Social Networking/Mitandao ya ki-Jamii...

Hahahahaaa unakutana na watu kama sisi tunaoapa lazima tukupate kwa njia yoyote ile iwayo....Lol!
NAweza kutaja kilicho rahisishwa na social media (but not created):
you can be seated in a crowd and have a private chat
you can pretend to be a person you are not, to impress
you can talk to a guy/girl 24/7 and soon you share intimate details
it is easier to flirt "without consequences" when online etc.
 
Umesahau nyingine,
You can date multiple persons doing the same thing to each one at the same time without being caught
 
mmmh?Hizo date za online zinakuaje sasa?
digital ni kukutana tu, real dating ni manual!
Na when you do it, kuna risk ya kufumaniwa!
 
Social media is like a device to convey your message..it has nothing to do with the content or whatsoever!
The problem is when users abuse the intended purpose..
Kwangu mimi imerahisisha sana mambo..na ninaomba waendelee kugundua zaidi na zaidi!!
 
Kufumaniwa its something that happens pale unapochanga karata zako vibaya (according to experienced people in the cheating game)
 
Kama nyongeza gani inahitajika mkuu?
 
Kama hujui kuchanganya karata outside social media
usitegemei ukianza mahusiano ya mtandaoni utaweza
The point here is that "live cheaters" will cheat on SM
and loyal, trustworthy people will behave even on SM.
 
Kama nyongeza gani inahitajika mkuu?

The point here is that through social media the time is well managed and you don't need to blame them for people's negligence. Always developments or technology has consequences..and its like a tenet! Mahusiano yanajengwa na strong communication via high tech social media and the same time mahusiano hayo hayo yanaweza kubomolewa na hizo social media..muhimu ni kuzichanga vyema karata zako!
 
Kama hujui kuchanganya karata outside social media
usitegemei ukianza mahusiano ya mtandaoni utaweza
The point here is that "live cheaters" will cheat on SM
and loyal, trustworthy people will behave even on SM.
Mhhh so your point is, SM don't change people it just simplify their doing eeh?
 
The point here is that through social media the time is well managed and you don't need to blame them for people's negligence. Always developments or technology has consequences..and its like a tenet! Mahusiano yanajengwa na strong communication via high tech social media and the same time mahusiano hayo hayo yanaweza kubomolewa na hizo social media..muhimu ni kuzichanga vyema karata zako!
Mhhhh okay
 
Mitandao haina ubaya wowote

Kibaya ni tabia za hao watu
Mbona kuachana kulikuwapo tangia enzi za mababu??

U can say that again buddy!
How comes likitu lisiloongea au kufikiri likawa harmful, wabaya na watumiaji wa hilo likitu!
 
Back
Top Bottom