Soda can poisoning

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
This incident happened recently in Belgium.
We need to be even more careful everywhere.
A woman went boating

one Sunday, taking with her some cans of coke which
she put in the refrigerator of the boat.
On Monday she was taken into
ICU and on Wednesday she died.
The autopsy revealed a certain Leptospirose caused by the

can of coke from which she had drunk, not using a glass.

A test showed that the can was infected by dried rat urine and hence the disease Leptospirosis.

Rat urine contains toxic and deathly substances. It is

highly recommended to wash thoroughly the upper part of soda cans before drinking out of them as they have

been stocked in warehouses and transported straight to

The shops without being cleaned. A study in Spain

showed that the tops of soda cans are more

contaminated than public toilets i.e. full of germs

and bacteria.
So to wash them with water is advised

before putting it to the mouth to avoid any kind of

fatal accident.

Haya wadau hasa wale masista du wapenda soda na bia za kopo na stoo zetu za akina massawe panya buku wametawala!
 
mi najiuliza hivi kweli,kweli kabisa? SODA CAN POISONING? namshukuru sana mwalimu wangu wa UPE, dah!
 
mi najiuliza hivi kweli,kweli kabisa? SODA CAN POISONING? namshukuru sana mwalimu wangu wa UPE, dah!

ukifatilia hayo utapasua kichwa bure! pata ujumbe songa mbele,watu wanaijua hiyo lugha kama miili yao
 
ndio maana hata elimu yetu inashuka ukiuliza utaambiwa "ooh tunatumia communicative approach in teaching English"sasa kwa mwendo huu lugha tutaiweza na hili soko huria kama Ngeli yenyewe ndio ya kuungaunga hv!
tu4cus hata simple gramatical rules!
 
Je unajua? kila chupa ya kawaida ya Soda kama Coca cola na Pepsi cola ina vijiko 14 vya sukari. Au kwa kipimo kingine usawa wa sukari iliyomo ndani ya kila chupa ya soda ni theluthi moja ya glasi ya kawaida!!

Kwahiyo ndugu zangu nawanasih msifanye kinywaji cha soda kuwa ni kiburudisho. Pia mchunge watoto wasinywe soda kwa wingi kwani husababisha uharibifu mkubwa wa meno.
 
duh! Sikujua hili.si huwa wanasema hutumia sukari aina nyingine?
 
Ahsante kwa taarifa hii lakini hii taarifa ni ya siku nyingi nyingi sana itushawahi kuisoma na ilishasambazwa sana kwenye E-mails address za wengi. Anyway Thanks again.
 
mi najiuliza hivi kweli,kweli kabisa? SODA CAN POISONING? namshukuru sana mwalimu wangu wa UPE, dah!

Hiyo ni lugha ya wenzetu kinachotakiwa ni sisi kuelewa tu. Wewe unaweza ukawa unajua sana English, lakini French ukawa hujui hata ya kuombea maji, kwa hiyo kujua lugha flani usiwadharau wengine wakikosea, warekebishe kwa upendo, wakati mwingine utamfanya mtu aogope kuongea au kuandika hata hicho kidogo anachojua.
 
good quote
 
Back
Top Bottom