mopaozi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 3,301
- 519
- Thread starter
- #41
Sio nia yangu kubishana na watu wa aina yako, lkn jua kuwa ili jamii yetu iwe bora, tunalazimika kuirekebisha na sio kuikosoa. Muosha chupa na aliyeona condom na asifikishe taarifa mahali panapohusika wote wanahatarisha ajira za wafanyakazi wengine waaminifu wa kampuni inyotengeneza hizo soda.
Hivi unaamini kama mwenye kiwanda ndio angekuwa anaosha chupa, angeacha chupa hata moja ipite na uchafu?
We ndo wale wa kupenda kufunika kombe mwanaharamu apite ulitaka niipeleke cocacola ili tuyamalize kienyeji hapa JF ndo mtambo wa kurekebisha tabia za uzembe siendekezi njaa kama unahitaji tafuta soda iliyo na makondomu uipeleke kiwandani watakupa japo kreti na vijisenti vya kununulia bamia hapa JF ujumbe umewafikia na jamii nzima inapaswa kujihadhari wakati wa kunywa soda.JF idumu na kudumu vizabinazabina ndo mnaiwekea usiku,,,,n2twork search,.....