Snow inavyofunika magari ulaya siku hizi

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
chicago_il.jpg

Hii picha imenikumbusha mbaoi siku nilipochelewa kwenda darasani college huko baada ya kukwamba njiani nilipotoka kazini usiku sababu ya snow kunyesha futi tatu sawa na karibu meter moja
 
Hongera mkuu, kumbe na wewe ulishakuwa mbeba mabox?
 
chicago_il.jpg

Hii picha imenikumbusha mbaoi siku nilipochelewa kwenda darasani college huko baada ya kukwamba njiani nilipotoka kazini usiku sababu ya snow kunyesha futi tatu sawa na karibu meter moja
kwa nchi za nje ni vitu vya kawaida tu hswa huu mwezi wa pili na balaa huku nilipo.................

kar-istanbulu-beyaza-burudu.jpg

27.01.2012 09:37

219770_kar-yagisi.jpg

Wabongo msije huku mtaganda jamani mie sitoki njee barafu ya kumwaga ukiwa na ngiri waweza kufaa....................................
 
hivi ni ngumu kama mawe au laini kama pamba!!!

Ni laini kama pamba na ukishika mkononi unayeyuka ghafla na kuwa majimaji. Lakini ikikaa ardhini na temperature ikizidi kuwa baridi huganda na kuwa barafu. Ikinyesha hiyo jitahidi kuiondoa mlangoni na njia ya kutembelea au kupaki gari kabla haijaganda, ikishaganda utahitaji kuingia gharama ya kununua viroba vya chumvi kwa ajili ya kumwaga chumvi kuyeyusha vinginevyo ni jiwe la barafu. Actuayy I hate snow.
 
kwa nchi za nje ni vitu vya kawaida tu hswa huu mwezi wa pili na balaa huku nilipo.................

kar-istanbulu-beyaza-burudu.jpg

27.01.2012 09:37

219770_kar-yagisi.jpg

Wabongo msije huku mtaganda jamani mie sitoki njee barafu ya kuwaga ukiwa na ngiri waweza kufaa....................................

We MziziMkavu umenirudisha mbali sana, nikikumbuka na kuwaza yaliyonipata basi tu. Asubuhi unaamka uwahi kwenda chuoni unakutana na gari lako limezama ndani ya snow. Huwezi kuondoka hadi upige sepetu na kuwasha gari kwa dakika kadhaa kupasha joto ili barafu iyeyuke. Sikumbuki ile sepetu nimeachia wapi nilipoondoka, labda landlord alipata urithi.
 
Mwenzangu kwani wewe umerudi bongo? mimi nipo huku nimekumbatia ma Heater hata kuwa nalo mbali hilo Heater sipendi na utu uzimandio kabisa nikiwa na shemeji yako ndio kabisa namkumbatia lakini wapi shemeji yako yupo bongo mimi nipo peke yangu naumia na baridi miaka 20 imepita bado nipo Ughaibuni ahhhh kazi kweli ipooooo

​
 
chicago_il.jpg

Hii picha imenikumbusha mbaoi siku nilipochelewa kwenda darasani college huko baada ya kukwamba njiani nilipotoka kazini usiku sababu ya snow kunyesha futi tatu sawa na karibu meter moja
kumbe uliwahi kukaa il?.....
walioko majuu watutumie walau kil 100 za baridi twafa na joto...
 
Mwenzangu kwani wewe umerudi bongo? mimi nipo huku nimekumbatia ma Heater hata kuwa nalo mbali hilo Heater sipendi na utu uzimandio kabisa nikiwa na shemeji yako ndio kabisa namkumbatia lakini wapi shemeji yako yupo bongo mimi nipo peke yangu naumia na baridi miaka 20 imepita bado nipo Ughaibuni ahhhh kazi kweli ipooooo

​
aiseeeeee........arifu na mko yupo bongo eeeeh? aiseeee goood sana
 
We MziziMkavu umenirudisha mbali sana, nikikumbuka na kuwaza yaliyonipata basi tu. Asubuhi unaamka uwahi kwenda chuoni unakutana na gari lako limezama ndani ya snow. Huwezi kuondoka hadi upige sepetu na kuwasha gari kwa dakika kadhaa kupasha joto ili barafu iyeyuke. Sikumbuki ile sepetu nimeachia wapi nilipoondoka, labda landlord alipata urithi.

Mzee ulikuwa pande za wapi na College gani uliyosoma, maana inawezekana ulisoma na mbeba Box mmoja maarufu sana siku hizi amekuwa ni Rais wa wabeba mabox!!
 
Ni kawaida sana hii hali.

Mie nilipokuwa Dodoma, asubuhi unakuta magari yote yamefunikwa na OMBA OMBA wa Kigogo.

Kufika Mtwara basi asubuhi naona gari limefunikwa na CHAMAKI NCHANGA.

Nilipoacha gari langu pale Lumumba Street, asubuhi naona gari limevamiwa na MAFISADI KIBAO.
 
emirganum4.jpg

Just outside my home

gumussuv7.jpg

snowyhl7.jpg

Mzizi Mkavu basi siku hizi nakuonea huruma bili ya umeme, maana ndani hakukaliki bila hita, na masharti ya nyumba siku hizi lazima hita iwe on vinginevyo mabomba ya maji yanapasuka. Nakumbuka nilivyowekewa mashari na Landlord na kukumbushwa kipindi cha winter kinapoingia. Anayway ni kipindi cha kukomaa sana usoni ka uko Kusini nyanda za juu au lushoto vile.
 
Mzee ulikuwa pande za wapi na College gani uliyosoma, maana inawezekana ulisoma na mbeba Box mmoja maarufu sana siku hizi amekuwa ni Rais wa wabeba mabox!!

Duh! Rais wa wabeba box? Hahahahahaha wanivunja mbavu zangu, unamwangusha Obama wako nini?. Sikukubali kubeba box, pre press ndio ilikuwa kazi yangu, pagenater magazeti ya wazungu mpaka wakakiri, na kisha miaka miwili nikawa nacontrol Roscam Interface Robotical System, ikipata matatizo lazima aitwe mtaalamu toka ujerumani aje kukorokonyoa nerves zake hadi itengamae, huyo mtaalam alikuwa mweusi mzaliwa wa Ujerumani, watu weusi ukiwapa nafasi huwezi kuamini, wazungu ni kushika adabu. Nisingekushauri kazi ya kuendesha robot unakuwa mjinga zaidi ni sawa na punda anayebebeshwa mzigo hata hajui atautua wapi.
 
Mkuu,

Unafanya makosa kukumbatia Heater.

Dawa ya baridi ni kufanya kama Wasichana ma blondy.

Baridi ikizidi, wewe kaa kwenye kona ya nyumba maana hapo kuna nyuzi 90 (Degrees).
Mwenzangu kwani wewe umerudi bongo? mimi nipo huku nimekumbatia ma Heater hata kuwa nalo mbali hilo Heater sipendi na utu uzimandio kabisa nikiwa na shemeji yako ndio kabisa namkumbatia lakini wapi shemeji yako yupo bongo mimi nipo peke yangu naumia na baridi miaka 20 imepita bado nipo Ughaibuni ahhhh kazi kweli ipooooo

​
 
Jamani hata wa chalinze mnatupiga sound??haya bwana inamaana ikinyesha hiyo sijui snow ha muendi kazini??

Inyeshe snow wakati temperature imedrop halafu mvua inyeshe, afadhali kuendesha gari kwenye tope linaloteleza kuliko barafu iliyoganda barabarani.

Nchi inavyochafuka huna hamu na unakumbuka bora Afrika kwetu pamoja na umaskini kuna unafuu. Nchi haipendezi, watu wanaonekana macho tu kwani hata midomo na ua zimefunikwa. Unaonja kama uko mwisho wa dunia vile.

Hawa jamaa matatizo yamewafanya waendelee, maana kabla ya maendeleo sijui walikuwa wanaishije. Ndio maana Ulaya hakuna miti ya asili kwa vile yote waliimaliza kukoka moto kipindi cha winter.
 
Back
Top Bottom