so sad!!!!!!!

mavi ya kuku.........nadhani ningechukua hatua mbaya sana juu ya huyo ngurumbili....
 
this story makes me rage :angry:, maskini mtoto mdogo, anaweza kupewa ushauri nasaha mpaka akasahau this awful experience. huyo dada alikosa mtu mzima mwenzie :angry: to hell with her :evil:
 
bora hata huyo alikua anatumia vidole wapo ambao wanawasokomeza karoti na matango...
 
Mi nakwambia mtoto wa kike inabidi umlinde na ma lesbian pia. Sasa hawa ni wagumu kweli kukamatika kwa kuwa wanatumia ukweli kuwa ni watu wa jinsia moja kuficha dhambi zao.

Mimi sitaki mtu anipendee mwanagu...sitaki. Mambo ooh mwanao nampenda nipe niende nae home...sitakiiii. Dunia imekwisha siku hizi

Nakumbuka niliwahi kuwa close na niseme mtoto sijuhi kijana fulani... nilikuwa bado niko single by then lakini in late 20s. My hubby by then akiwa boyfriend akanambia NK sipendi ukaribu wako na huyu mtoto watu watakuzushia muda si mrefu; najua hubby ana wivu sana lakini niliona ina make sense; ingawa mwanzo nilifikiri kwa kuwa tuna age difference kubwa hakuna anayeweza kuhisi chochote juu yetu.

Mimi kwa kuwa sina ushoga na wasichana, sikuwa naona ubaya yuke kijana kuja kutia story home...na nilikuwa nakaa peke yangu kwenye nyumba kubwa tuuu (ya ofisi. Lol). Hivyo yule mtoto alikuwa anapenda kuja kujiachia sebuleni kwangu.

Tatizo ni kuwa yule mtoto alikuwa ananipenda sana na kama ana ni admire fulani; ambayo mi sikuona ubaya; nilichukulia ni mambo ya kutafuta mentor ...nikitoka job anatia timu...tulikuwa jirani (ma flats fulani) na mama yake nadhani alikuwa ananitumia kama mfano hili huyu kijana apende shule maana alikuwa kama kashindikana fulani spoiled kind of. Hivyo ilimfanya yule kijana aninpende sana..utasikia dada NK hivi..dada NK hivi...namshauri arudi shule maana ali drop form 4

Ilikuwa ngumu kweli kumkwepa lakini nilifanikiwa. Maana na mimi nikaanza kujiuliza hivi wakisema nina uhusiano uso wa kawaida na huyu mtoto itakuwaje? Maana nilikuwa nakaa peke yangu.

SI watu wote ni wabaya...tatizo ni kuwa wabaya hawana kibandiko usoni kuwatofautisha na wazuri.

akapatwa na wasiwasi juu ya urafiki kati ya yule dada na mwanae, akaanza kumpeleleza mwanae. ndipo mwanae akamwambia kile ambacho alikuwa akifanyiwa. yule dada alikamatwa na kushtakiwa mwisho akafungwa lakini mtoto alikuwa amekwisha haribiwa. .
WITO.. KINAMAMA TUWENI MAKINI NA URAFIKI KATI YA WATOTO WETU NA WATU WAZIMA.
 
Kuna watu wanajifanya wagumu...wanaojidai ooh si lazima kuwa na mwanaume/boyfriend huku kazi yao kuharibu vitoto.

Huyo angekuwa na mtu asingekuwa na mawazo machafu hivyo.

Ndio maana wanasema hata house girl asiyepewa off...anaweza fanya mambo ya hajabu kwa watoto.

Kazi kweli kweli, nadhan alikuwa anapenda KUINGIZA na si KUINGIZWA, ila is true very very sad!
 
Ngoja nisiongee mpaka hasira ipungue . . . . . . . . . . !!
 
Haya mambo yanasikitisha sana na hutokea mara kwama mara katika jamii yetu.

Na siyo marafiki tu, hata wazazi wenyewe mnatakiwa kuwekeana CCTV!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom