga wenye chemicals kwa ajili ya kutengenezea vinyaji.
 
watu wa pepsi wanataka niwauzie hii sod chafu nimeakatalia.nyambafff
 
heri miye yangu maji>maziwa frsh>mtnd> juic acl vngne nshapga teke hata unbembeleze vp labda uwe umenzd umr nta2mia kwa heshma yako... Am out

Hayo maziwa unakamu mwenyewe?..sababu kama anakamua houseboy hayo maziwa huenda ni machafu kuliko hzo soda! Mimi naamini nyama ya kitimoto naowafuga tu, hahahaaa!
 
Back
Top Bottom