Sniper Tactics!!!!

Siyo rahisi, believe me. Kuna factors nyingi zinazomfanya mtu awe sniper mzuri. Kwana unatakiwa uwe mvumilivu sana, uweze kutulia bila kusogea kwa muda mrefu. Halafu katika sniping pia kuna mambo mengi, clear vision, obstructions, inclination, wind speed and direction etc etc. Zaidi ya yote unatakiwa uwe na moyo mgumu, maana target yako unaiona kwa karibu mno wakati mwingine hata chunusi unaiona. Kazi hiyo inataka mazoezi ya muda mrefu.

Sure..Mkuuu.....Na uwe na roho ngumu sana...kwani sio random killing like in the war...
 
Ab-Titchaz, we ni sniper? Tuwasiliane nikupe kazi!:mmph:


NewSniperSystem2.jpg

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom