so sad!!!!!!!

Ile kauli ya mtoto wa mwenzio ni wako imeshindikana application yake kabisa.
 
Kuna rafiki yangu anaogopa u close wa mabinti zake na baba yao...to me that is too much.

Mimi baba yangu alikuwa ananipenda sana...na mimi nilikuwa nampenda sana.

Mpaka nikiwa na akili zangu mama alikuwa akisafiri natia timu chumbani kwa baba...namwambia nataka kulala nae.

Na hakuwahi kunibaka...baba anayebaka mtoto ana matatizo ya akili. Tuwaache mabinti wapende baba zao...na mababa wapende mabinti zao.

Mpaka leo hii baba yangu ananikumbushia nilivyokuwa nampenda nikiwa mdogo.

Haya mambo yanasikitisha sana na hutokea mara kwama mara katika jamii yetu.

Na siyo marafiki tu, hata wazazi wenyewe mnatakiwa kuwekeana CCTV!!

Babu DC!!
 
Tunakoelekea hii kauli itakufa aisee.

Mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzio ndio replacement yake

Wazazi yatupasa kuwa waangalifu sana, na kuwa karibu na wanetu.

Nasikia hata hizi shule za boarding hizi za pre primary na primary school vitoto huwa vinalawitiana.
 
Huko mwanangu simpeleki hata kwa dawa.

Kama wa kiume utajashtukia una shoga ndani.

Wazazi yatupasa kuwa waangalifu sana, na kuwa karibu na wanetu.

Nasikia hata hizi shule za boarding hizi za pre primary na primary school vitoto huwa vinalawitiana.
 
Kuna rafiki yangu anaogopa u close wa mabinti zake na baba yao...to me that is too much.Mimi baba yangu alikuwa ananipenda sana...na mimi nilikuwa nampenda sana.Mpaka nikiwa na akili zangu mama alikuwa akisafiri natia timu chumbani kwa baba...namwambia nataka kulala nae. Na hakuwahi kunibaka...baba anayebaka mtoto ana matatizo ya akili. Tuwaache mabinti wapende baba zao...na mababa wapende mabinti zao.Mpaka leo hii baba yangu ananikumbushia nilivyokuwa nampenda nikiwa mdogo.
Hivi nimeeleweka hivyo? Kama baadhi ya wazazi wanatembea au kunajisi watoto wao, kuna kosa gani kuchukua tahadhari?
 
Wazazi yatupasa kuwa waangalifu sana, na kuwa karibu na wanetu.Nasikia hata hizi shule za boarding hizi za pre primary na primary school vitoto huwa vinalawitiana.
Ndio maana mie sizipendi hizo shule kwa watoto wadogo. Wanawaondoa nyumbani kwa sababu gani?
 
akapatwa na wasiwasi juu ya urafiki kati ya yule dada na mwanae, akaanza kumpeleleza mwanae. ndipo mwanae akamwambia kile ambacho alikuwa akifanyiwa. yule dada alikamatwa na kushtakiwa mwisho akafungwa lakini mtoto alikuwa amekwisha haribiwa. .
WITO.. KINAMAMA TUWENI MAKINI NA URAFIKI KATI YA WATOTO WETU NA WATU WAZIMA.

Duh, ama kweli Yesu aje ahitimishe tu hii dunia. Hata kutumia midizi alishindwa?
 
duh, nyumba kubwa dunia ya sasa inatisha. . . ni kumuomba Mwenyezi Mungu atulindie wanetu, make hata huko mashuleni pia ni hatari.
[bold]wazazi muwe mnawaombea watoto wenu kwa Mola ili awaepushe na mabazazi[/bold]
 
Last edited by a moderator:
Duh. . .yani alishindwa kabisa kufanya hayo na mkubwa mwenzie?Kweli ubinadamu kazi!!

She is sick-psychologically disturbed!While in custody anahitaji treatment pia kwa sababu kifungo kinaweza kisimbadilishe hako katabia kwa sababu hakaja pata tiba.
 
Ndio maana mie sizipendi hizo shule kwa watoto wadogo. Wanawaondoa nyumbani kwa sababu gani?

Mi naona n kukwepa kutimiza majukumu yao, na wengine basi tu waonekane wana pesa za kuwapeleka watoto wao kwenye shule za hela. Na uvivu wa kufikiri pia.

Utakuta katoto ka 3yrs eti kapo boarding, kweli?

Kuna shule moja ya bording mchanganyiko, pre primary na primary school iliwalazimu ku phase out all boys na shule ikabaki kuwa ya wasichana baada ya kupata kesi nyingi za watoto kulawitiana,

Mbaya sana kwa kweli. Uangalizi mzuri wa mtoto ni pake unapokuwa nae karibu.
 
Mi naona n kukwepa kutimiza majukumu yao, na wengine basi tu waonekane wana pesa za kuwapeleka watoto wao kwenye shule za hela. Na uvivu wa kufikiri pia.Utakuta katoto ka 3yrs eti kapo boarding, kweli?Kuna shule moja ya bording mchanganyiko, pre primary na primary school iliwalazimu ku phase out all boys na shule ikabaki kuwa ya wasichana baada ya kupata kesi nyingi za watoto kulawitiana,Mbaya sana kwa kweli. Uangalizi mzuri wa mtoto ni pake unapokuwa nae karibu.
Kweli kabisa Koku. Kama siyo kukwepa majukumu basi ni ulimbukeni!Mbona hata girls nao wana michezo michafu?
 
kumbe ndio maaana sikutani na bikra kumbe kuna hadi wadada wanazitoa za watoto wa wenzao kazi ipo hapa
 
Kweli kabisa Koku. Kama siyo kukwepa majukumu basi ni ulimbukeni!Mbona hata girls nao wana michezo michafu?

Si kama huyu mama tuiesimuliwa hapa.

Girls ni kweli nao wana mambo yao. Katika malezi yatupasa kumuomba Mungu sana kwa ajili ya watoto wetu huku tukiwa mstari wa mbele kuhakikisha maadili wanayafuata.
 
duh,hao watakuwa na roho mbaya kuliko shetani. . .

ndio hivyo nishawahi nami kusikia kisa kama hicho na aliyekua akifanya hivyo ni hawa beki 3...mama wa mtoto alipokuja gundua beki 3 alikua kashaacha kazi na binti yake kashaharibiwa
 
Wazazi yatupasa kuwa waangalifu sana, na kuwa karibu na wanetu.

Nasikia hata hizi shule za boarding hizi za pre primary na primary school vitoto huwa vinalawitiana.

kipindi ninasoma maeneo ya kaskazini, kuna shule za wasichana walikuwa maarufu wa kuiba "test tube"....hizo zilikuwa zatumiwa maalum kwa ajili ya kusuguana
 
Back
Top Bottom