Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SO SAD:Wanafunzi wa kitanzania waiba kwenye supermarket huko Moscow-Russia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Black Bat, Aug 13, 2011.

 1. Black Bat

  Black Bat JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,461
  Likes Received: 483
  Trophy Points: 180
  Jamani kama sikosei kulikuwa na malalamishi ya hawa wanafunzi kwenda kwa waziri mkuu. niliyaona hapa hapa JF . sema sikutilia manani saana .sasa nimeingia kule kwenye jukwaa la Elimu nimekutaka na hiki kibwanga toka kwa hao hao wanafunzi. hivi ni nani aliwapeleka huko Russia? Russia ni nchi ngumu sana jamani.. jela zao ni mbaya sana .huko St Peters haupiti mwezi bila foreigner kupigwa au kuuwawa .. na ukiingia kwenye underground train hutakiwi ukae kwenye kiti .. mtu mweusi ukikaa unatemewa mate...Serikali kama imeshindwa kuwahudumia tunaomba iwarudishe huku nyumbani coz this now is too much.. kama hili badiko na la kweli na wameiba kweli ina maana wataenda kuishia jela .. tunaomba waandishi wa habari wafuatilie hili jambo kwa sababu kipindi cha USSR ukienda jela za urusi ulikuwa hutoki una pigwa sindano za kifo and no one cares about you.. mimi mjomba wangu alirudishwa maiti kutoka urusi miaka ya tisini.. kuweni makini sana wazazi urusi so nchi nzuri ya kumpeleka mwanao..
   
 2. Black Bat

  Black Bat JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,461
  Likes Received: 483
  Trophy Points: 180
  usije mjini
   
 3. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 5,921
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Walitumwa waende huko kufanya nini? Nchi yenyewe baridi + ubaguzi, na hard life..
   
 4. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 968
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mambo ya kukurupukia scholarship!
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 11,458
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Pole sana lakini we have to think twice kabla ya kukurupukia kila scholarship
   
 6. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,047
  Likes Received: 1,082
  Trophy Points: 280
  umeona mkuu!

  inabii vijana wetu waangalie na scholarships zenyewe ... rusia kuna faa wakafanye masters tu! undergraduate ni mateso kule ...
   
 7. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 6,158
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Poleni sana mkuu. Duu ukizingatia kiwanja chenyewe Russia! Poleni sana. Vipi lile tawi la CCM Moscow halijapeleka madai yenu Dodoma?
   
 8. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,445
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Lawama zote kwa nchi/selikali why why why, no one cares... jamani tufanyieni mambo mazuri huko nchi yetu ni nzuri sana hatupendi kutoka ila mnatuboa, masikini wanafunzi hawa!
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,720
  Likes Received: 2,071
  Trophy Points: 280
  wasaidiwe kama inawezekana jamani......ni watanzania wenzetu.....mipasho itafuata baadae wakishafika nyumbani.....
   
 10. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 6,158
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Tena ukizingatia pana tawi la CCM Moscow!
   
 11. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kama waliahidiwa na serikali kutumiwa ada/posho za kujikimu,msiwalaumu.Acheni vijana watafute elimu na uzoefu wa maisha/exposure duniani hapa.Maisha ni magumu kila mahali na siyo Russia tu
   
 12. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,473
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Mkuu black sad iko wapi
  kama walipelekwa bure wakahaidiwaa kulishwa bure aafuwatu wamekula hela zao wizaran kwa nini wasiibe minimependa wameonyesha uhalisia wao na wangeniuliza ningejibu serikalli imegoma kutupa hela yaani katika watu wanaoteseka
  ni wanafunzi wa russia na wengi wanaishia kuto$%%^^ na wazungu ajikimu wamalize wakiogopa kurudi na aibu tanzania bila degree sasaa unaweza jua sababu iliowafanya waibe
   
 13. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,473
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  nahisi baba zao waliotoa pesa watoto wa masikini wasiende ndio wa kulaumiwa na ukweli wengi hasa wanawake wakirudi wanakuja na watoto wasio na baba zao sasa ingekuwa mimi ningeenda kumpelekea rais kikwete ammtunze pale kwenye geti la ikulu nimuonyeshe mateso ya kutotoa hela za wanafunzi ....
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 30,395
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280
  ebo...kiini macho au?
   
Loading...