so so so saaaaaaaaaaad!

AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,120
641
yani hapaaa naandika ndio kama dk 45 zimepita toka kasheshe la mhaiti mmoja na mnigeria kukamatwa na mapolisi bada ya kukamatwa na bangi na madawa ya kulevia ktk room wanayolala ambayo iko ktk flour yangu mm ninakoishi loh! wanaenda kula 14 years bila pingamizi yani na mmoja alibakiza miezi 9 achukue master yake asepe loh! yani mlangoni kwao waliandika dont mess with mother cobra lkn cku zote tunajua ni maneno tuu mana hata cc mlangoni kwetu tumeandika slogan yetu kumbe loh!
ddd45.jpg
 
Yaani madawa ya kulevya yakikukamata utajuta, uwe muuza au muuziwa.
 
yani hapaaa naandika ndio kama dk 45 zimepita toka kasheshe la mhaiti mmoja na mnigeria kukamatwa na mapolisi bada ya kukamatwa na bangi na madawa ya kulevia ktk room wanayolala ambayo iko ktk flour yangu mm ninakoishi loh! wanaenda kula 14 years bila pingamizi yani na mmoja alibakiza miezi 9 achukue master yake asepe loh! yani mlangoni kwao waliandika dont mess with mother cobra lkn cku zote tunajua ni maneno tuu mana hata cc mlangoni kwetu tumeandika slogan yetu kumbe loh!
View attachment 39700

Mkuu, upo sehemu gani?
 
mkuu mbona watu kukamatwa kawaida sana.ukitaka uamin kaa uone.kesho utawaona mtaani ndo ushangae sheria zetu zilivyo.mia
 
sio za huku mwanangu unaozea jela walah hata serikali ya tz ikiingilia walah hutoki
 
yani hapaaa naandika ndio kama dk 45 zimepita toka kasheshe la mhaiti mmoja na mnigeria kukamatwa na mapolisi bada ya kukamatwa na bangi na madawa ya kulevia ktk room wanayolala ambayo iko ktk flour yangu mm ninakoishi loh! wanaenda kula 14 years bila pingamizi yani na mmoja alibakiza miezi 9 achukue master yake asepe loh! yani mlangoni kwao waliandika dont mess with mother cobra lkn cku zote tunajua ni maneno tuu mana hata cc mlangoni kwetu tumeandika slogan yetu kumbe loh!
View attachment 39700
Wafungwe tu, hakuna cha kuwaonea huruma. Mpaka kushikwa watakuwa wameshaangamiza afya za watu wengi tu. Wauza unga nawachukia sana,
 
Back
Top Bottom