So funny

Dogo ananikumbusha miaka ya 1994 wakati nipo shule ya msingi. Zilikua ndio zetu hizo na marafiki zangu. Tukitoka shule tunapita kila nyumba yenye kengele. Tunagonga kengele halafu wenyewe wakija tunakimbia.
Wewe una nafuu,sisi tulikuwa tunavizia nyumba iliyopakwa chokaa au rangi nzuuri,basi tunaandika maandishi makubwa kwa makokwa ya maparachichi,NYUMBA HII IMEUZWA!,maandishi ya peke la parachichi ni balaa,huwa hayafutiki.
 
Back
Top Bottom