Kuna jamaa hapa kasema kuwa mmetumwa kuharibu biashara za watu sasa sijui ameona hizi picha hapa??????kwa kuwa leo nipo kwenye computer oneni vitu mnavyokunywa
View attachment 47260
View attachment 47261
View attachment 47261
Wacha woga hiyo si kazi yako kuna watu kazi yao nihiyo ya Law, wape Lawyers kesi wapambane na hicho kiwanda siku nyingine watakuwa na adabu!!!Wanaweza kuamua msolve hii issue out of court kwa maana itawaaribia biashara!!!!
Kuna jamaa hapa kasema kuwa mmetumwa kuharibu biashara za watu sasa sijui ameona hizi picha hapa??????
Kwa uzoefu wangu na tanzania namshauri suala la mahakaman aachane nalo hawezi shinda manake nahuakika hamna haki itakayotendeka nchi imeshauzwa,tena kesi inaweza kumgeuka vibaya agaragazwe ajikute ndiye yeye anayeshtakiwa.Dawa ni kuwapigia kelele kama hivi.
Nimeshawahi kusikia visa km hivyo miaka ya nyuma lakini the bottom line ni kuwa wale waliofanikiwa kwenda hata TBC na mkemia mkuu waligundua kuwa vyupa vya soda hizo zilikuwa vimefunguliwa, kuingizwa huo uchafu na baadaye kufungwa tena, kwani vipimo vya maabara vilionyesha kuwa kiasi cha gesi katika vyupa hivyo ilikuwa pungufu kupita kiasi ikilinganishwa na chupa nyingine za soda zilizochukuliwa km specimen. na Hitimisho lake...ni vita vya kupakana matope ili kupata wateja, baina ya makampuni ya soda shindani.Wacha woga bi mkubwa unaushaidi buruta mahakamani hao dai fidia unaweza chota pesa ya ukweli hapo.
Nimeshawahi kusikia visa km hivyo miaka ya nyuma lakini the bottom line ni kuwa wale waliofanikiwa kwenda hata TBC na mkemia mkuu waligundua kuwa vyupa vya soda hizo zilikuwa vimefunguliwa, kuingizwa huo uchafu na baadaye kufungwa tena, kwani vipimo vya maabara vilionyesha kuwa kiasi cha gesi katika vyupa hivyo ilikuwa pungufu kupita kiasi ikilinganishwa na chupa nyingine za soda zilizochukuliwa km specimen. na Hitimisho lake...ni vita vya kupakana matope ili kupata wateja, baina ya makampuni ya soda shindani.
We ndo wale wa kupenda kufunika kombe mwanaharamu apite ulitaka niipeleke cocacola ili tuyamalize kienyeji hapa JF ndo mtambo wa kurekebisha tabia za uzembe siendekezi njaa kama unahitaji tafuta soda iliyo na makondomu uipeleke kiwandani watakupa japo kreti na vijisenti vya kununulia bamia hapa JF ujumbe umewafikia na jamii nzima inapaswa kujihadhari wakati wa kunywa soda.JF idumu na kudumu vizabinazabina ndo mnaiwekea usiku,,,,n2twork search,.....
Kuna jamaa hapa kasema kuwa mmetumwa kuharibu biashara za watu sasa sijui ameona hizi picha hapa??????
Mkuu kwa style yako ambayo unashawishi watu kwa kuona uzembe mkubwa hivyo kukaa kimya na kukimbilia kiwandani kuripoti mie naona haitoshi,alivyofanya huyu kuitangaza na kuipiga picha ni sawa kabisa.
Nyie kila siku mnatangaza product zenu kwenye tv mabango etc kuwa zina ubora kumbe mnakuwa wazembe mnaachia kondom na matakataka mengine ndani halafu mnafunga watanzania midomo wasitangaze,hiyo ni sawasawa na mgomo pale muhimbili watu wanakufa ovyo halafu unafunga mdomo watu,wanaharakati na waandishi kupigia kelele,huo ni uzembe wa hali ya juu kama zingekua nchi za wenzetu ni issue kubwa sana hiyo sio nyepesinyepesi kama ulivyoichukulia.
Suala lingine ambaloo umeliongelea hapo mie kwangu naona ni la kipumbavu,uzembe wa management yenu ya kusimamia wafanyakazi kwa makini kwa kufuata procedure zilizopo ndio utufumbe mdomo eti ni kutetea ajira ya watz wenzetu kwa hiyo tuendelee kunywa uchafu?Naomba sana usichukulie umasikini wetu sisi watanzania kama mtaji wa kutulisha uchafu eti tuogope kufukuzwa kazi.
Kwanza wewe utakua sio mtanzania kama ni mtz basi utakua ni kibaraka wa hao makaburu manake unaonekana unawalamba miguu sana mara oo tigo mzungu kilichobaki kwako ni kuwaabudu.
Jamani watanzania wenzangu nasema tunaweza tusijizaraulishe wala tusikubali kuzarauliwa na vibaraka wa wazungu.
Mie ni mpenzi mkubwa sana wa soda ya cocacola,Napenda kuchukua nafasi hii kuiomba serikali kupitia mashirika yake ya viwango kufanya suprise visit katika kiwanda hicho cha soda angalao twice a monthy ili kuweza kuthibitisha ubora wa vinywaji wanavyotengeneza.
Mimi nawashangaa wanaosema soda zimefunguliwa zikawekwa uchafu,
hivi wana akili timamu kweli,
kwa maneno ya ukweli ni kuwa SODA ZA COCACOLA NI CHAFU na ni hatari kwa afya ya wanywaji,
hakuna mtu aliwefungua soda na kujaza uchafu,
Hapa kama kuna mtu mwenye e-mail ya kampuni ya cocacola huko majuu aiweke hapa
tuwawekee mapicha ya soda zao chafu ili wakafanyie promotion kwenye masoko ya ulaya, nyie vipi.
Mbona mnatia hasira sana nyie, na soda zenyewe bado tunazo, endeleeni kujisema sema ila
nitakuwa naleta hapa jf picha kila baada ya muda muweze kuona haya makansa
tunayobugia kutokana na vinywaji vichafu vya coca cola.
Na kama kweli haujaifungua,
na kama kweli fanta inababuka rangi inakuwa kama juice ya limao,
acha tutapata makampuni shindani duniani tuwape hizo chupa waende nazo mbele.
Siku moja utaletewa picha ya mumeo anabakwa
Nyie ndio vibaraka wa watu fulani mmetumwa kuchafua biashara za watu. Kama kuna ukweli mbona msifike kwenye vyombo husika? Nimewauliza mkibakwa mtakuja JF kubwabwaja au mtaenda polisi?
Unaona tunatia hasira kwa sababu unadhani watu wote ni wajinga wa kudanganywa na picha. Picha kitu gani, wewe nipostie picha yako uone kama baada ya wiki nitashindwa kukurudishia ukionekana unafanya mapenzi na mbwa.
Kamwambie aliyekutuma kuwa kuna wengine wajanja hatudanganywi kitoto. Na kama ni kweli acheni ******, nendeni mkaripoti. Kwanza mlivyo hamjui mipango, mnakurupuka wote kwa pamoja na picha zenu. Yaani unataka kuniambia kuwa mmoja katoa ya kwake leo lkn na wewe ulikuwa na yako siku nyingi umehifadhi