so sad!!!!!!!

kipindi ninasoma maeneo ya kaskazini, kuna shule za wasichana walikuwa maarufu wa kuiba "test tube"....hizo zilikuwa zatumiwa maalum kwa ajili ya kusuguana[/QUOT

Yaani ni shida tu. Mungu atusaidie kwa kweli.
 
Roho imeniuma mpaka imetosha,nikifikiria vitoto vyangu nalowa kabisa.
 
ndio hivyo nishawahi nami kusikia kisa kama hicho na aliyekua akifanya hivyo ni hawa beki 3...mama wa mtoto alipokuja gundua beki 3 alikua kashaacha kazi na binti yake kashaharibiwa

oh, God forbid. yan nitamsaka huyo beki 3 kwa udi na uvumba nimtie adabu kwanza.
 
bora useme dada, me nimemtizama tu na kumwacha kama alivyo!

yani mi hapa naumwaje tumbo la uzazi kila nikiskia visa vya aina hii kwa hawa watoto,nina mabinti wa miaka 14 na miaka 7sasa yani kila nikiwangalia nabaki kumuomba tu Mungu anilelee mabinti zangu,yani nahisi mpka machozi yananilenga nikijaribu kutathmini changamoto za malezi tulizo nazo na haya maisha !
 
Baba ana haki ya kuwa close na mwanae apendavyo; si wake?

Unless umeolewa na shetani. Na kama mumeo ni shetani lazima utakuwa unamjua.

Kwa hiyo mtu akinambia ana wasiwasi na mmewe...mi najua si tahadhari ila mmewe si mtu.

Na wewe unakubali kuwa unaweza mtamani mwanao akiwa too close na wewe?


Hivi nimeeleweka hivyo? Kama baadhi ya wazazi wanatembea au kunajisi watoto wao, kuna kosa gani kuchukua tahadhari?
 
Baba ana haki ya kuwa close na mwanae apendavyo; si wake?Unless umeolewa na shetani. Na kama mumeo ni shetani lazima utakuwa unamjua.Kwa hiyo mtu akinambia ana wasiwasi na mmewe...mi najua si tahadhari ila mmewe si mtu.Na wewe unakubali kuwa unaweza mtamani mwanao akiwa too close na wewe?
Ukiniuliza mimi utapata taarifa ambazo zinaweza kuwa hazina maana yoyote. Ila kama hujawahi kusikia habari za wazazi wanaotembea na watoto wao naomba unisamehe Nk.
 
Wapo lakini si mume wangu? Wapo lakini si watu wa kawaida?
Hivyo sioni sababu ya kukosa imani na mume wangu kwa WATOTO WAKE...maana kama ni kuhofia basi tungehofu hao watoto kiume zaidi maana wakiharibika ndio nitolee hiyo.

Siwalaumu hao wasio na imani na waume zao; kwa sababu sijuhi kilichowafikisha kuamini wanchoamini. Watakuwa wanawajua vizuri waume zao.

Ukiniuliza mimi utapata taarifa ambazo zinaweza kuwa hazina maana yoyote. Ila kama hujawahi kusikia habari za wazazi wanaotembea na watoto wao naomba unisamehe Nk.
 
Ndio maana kila siku nikiamka namwomba Mungu nisii'miss use my glock 17, 9mm.
Kuna mambo yanaudhi katika ulimwengu huu.
 
Wapo lakini si mume wangu? Wapo lakini si watu wa kawaida?
Hivyo sioni sababu ya kukosa imani na mume wangu kwa WATOTO WAKE...maana kama ni kuhofia basi tungehofu hao watoto kiume zaidi maana wakiharibika ndio nitolee hiyo.

Siwalaumu hao wasio na imani na waume zao; kwa sababu sijuhi kilichowafikisha kuamini wanchoamini. Watakuwa wanawajua vizuri waume zao.

NK,

Simaanishi kwamba mtu asimwamini mwenzi wake.

Hata hivyo, watu wanatakiwa kuwa waangalifu sana. Kwanza usimwamini mtu yeyote ambaye anaweza kuwa karibu na wanao. Hawa ni pamoja na walimu, watumishi wa ndani na ndugu. Ila kwa upande wa wazazi, naamini kwamba inabidi kuangaliana ili kama kuna tabia yoyote isiyo ya kawaida basi mtu achukue hatua mapema. Sina hakika kama kuwa mdadisi kwa kuangalia mambo ambayo mwenzi wako anafanya na watoto kama ni kutomwamini.

Kama bado unakwazika basi pole sana. Hata hivyo inakubidi ukubali kwamba watu tunatofautiana katika mitizamo.

Babu DC!!
 
.....................halafu sio huyo mdada aliyemfanyia huyo mtoto ndo pekee anatakiwa alaaniwe, hata wadada watu wazima mnaofanyiana hiyo michezo ya kutiana vidole na midude yenu ile ya bandia mlaaniwe!
 
Back
Top Bottom