Social Network Regulatory Act (SNRA) Yaja..........

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Tanzanian Cyber Crime Specialists Attend U.S.-sponsored Workshop in Nairobi

Four cyber crime specialists from Tanzania are participating in a "Cybercrime Legislation and Capacity Building Workshop" sponsored by the American people this week in Nairobi, Kenya, with other participants from eastern and southern Africa.

According to U.S. Embassy spokesperson Jeffery A. Salaiz, the goal of this workshop is to support participating countries' efforts to develop laws and procedures that will improve their ability to investigate and prosecute crimes involving computers and the Internet.

Delegations from each participating country will present reports on their home country's laws related to cybercrime and electronic evidence. The participants will benefit from expertise of prosecutors from the U.S. Department of Justice's Cybercrime and Intellectual Property Section and subject-matter experts from Africa.

The three-week invitation comes at a time when police statistics show that cyber crime has increased from 351 cases last year to 383 this year. Another group of 12 government officials will leave tomorrow for Seoul, for capacity building course on Public Sector Management.

According to Korea International Co-operation Agency (KOICA) Training Co-ordinator, Ms Judith Sassi, the training would be a good opportunity for the crime busters to build capacity.

Todate, there are more than 400 Tanzanians, who have participated in such programmes out of which 43 were offered scholarship for Master's programme

Hatua na jitihada njema hii. Lakini lazima pia tujiulize, wanaoenda huko miaka na miaka ni akina nani hao...si watutajie majina ili tuipime input yao katika jamii, au hili nalo ni swala la siri kama mikataba yetu ya madini??!
 
Akina Shy, EMT, Kiranga, Mtazamaji, Kimweri, Kang, Uncle Rukus, Maxence Melo... ndiyo ninyi mnaohudhuria hii semina au ni makada wa chama pekee nndo wenye nafasi??!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Heading yako na kilichoandikwa havina uhusiano.

nilikuwa naelekea kuandika kama hapo juu unajua tatizo ni hii lugha ya kigeni kwa MS, hapa yeye ameicopy huko alipoikuta na kuipaste hapa na hata hivyo ameiitafsiri tofauti kabisaaaaaaaa, huyu mtu haelewi kabisa hii lugha
 
Jamani pamoja mtoa thread ni dhahiri amekimbia shule na ni mbumbumbu kabisa wa lugha ya kiingereza, lakini siku hizi si kuna Google translate? kwa nini asiitumie hiyo kuliko kuja kujitia aibu hapa hadharani?
 
tatizo huelewi, hao watu waliotumwa kwenda kuwa trained ndo watasimamia SOCIAL NETWORK REGURATORY AUTHORTY

ikianza hapa utakuwa unaandika kwa heshima
 
This is a very good move.... But just like many good plans in Tanzania, it falls into the wrong hands of government officials with less than impressive ability and quality to execute assignments, let alone Efficiency and effectiveness as factor to work on

Tena hii ya Nairobi has reminded me the IT consultant wa kenya alivyoliweka shirika moja ya pensheni hatarini kwa kutunga vitu kihisia na kusababisha MD kusaini shoddy documents
 
PRESS RELEASE

Tanzanian Cyber Crime Specialists Attend U.S.-sponsored Workshop in Nairobi

December 4, 2008
Four cyber crime specialists from Tanzania are participating in a "Cybercrime Legislation and Capacity Building Workshop" sponsored by the American people this week in Nairobi, Kenya, with other participants from eastern and southern Africa.

The Tanzanian delegation comprises Andrew Jumamosi, Senior Superintendent of Police, Head of Cyber Crimes Unit; Neema Chusi, District Court Magistrate; Lincoln Benn, Head of Legal Prosecution, Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB); and Ali Hilal Vuai, State Attorney, Zanzibar. They will join participants from Botswana, Kenya, Malawi, Namibia, Uganda and Zambia.

According to U.S. Embassy spokesperson Jeffery A. Salaiz, the goal of this workshop is to support participating countries' efforts to develop laws and procedures that will improve their ability to investigate and prosecute crimes involving computers and the Internet.

This workshop will focus on developing legislation to address cybercrime and electronic evidence issues. It will cover topics such as assessing the nature and scope of crime involving computers and the Internet in Africa; drafting cybercrime legislation; developing legislation and procedures for gathering and using electronic evidence; and improving international legal cooperation in cybercrime matters.

Delegations from each participating country will present reports on their home country's laws related to cybercrime and electronic evidence. The participants will benefit from expertise of prosecutors from the U.S. Department of Justice's Cybercrime and Intellectual Property Section and subject-matter experts from Africa.

Funding for this program comes from the American people and is part of overall U.S. Government direct and multilateral assistance to Tanzania of more than 750 billion Tanzanian shillings during fiscal year 2008.

MS unavuta bangi hii ni taarifa ya mwaka 2008, mod piga ban huyu mtu
 
The balance between regulation and repression is very thin when it comes to social networking... na kama unabisha waulize watu how they feel about PAW
 
tatizo huelewi, hao watu waliotumwa kwenda kuwa trained ndo watasimamia SOCIAL NETWORK REGURATORY AUTHORTY

ikianza hapa utakuwa unaandika kwa heshima
Kenge wewe mimi ninaishi Port Haifa Israel hizo Regulatory zenu zinanihusu nini?
 
Akina Shy, EMT, Kiranga, Mtazamaji, Kimweri, Kang, Uncle Rukus, Maxence Melo... ndiyo ninyi mnaohudhuria hii semina au ni makada wa chama pekee nndo wenye nafasi??!

Hahahhaha mimi simo aisee ila navyojua hizi short training hasa za majuu hazileti tofauti sababu wanajipachika kwenda sio watu sahihi. Unakuta Course ya cyber crimesi bosi wa makao makuu pale poliis ambaye hata hatjui http , Sql injection ni nini yumo kwenye semina ya cyber crime.

Mwisho wa siku semina inakuwa imesadia kutatua matatizo ya kiuchumi tu ya waudhuriaji na sio kutatua matatizo ya kitaaluma au ya kiofisi.
 
Akina Shy, EMT, Kiranga, Mtazamaji, Kimweri, Kang, Uncle Rukus, Maxence Melo... ndiyo ninyi mnaohudhuria hii semina au ni makada wa chama pekee nndo wenye nafasi??!

Nilitaka nikuambie umwulize Mtazamaji, naona kashajibu, japokuwa alichopaste mleta thread ni cha mwaka 2008. Unakumbuka ile thread ya Mtazamaji ya hackers ambayo tulitoa majina ya top Tanzania experts on cyber crimes? Utapenda na roho yako. Cheki hata website ya Taifa ni full of malware.

attachment.php

Tz website.PNG
 
View attachment 34820

hiii kitu niliiona tangu last week nilitaka kuiweka lkn nilishindwa jinsi ya kuiattach coz nilihofia kwa kutumia hiyo link huwenda ingeleta madhara kwa members maana wengine humu anti virus zao ni pirated/free licence
 
Back
Top Bottom