Wats up MBU,Lizzy & other Jf members.
Duuuuuuu!!!
Honestly mada imenibamba coz nina bestfriend wangu kampoteza ampendaye coz of "FACEBOOK" hivyo bac nikitaka kumchokoza namuita cha facebook. Wandugu plz naomba msupply ma ujafanja ili nami isije nicost kivile.
oaHahahahaha. . . .
BAK hivi kumbe mpaka LIKE unazihesabu? Basi naacha kuchangia na post zake kabisa.
Ila siku hizi bana watu wakiwa kwenye mahusiano wanachunguzana mtithili ya bacteria kwenye microscope. It's dangerous. . . maana ukishakua paranoid unaishia kuona hata patterns ambazo hazipo au sio za makusudi.
Mapenzi nayo ni kitu cha msingi kakondoo. . . muhimu watu wasichakachue na kuharibu maana.Ila watu wanalizwa jamani, kama facebook ndio balaa!!! Mi huwa najiuliza, ina maana huko (mbali na jf) hakuna mambo mengine ya msingi zaidi ya kuentertain mapenzi tu??
Hizi social net work acha tu. Mi nilimuombaga urafiki mamsap fb akaniignore. Nilichofanya nilifungua email tofauti nikatumia jina tofauti na nikaweka picha tofauti, nikamwomba urafiki haikuchukua hta nukta akaniad bila kujua kamuadd mamsap. Yaani yalioendelea humo we acha tu. Eti akanitongoza na kunitongoza, tukawa wapenzi na no zake akaanika. Nikawa natumia mtu mwengine kuongea nae. Sasa ilipofika siku anataka tuonane, na upande wangu mimi real mamsap akaanza vituko, kejeli, dharau. Mwisho wa siku nikampasulia ukweli hakuamini. Aibu hdi nyayoni, Facebook hukoo!
......sasa kimbembe ni pale ushalitibua huko nyumbani, ukifika ofisini unakumbana na wasamaria wema mlangoni wanakupa pole,....mke/mume keshatangaza talaka mtandaoni!
hakuna siri tena!
Hahahahaha. . . .
BAK hivi kumbe mpaka LIKE unazihesabu? Basi naacha kuchangia na post zake kabisa.
Ila siku hizi bana watu wakiwa kwenye mahusiano wanachunguzana mtithili ya bacteria kwenye microscope. It's dangerous. . . maana ukishakua paranoid unaishia kuona hata patterns ambazo hazipo au sio za makusudi.
...Mkuu Mbu kwa taarifa yako Njemba haikuwa na access ila ilifanya uchakachuaji ili kupata access.
Hizi social net work acha tu. Mi nilimuombaga urafiki mamsap fb akaniignore. Nilichofanya nilifungua email tofauti nikatumia jina tofauti na nikaweka picha tofauti, nikamwomba urafiki haikuchukua hta nukta akaniad bila kujua kamuadd mamsap. Yaani yalioendelea humo we acha tu. Eti akanitongoza na kunitongoza, tukawa wapenzi na no zake akaanika. Nikawa natumia mtu mwengine kuongea nae. Sasa ilipofika siku anataka tuonane, na upande wangu mimi real mamsap akaanza vituko, kejeli, dharau. Mwisho wa siku nikampasulia ukweli hakuamini. Aibu hdi nyayoni, Facebook hukoo!
Vitu vingine kama movie vile.
Yani mtu anakua mzembe kiasi hicho? Pole mwaya.
Wats up MBU,Lizzy & other Jf members.
Duuuuuuu!!!
Honestly mada imenibamba coz nina bestfriend wangu kampoteza ampendaye coz of "FACEBOOK" hivyo bac nikitaka kumchokoza namuita cha facebook. Wandugu plz naomba msupply ma ujafanja ili nami isije nicost kivile.
Wats up MBU,Lizzy & other Jf members.
Duuuuuuu!!!
Honestly mada imenibamba coz nina bestfriend wangu kampoteza ampendaye coz of "FACEBOOK" hivyo bac nikitaka kumchokoza namuita cha facebook. Wandugu plz naomba msupply ma ujafanja ili nami isije nicost kivile.
...hahahaha, mmezungumza lugha moja, paranoia imezidi na hii mitandao imezidisha balaaaaa....hahahahaha
tutajiepusha vipi sasa na timbwili hili? kuna njia gani zitazotusaidia kuepusha mavarangati haya tunayoyashihudia?
nyumbani mke/mume siku tatu wamenuniana, lakini kila saa wanapekua kwenye profile ya mwenzake ka update nini...sio maisha hayo, lol!
Jaribu kuwa mwelewa na upunguze wivu usiokuwa na tija, though akiamua kukusaliti anakusaliti tu!!!
Vitu vingine kama movie vile.
Yani mtu anakua mzembe kiasi hicho? Pole mwaya.
Hizi social net work acha tu. Mi nilimuombaga urafiki mamsap fb akaniignore. Nilichofanya nilifungua email tofauti nikatumia jina tofauti na nikaweka picha tofauti, nikamwomba urafiki haikuchukua hta nukta akaniad bila kujua kamuadd mamsap. Yaani yalioendelea humo we acha tu. Eti akanitongoza na kunitongoza, tukawa wapenzi na no zake akaanika. Nikawa natumia mtu mwengine kuongea nae. Sasa ilipofika siku anataka tuonane, na upande wangu mimi real mamsap akaanza vituko, kejeli, dharau. Mwisho wa siku nikampasulia ukweli hakuamini. Aibu hdi nyayoni, Facebook hukoo!
...hahahaha, mmezungumza lugha moja, paranoia imezidi na hii mitandao imezidisha balaaaaa....hahahahaha
tutajiepusha vipi sasa na timbwili hili? kuna njia gani zitazotusaidia kuepusha mavarangati haya tunayoyashihudia?
nyumbani mke/mume siku tatu wamenuniana, lakini kila saa wanapekua kwenye profile ya mwenzake ka update nini...sio maisha hayo, lol!
Asingeongeza ongeza watu hovyo.
....daaahhh, pole bana....duhhhh!?
...unataka kuniambia ujanja angefanyaje hapo naye lengo lake labda ilikuwa ni cheating?
Hahahahaha. . . kweli wanadamu hatunazo. Kwahiyo mke ananuniwa mpenzi asiyemjua ndio anamdekea?Kaazi kweli kweli.We acha tu Lizzy, tulipokuwa tunachart wakati mwengine nilikuwa nacheka, s'times nilikuwa naumia kweli kweli. Akinikosa tu net msg ktk simu analalamikaa. Na hajui anamlalamikia mtu anamjua in and out. Na ni moja ya vitu vilivyofanya tukatengana.