Social Networking/Mitandao ya ki-Jamii...

Ndio maana wengine tunaangalia kama movie tu kakondoo. Kama na wewe unaweza karibu ila waliopo uwanjani watacheza tuuuuuu mpaka siku watakapokosa nguvu, so we angalia tu na kujifunza.

dah......kweli hii ni zaidi ya movie aisee!! Hizo picha sijui ndo zinawazuzua, sijui ni tamaa tu binafsi......sijui mdudu hata sielewi!! Mie sipo facebook ila stori nyingi nazipata kwa wenzangu. Kuna kitu najiuliza Lizzy, kuna umuhimu gani wa kuendelea kuentertain unnecessary contacts na watu/mtu wa opposite sex?? Kwani kutoa comment pekee hakutoshi?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nilipotea just one hour narudi nakuta thread imeenda haraka hata sijui nianzie wapi...
Binafsi nawaelewa sana wanao tetea privacy.
Nyani Ngabu, wewe unadefinition yako ya mapenzi, definition yako ya trust ect. Na unatakiwa umtafute mtu ambae definition yake na yako vimeendana, ili ukimuomba password yake aone ni jambo la kawaida. Hata bila mtandao waku-cheat hu-cheat tu! anaweza kuflirt na colleague, wakatumiana hata barua kwa posta! Ila so long as there is nothing wrong, kwa nini akufiche maongezi yake?
On the other hand, wengine nao wanaona kama trust muhimu ni ile inayo husia common properties, ila 'communication' sio common property. Kwa vile mimi nina uwezo wa kufurahia maongezi yangu na Lizzy, sio lazima mume wangu ajue tunaongea nini sababu Lizzy ni rafiki yangu mimi, sio wake. Nikitaka nitamwambia, kama sitaki I will keep it to myself. And he has to respect that. Kama Mume na mke wana-share that understanding basi hata hapo hakuna ubaya.
Ni mtu na mpenzi wake ku-define tu sasa.
 
Wengine hata hawahitaji picha kuzuzuka. Yani wao waambie we ni mwanamke tu inatosha , ndio wale wale ambao mtaani hua hawaangalii chochote zaidi ya sketi. Ukishakua mmoja wa wavaa sketi tu inayosha.

Kuhusu maongezi/mawasiliano binafsi nadhani ni muhimu kuwa na mipaka/vigezo vya kuendeleza hayo mawasiliano maelewano kati ya wenye mahusiano tu basi.Sijui natetea hii kwasababu kuna baadhi ya marafiki siko tayari kuwapoteza jumla. . . ?Lolz. Nwy as long as mwenza anajua kama kuna mtu wa jinsia tofauti unaewasiliana nae (sio kila siku wala kwa siri) nadhani mnaweza mkawa na mahusiano mazuri tu.
 
Ndo yaliyonikuta mimi, nikaamua kujitengenezea jina bandia, picha bandia. Nikaomba urafiki. Sikutaka shida ya kulumbana nae why hataki kuniadd. Na udhalimu wake ukawa hadharani.
Inaumaaa na ni ngumu kumeza i see

Dayuum! That is really hard to swallow!
 
Nilipotea just one hour narudi nakuta thread imeenda haraka hata sijui nianzie wapi...
Binafsi nawaelewa sana wanao tetea privacy.
Nyani Ngabu, wewe unadefinition yako ya mapenzi, definition yako ya trust ect. Na unatakiwa umtafute mtu ambae definition yake na yako vimeendana, ili ukimuomba password yake aone ni jambo la kawaida. Hata bila mtandao waku-cheat hu-cheat tu! anaweza kuflirt na colleague, wakatumiana hata barua kwa posta! Ila so long as there is nothing wrong, kwa nini akufiche maongezi yake?
On the other hand, wengine nao wanaona kama trust muhimu ni ile inayo husia common properties, ila 'communication' sio common property. Kwa vile mimi nina uwezo wa kufurahia maongezi yangu na Lizzy, sio lazima mume wangu ajue tunaongea nini sababu Lizzy ni rafiki yangu mimi, sio wake. Nikitaka nitamwambia, kama sitaki I will keep it to myself. And he has to respect that. Kama Mume na mke wana-share that understanding basi hata hapo hakuna ubaya.
Ni mtu na mpenzi wake ku-define tu sasa.

RR unajua imani anaijenga na kubomoa mwenyewe mhusika? Kitendo tu cha kukumbatia simu, kuweka password kinamfanya mtu ajiulize maswali mengi na wengine hufikia hata kuhangaika ni vipi anaweza aka'hack' simu ya mtu wake. Wakati huyo mtu asingekua anaificha na kuibinafsisha sana mtu wake wala asingehangaika nayo.

Ila hata mimi nakubaliana na hiyo ya maongezi yako na rafiki yako kubaki kati yenu mpaka utakapopenda mwenyewe kumhusisha mwenzi wako. Wazo la mtu kutaka ujue kila unachoongea na marafiki, wengine mpaka ndugu is absurd. Mtakua hamfanyi kitu kingine zaidi ya kupeana "REPORT" ya mawasiliano. Ila kama huyo rafiki ni wa jinsia tofauti unaweza ukamshirikisha once in a while/ukaongea nae kwa uwazi badala ya kusogea pembeni au kwenda kunong'ona barazani ili tu kupunguza au hata kuondoa wasiwasi na alama za ulizo (. . . ????????!) kichwa kwake.
 
...hahahaha, huu mfano hai ulioweka jf noma....ndio maana mimi si entertain kuhudhuria vikao vya jf, nisijepigwa chupa bure kwa kosa la ku flirt na mali za watu!

Uamuzi wa busara sana huo. Maana unaweza ukaalikwa kwenye kikao Hongera Bar...mwenyewe ukafika huna hata wazo au nia mbaya. Ile unaketi tu unaulizwa 'we ndo Mbu?'. Kabla hata hujajibu chupa ya Balimi ishakupasukia kichwani....hahahaaa.

...ila hiyo ya kuomba friend request mwenza wako halafu aku ignore inauma hiyo acha aisee....au ana ku add kisha baada ya siku chache unakuta kesha ku delete...hahahahaha!

Hakika inauma.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Uamuzi wa busara sana huo. Maana unaweza ukaalikwa kwenye kikao Hongera Bar...mwenyewe ukafika huna hata wazo au nia mbaya. Ile unaketi tu unaulizwa 'we ndo Mbu?'. Kabla hata hujajibu chupa ya Balimi ishakupasukia kichwani....hahahaaa.

....hahahahahah lol! Unauliza jamani kulikoni tena? hata hujajibiwa..... una ndoo nzito sana usoni.... uso wote umeumuka kama umewekwa hamira :):)
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
RR unajua imani anaijenga na kubomoa mwenyewe mhusika? Kitendo tu cha kukumbatia simu, kuweka password kinamfanya mtu ajiulize maswali mengi na wengine hufikia hata kuhangaika ni vipi anaweza aka'hack' simu ya mtu wake. Wakati huyo mtu asingekua anaificha na kuibinafsisha sana mtu wake wala asingehangaika nayo.

Ila hata mimi nakubaliana na hiyo ya maongezi yako na rafiki yako kubaki kati yenu mpaka utakapopenda mwenyewe kumhusisha mwenzi wako. Wazo la mtu kutaka ujue kila unachoongea na marafiki, wengine mpaka ndugu is absurd. Mtakua hamfanyi kitu kingine zaidi ya kupeana "REPORT" ya mawasiliano. Ila kama huyo rafiki ni wa jinsia tofauti unaweza ukamshirikisha once in a while/ukaongea nae kwa uwazi badala ya kusogea pembeni au kwenda kunong'ona barazani ili tu kupunguza au hata kuondoa wasiwasi na alama za ulizo (. . . ????????!) kichwa kwake.
Lizzy hivi vitu havina formula. Wanawake wanasave jina za marafiki zao wa kiume kwa jina la kike. Message zinafutwa baada ya kusomwa. Kuna mtu nilishangaa anatumiwa message na "unknown number". Yaani hapo tayari amesha msave rafiki yake wa kiume kwa jina hilo, mpenzi wake akiuliza anajibu: ni unknown number, mi hua sijibu hizi!
All in all hili swali linarudisha kwenye debate ingine: why would you have secret conversations? Kama ni urafiki halali kwa nini mpenzi wako asishirikishwe? Nimesha ongea na watu wengi kuhusu haya na kila mmoj anakua na sababu zake. Mi naona so long as wapenzi wenyewe wanakubaliana hivo, basi hakuna shida.
To me the most important is to play according to the rules. Sio mkubaliane kua hakuna kushare messages, alafu baadae mnaanza ku-hack passwords. Au mnakubaliana we can share everything alafu baadae mnaanza kufuta messages zingine etc.
What I have come to realize ni kwamba in the 'open door policy' relations, watu hawatumii sana their right. They content themselves kwa kua na uwezo huo, but actual inspections are only done on basis on serious suspicions.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nilipotea just one hour narudi nakuta thread imeenda haraka hata sijui nianzie wapi...

Ukiona hivyo ujue sredi ina mshiko na inawagusa wengi!

Binafsi nawaelewa sana wanao tetea privacy.

Kwangu bado kabisa. Yaani haiingii akilini kabisa kwa nini kwa mfano, mke wangu akatae nisishike simu yake.

Nyani Ngabu, wewe unadefinition yako ya mapenzi, definition yako ya trust ect. Na unatakiwa umtafute mtu ambae definition yake na yako vimeendana, ili ukimuomba password yake aone ni jambo la kawaida.

Hahaaa haya bana. Sasa inabidi nikubali tu kuwa labda mimi ni wa ajabu. Nina misimamo ya kiajabu ajabu inapokuja kwenye mapenzi. Kwamba yote niyadhaniayo au niyatamaniyo kwenye mapenzi na mahusiano yako so far out of the mainstream of society.

Sina jinsi. Inabidi tu nikubali. Kwamba wanaume ndiyo wanacheat zaidi na wanawake wakicheat basi lazima wanakuwa na sababu. Wanaume wao hucheat ili mradi tu. Na pia inabidi tu nikubali kuwa idadi kubwa ya watu hawacheat kwenye mahusiano yao. Pia nakubali kuwa ukichitiwa na mwenza wako basi jambo jema na la busara kufanya ni kusamehe na kuvumilia tu.

Inanibidi tu nikubali yote hayo ili nami niwemo katika kundi la mainstream ya society, ndani ya JF na nje ya JF! Strange huh?

Hata bila mtandao waku-cheat hu-cheat tu! anaweza kuflirt na colleague, wakatumiana hata barua kwa posta! Ila so long as there is nothing wrong, kwa nini akufiche maongezi yake?

That is axiomatic and I don't think anyone with half a brain would argue! But then again whoever argues that the internet hasn't made it easy for people to stray from their partners is without a doubt either in denial or just downwright out of touch with everything that's going on around him or her.

On the other hand, wengine nao wanaona kama trust muhimu ni ile inayo husia common properties, ila 'communication' sio common property. Kwa vile mimi nina uwezo wa kufurahia maongezi yangu na Lizzy, sio lazima mume wangu ajue tunaongea nini sababu Lizzy ni rafiki yangu mimi, sio wake.

You and Lizzy are both females. So no issue there. But do you really want to tell me your husband would be okay with you talking to me on the regular and really enjoy our conversation without him having a problem with it? If so then more power to him. I just can't have my wife talk to other 'male friends' of hers without me getting pissed. But then again I have my own definition of love, trust, and whatnot lol. I'm different.

Nikitaka nitamwambia, kama sitaki I will keep it to myself. And he has to respect that. Kama Mume na mke wana-share that understanding basi hata hapo hakuna ubaya.
Ni mtu na mpenzi wake ku-define tu sasa.

That I fully agree. I am all for couples defining their own relationship.
 
Lizzy hivi vitu havina formula. Wanawake wanasave jina za marafiki zao wa kiume kwa jina la kike. Message zinafutwa baada ya kusomwa. Kuna mtu nilishangaa anatumiwa message na "unknown number". Yaani hapo tayari amesha msave rafiki yake wa kiume kwa jina hilo, mpenzi wake akiuliza anajibu: ni unknown number, mi hua sijibu hizi!
All in all hili swali linarudisha kwenye debate ingine: why would you have secret conversations? Kama ni urafiki halali kwa nini mpenzi wako asishirikishwe? Nimesha ongea na watu wengi kuhusu haya na kila mmoj anakua na sababu zake. Mi naona so long as wapenzi wenyewe wanakubaliana hivo, basi hakuna shida.
To me the most important is to play according to the rules. Sio mkubaliane kua hakuna kushare messages, alafu baadae mnaanza ku-hack passwords. Au mnakubaliana we can share everything alafu baadae mnaanza kufuta messages zingine etc.
What I have come to realize ni kwamba in the 'open door policy' relations, watu hawatumii sana their right. They content themselves kwa kua na uwezo huo, but actual inspections are only done on basis on serious suspicions.

Hahahahaha. . . .eti ni "unknown number". Mi.unajua swali langu kubwa ni hili, kama hauko tayari kua na ntu mmoja, kama kuna mwingine/wengine wanakuzuzua why settle? Siuhangaike bila usumbufu wala wasiwasi mpaka utakapoona sasa nimetosheka?

Nwy kuhusu watu kutumia haki yao ya kuchunguzana sioni sababu ya kufanya kila siku au kila wiki kama mwenzi yuko open, hapokei na kupiga simu za ajabu ajabu. Kuchunguzana nako kunachosha unajua? Sema wafuta msg na call records hao lazima wana mengi ya kuficha. Mimi hua sifuti hata mwaka unapita, ngoja nianze hivyo ili nikikutana na mtu nimwambie kabisa ni kawaida yangu. . . lolzzzz!!

Alafu wale wanaoweka simu zao password na wenzi wao wanahangaika kuitafuta basi jua either hawakukubaliana au mmoja alikubali tu ili apate mahusiano. It's kinda sad, mtu anaweka principle zake pembeni alafu baadae anaanza kuhaha.
 
Ukiona hivyo ujue sredi ina mshiko na inawagusa wengi!
Kwangu bado kabisa. Yaani haiingii akilini kabisa kwa nini kwa mfano, mke wangu akatae nisishike simu yake.
Hahaaa haya bana. Sasa inabidi nikubali tu kuwa labda mimi ni wa ajabu. Nina misimamo ya kiajabu ajabu inapokuja kwenye mapenzi. Kwamba yote niyadhaniayo au niyatamaniyo kwenye mapenzi na mahusiano yako so far out of the mainstream of society.
Sio msimamo wa kiajabu. Kuna watu wengi wanafikiri kama wewe kuhusu privacy, mimi hapa wa kwanza.Naamini kabisa kua watu wakiamua kua pamoja wanatakiwa kushare vitu kama hivyo, na mume wangu anaamini hivo pia. those are the rules of the game.
Sina jinsi. Inabidi tu nikubali. Kwamba wanaume ndiyo wanacheat zaidi na wanawake wakicheat basi lazima wanakuwa na sababu. Wanaume wao hucheat ili mradi tu. Na pia inabidi tu nikubali kuwa idadi kubwa ya watu hawacheat kwenye mahusiano yao. Pia nakubali kuwa ukichitiwa na mwenza wako basi jambo jema na la busara kufanya ni kusamehe na kuvumilia tu.
Just because umeona wengi hawakubaliani na wewe ndio uamue kubadilisha? Ni bora nideal na mtu with different opinion who stands on his principles than one who shares mine bila kuzielewa. :)

Inanibidi tu nikubali yote hayo ili nami niwemo katika kundi la mainstream ya society, ndani ya JF na nje ya JF! Strange huh?
. Mbona mi naona kama umo sana tu? au unataka kuwemo kivipi?

That is axiomatic and I don't think anyone with half a brain would argue! But then again whoever argues that the internet hasn't made it easy for people to stray from their partners is without a doubt either in denial or just downwright out of touch with everything that's going on around him or her.
I agree with you. Internet has made it easier because our spouses meet more people than they would have met without it. Ila kila kitu ni in proportion. e.g.: ikiwa for 1000 new encounters moja inaweza kusababisha spouse akusaliti, it is normal that internet iwe trigger but tabia ya kucheat ilikutwa. Internet haiwezi kuongeza hiyo probability to 100, itaongeza tu frequence ya encounters...

You and Lizzy are both females. So no issue there. But do you really want to tell me your husband would be okay with you talking to me on the regular and really enjoy our conversation without him having a problem with it? If so then more power to him. I just can't have my wife talk to other 'male friends' of hers without me getting pissed. But then again I have my own definition of love, trust, and whatnot lol. I'm different.
. Not so different, I said that I shared this view. The only difference is that I tolerate a different opinion (but not from my spouse)

That I fully agree. I am all for couples defining their own relationship.
Ah, see? so you are not that different. you believe in freedom, and so do 'the others'. lol
 
Hizi social net work acha tu. Mi nilimuombaga urafiki mamsap fb akaniignore. Nilichofanya nilifungua email tofauti nikatumia jina tofauti na nikaweka picha tofauti, nikamwomba urafiki haikuchukua hta nukta akaniad bila kujua kamuadd mamsap. Facebook hukoo!

Ndo hivyo mkuu.
I loved him, then he take the advantage.
Ila huwa najiulizaga kuanzisha mahusiano na mtu usiyemjua na huna uhakika km kweli mtaweza onana. Eti ukampenda kabisa afu na kupropose juu inawezekanaje? Tena mtandaoni. Kweli tunatumia technologia vibaya mno!
Katika posts zako za juu, zinahitimishwa na hapo nyekundu. Ubaya wa teknolojia unakuja pale tunapozitumia vibaya. Imani yangu mimi ni kuwa hata hii mitandao ya kijamii tukitumia vizuri inakuwa na faida zake. Mfano, kwa kutumia mitandao hii hii, tumeweza kuwasiliana upya na marafiki zetu tulliopoteana miaka mingi iliyopita, wangapi wamepata ajira mitandao na kufanyakazi na watu wasiowajua (mmoja Tanzania mwengine Thailand) na ni waaminifu.

Kuhusu suala lako, ninakubaliana na wewe kuwa huyo mamsap alikuwa na lake alilokuwa anaficha hadi asitake kuku"add", lakini na wewe umefanya hilohilo ambalo yeye alikuwa anafanya - kudanganya -, ingwaje hapa tutasema kudanganya kwako kulikuwa "kwa nia nzuri".

Tukija kwenye suala la mitandao kuvunja mahusiano, ukiwachia kesi kama yako na nyengine za aina hiyo, ambapo ulikusudia kukamata mwizi wako, kuna mahusiano mengine huvunjika kwa sababu tu ya watu kutafsiri kila kinachoandikwa na wapenzi wao. Mfano aliotoa Lizzy wa kuandika "ninaumwa" unatosha. Mfano mwengine unaandika "Im bored" anakuja mtu anakwambia "Njoo kwangu nikuchangamshe", halafu comment hiyo aione mpenzi wako na aanze sokomoko, wewe kosa lako lipi? Tatizo letu ni kuwa tunaingia kichwa kichwa kila pahali kwa kutaka sifa tu. Utakutia mtu ana marafiki 4,000, What for? Pengine kati ya hao anaowajua 100 hawafiki na marafiki wa kweli hawazidi hawazidi 3.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahahahaha. . . .eti ni "unknown number". Mi.unajua swali langu kubwa ni hili, kama hauko tayari kua na ntu mmoja, kama kuna mwingine/wengine wanakuzuzua why settle? Siuhangaike bila usumbufu wala wasiwasi mpaka utakapoona sasa nimetosheka?
You know Lizzy dear, people who flirt over messages do not necessarily intend to meet. saa zingine wanapoteza muda tu. I agree with you, it is not a healthy hobby but at the same time it is not serious enough to challenge a well established relation (for the concerned). wanaona it is bad, but not 'that bad'... sijui unaelewa what I mean?

Nwy kuhusu watu kutumia haki yao ya kuchunguzana sioni sababu ya kufanya kila siku au kila wiki kama mwenzi yuko open, hapokei na kupiga simu za ajabu ajabu. Kuchunguzana nako kunachosha unajua? Sema wafuta msg na call records hao lazima wana mengi ya kuficha. Mimi hua sifuti hata mwaka unapita, ngoja nianze hivyo ili nikikutana na mtu nimwambie kabisa ni kawaida yangu. . . lolzzzz!!
Alafu wale wanaoweka simu zao password na wenzi wao wanahangaika kuitafuta basi jua either hawakukubaliana au mmoja alikubali tu ili apate mahusiano. It's kinda sad, mtu anaweka principle zake pembeni alafu baadae anaanza kuhaha.
Kwa kweli mi sikumbuki kabisa last time nilichukua sim yake kwa nia ya kupekua nione nani kasema nini over sms, au kuingia in his account kwa nia hiyo. Na vile vile sikumbuki last time he did it to me. but we have an open door policy...
 
You know Lizzy dear, people who flirt over messages do not necessarily intend to meet. saa zingine wanapoteza muda tu. I agree with you, it is not a healthy hobby but at the same time it is not serious enough to challenge a well established relation (for the concerned). wanaona it is bad, but not 'that bad'... sijui unaelewa what I mean?

Kwa kweli mi sikumbuki kabisa last time nilichukua sim yake kwa nia ya kupekua nione nani kasema nini over sms, au kuingia in his account kwa nia hiyo. Na vile vile sikumbuki last time he did it to me. but we have an open door policy...

I know RR, but if it's innocent why clean up afterwards? Why keep it a secret? Why not find a way to include their partners? Mi naamini mtu akifikia kuficha hata salam basi jua aliyeitoa na aliyeipokea wote wana lao jambo.

Awww. . . YOU GUYS HAVE IT GOOD. Don't screw it up. Hongereni kwa kukutana mnaofanana. . . nawaonea wivu, in a good way though.
 
All in all hili swali linarudisha kwenye debate ingine: why would you have secret conversations? Kama ni urafiki halali kwa nini mpenzi wako asishirikishwe? Nimesha ongea na watu wengi kuhusu haya na kila mmoj anakua na sababu zake. Mi naona so long as wapenzi wenyewe wanakubaliana hivo, basi hakuna shida.
To me the most important is to play according to the rules. What I have come to realize ni kwamba in the 'open door policy' relations, watu hawatumii sana their right. They content themselves kwa kua na uwezo huo, but actual inspections are only done on basis on serious suspicions.
Kwenye hizo nyekundu. Sidhani kama ni kazima kumshirikisha mpenzi wako kwa kila unalofanya na rafiki yako, kunaweza kuwa na mengine hayamhusu kabisaaa. Nahisi si lazima kila rafiki yangu awe wake au wake awe wangu. Kitu kimoja ni kumshirikisha, chengine ni kumficha.

Jambo la muhimu ni hilo jekundu la pili, to play according to the rules and full respect. Binafsi sioni kwa nini mtu wangu wa karibu asione simu yangu, ninachokataa ni kujibu maswali mfululizo na kutoa ufafanuzi kwa kila ujumbe uliotumwa. Kama ana wasiwasi, awapigie waliotuma.

Na katika hizo sera za uwazi, ni kweli kuwa wengi ni washupavu wa kudai haki wakati hatujui hata kuzitumia kwani mara zote haki zinatakiwa ama ziende sambamba na/au zifuatiwe na wajibu. Ikiwa tumekubaliana kuaminiana, kwa nini nichukue simu yako kutafuta kwa makusudi sms kuona kama unanidanganya? Ikiwa tumekubaliana kushare na kuwachiana vyetu, kwa nini vyako unavificha vyangu unataka kuviona? Kwa nini nifungue barua zako lakini wewe ukifungua zangu niwe mbogo? Kwa nini, kwa nini....?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
I know RR, but if it's innocent why clean up afterwards? Why keep it a secret? Why not find a way to include their partners? Mi naamini mtu akifikia kuficha hata salam basi jua aliyeitoa na aliyeipokea wote wana lao jambo.

Awww. . . YOU GUYS HAVE IT GOOD. Don't screw it up. Hongereni kwa kukutana mnaofanana. . . nawaonea wivu, in a good way though.
hapo juu naona hujanielewa. What I mean ni kwamba mtu anajua kua ni makosa ila anaona ni kakosa kadogo. A private indulgence, like eating candies when you are overweighted. Huwezi kusema basi nile candies, ninenepe, alafu nikiridhika niache kabisa ndio nianze diet. Utamu wa hizo candies ni that mixed feeling unapo zila. Na huku unajua sio kosa kubwa sana kama kula junk food. do you get the reasoning now?
About my man and I it has not always been like that. Mwanzo I was resisting because I wanted to keep certain things to me, just to affirm a different personality. but mwishowe we had an agreement. Na siwezi kusema uongo, imetokea nifute a message fearing that if he sees it inaweza kuleta shida. but this is not because I enjoyed receiving the message, or because i feel guilty of anything, it is because I fear that he will not understand that I did not ask for the message. this is also wrong, i now, but imenitokea. I tell him that it happens sometimes, but simwambii ilitokea na nani na simwambii ilitokea lini.
 
Now I get ya.

Still, hongereni maana mmefikia mahali pazuri. Hehehehe wakati mwingine mtu unaweza kujikuta matatizoni bila kutaka wala kushiriki, na hilo halizuiliki maana hatuwezi kucontroll mambo wanayofanya/sema wengine bila hata ruhusa zetu. Kuwa mwenzi mwelewa kama alivyo wako is the only thing that can save you.
 
It is good to share mtazamo wa haya mambo, na it is good to set rules, even if sometimes u fall... at least you both know what is wrong and what is right, na mnasambishana from those limits you set together (praying you never get there)
Ni bora kuliko anarchy ya kila mtu kujifanyia anavo taka, ukiona message unaambiwa: nani alikwambia upekue sim? sasa kwa vile ulitaka kujua bila kuuliza, usiniulize tena. :A S-frusty:
 
Hizo options zinamisi 2 important ones, 'unstable' na 'unpredictable'
Hii mitandao hai-respond to clientele needs kabisa! Afadhali maxence hajaweka hii option ya marital status humu jf, kila mtu angekuwa single tena yenye bold,lol
facebook status as single.jpg
..
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom