Snoop Dogg Embraces Islam!!!MUST SEE!!

breaking news zingine bana....

sasa mvuta bangi na unga kama huyo

utajivunia nini akijitangaza ni muumini wa dini yako?
wakati bangi zake ziko pala pale?

na kesho utasikia anatoa dvd nyingine ya porno.....

Hao ndio haswa wanaoongoka, wameona hayo ya bangi na unga hayajawasaidia kitu na kanisa halijawasaidia kitu katika kuwaongoa. Wameiona njia iliyo nyooka.
 
breaking news zingine bana....

sasa mvuta bangi na unga kama huyo

utajivunia nini akijitangaza ni muumini wa dini yako?
wakati bangi zake ziko pala pale?

na kesho utasikia anatoa dvd nyingine ya porno.....

Ndugu yangu BOSS acha kuhukumu mtu. Lilsilowezekana kwa watu kwa MUNGU linawezekana na mungu anaweza kubadilisha mwizi, jambazi , malaya , mvuta bangi akawa mtu mwema kabisa. Kwa wakristo tuna mfano mzuri wa MTUME PAULO ambaye alikuwa muuaji na mtu katili lakini neema ya mungu ilipomshukia akawa ndiye mtu aliyetangaza kwa nguvu injili ya bwana YESU
 
Kwani hii nayo ni habari? Mbona jamaa ni mwislam toka siku nyingi tu.
 
Mimi ni muislam lakini sikubaliani na huyu jamaa hata kidogo....Hata kama kaamua hivyo huo uvaaji wake "hereni" uislam haufundishi maadili hayo..Kwa hiyo sidhani kama yupo serious huyu..
 
ah! anatafuta jina tu! mbona bado kavaa hereni.. nywele kaweka dawa .. alafu anasema amesilimu! the dude he not serious! anafanya mambo yote ambayo dini yetu imakataza audience wanapiga makofi!... waislamu hatupigi makofi , nadhani hili ni lile dhehebu la national of islam! they are not real muslims ... the only hiphop star ambaye ameingia haswa katika dini ni LOON!

HUYU HAPA CHINI NDIYE MTU ALIYESILIMU LOON . SNOOP HEZ A JOKE!

loon2.jpg

Jambo la Msingi ni kumuombea maana kuishi Ukristo ni Jambo gumu sana kama huwezi kuikana nafsi yako, ni Lazima ujitoe daima kwa Yesu jambo ambalo ni Gumu sana kwa watu wengi
 
Loon alishapigika baada ya kuona hawezi tena game ya music akasilimu ili apewe petrodollar na alifanikiwa maana mwaka jana alikuwa mgeni maalum wa mfalme Saudia ambapo alimtembelea baada ya kutoka Hijja. Kwa sasa Loon ana uhakika wa maisha kwa hela anazopewa na waarabu.
 
Duh kumbe nyie mtu akiwa mkristo mnapeana hela. huku Uislam hakauna hela baba. Kama unaingia kwa Imani yako na ukifata hela zipo makanisani. Kwenye Sadaka lukuki huku unapewa vitu tu uwe fiti kiroho
 
breaking news zingine bana....

sasa mvuta bangi na unga kama huyo

utajivunia nini akijitangaza ni muumini wa dini yako?
wakati bangi zake ziko pala pale?

na kesho utasikia anatoa dvd nyingine ya porno.....

Uamuzi ni wake ......
 
Kwanini mastaa wanapochoka katika fani zao hukimbilia uislam? Im puzzeled
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom