SMS ya tigo kuhusu msichana

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Ninatumiwa SMS mara kwa mara kutoka tigo inayosema kuwa kuna msichana mwenye umri wa miaka 24 aidha miaka 19 mara zote wananiambia ameipenda profileyangu na angependa kuongea na mimi kwa mana hiyo nipige no 0901901901 wanamalizia nifurahie maongezi, Wana JF mimi binasfi SMS hii inanikera sana
 
Lazima ukereke,manake wanakuona wewe fisi maji sana.
 
Unakereka na meseji ambayo unaweza kuifuta tu, halafu usiione tena?! Hebu okoa muda wako kwa kuchagua vitu vya maana vya kukukera! Khaa...
 
inaonekana unapenda hizo sms ila umejaribu kuzifanyia kazi na hujafanikiwa bali umeishia kuliwa airtime yako so acha tamaa na ridhika na ulicho nacho
 
Ninatumiwa SMS mara kwa mara kutoka tigo inayosema kuwa kuna msichana mwenye umri wa miaka 24 aidha miaka 19 mara zote wananiambia ameipenda profileyangu na angependa kuongea na mimi kwa mana hiyo nipige no 0901901901 wanamalizia nifurahie maongezi, Wana JF mimi binasfi SMS hii inanikera sana

andika neno ONDOA na utume kwa namba 0901901901
 
Unakereka na meseji ambayo unaweza kuifuta tu, halafu usiione tena?! Hebu okoa muda wako kwa kuchagua vitu vya maana vya kukukera! Khaa...
ni kweli anaweza kuzipotezea kwa kuzifuta lkn nadhani hujakutana na adha mpya waloigundua sasa maana wanakutwangia kabisa then pokea uone utakavyoachwa solemba. vyote vyote hawa jamaa hawafai. mie miaka 70 hicho kimwari under 15 cha nini kwangu kama sio fedheha tu
 
wanataka wakufundishe ku 0713. wee wakubalie tu mradi wasiku 0713 wewe.
 
kuna mtandao hauna maana wao wanakupigia kabisa.........mnaujua??
 
Hii ni huduma na lazima ujiunge ndio uipate! Cha kufanya kikutafuta njinsi ya kujitoa!
 
you can just unsubscribe by replying to the sender (ONDOA, STOP or CANCEL)
 
Mimi huwa paka napigiwa kabisa na msichana na tunachat sema wewe mnafki coz umejiunga mwenyewe sasa kwanini ukeleke,Mx
 
Ninatumiwa SMS mara kwa mara kutoka tigo inayosema kuwa kuna msichana mwenye umri wa miaka 24 aidha miaka 19 mara zote wananiambia ameipenda profileyangu na angependa kuongea na mimi kwa mana hiyo nipige no 0901901901 wanamalizia nifurahie maongezi, Wana JF mimi binasfi SMS hii inanikera sana
pole!! ila mmmh hyo username yako inantia njaa!!!
 
Wadau naombeni kujua jinsi ya kujliunga nmevutiwa na huo udalali wa tigo. Mwenye kujua ani'PM
 
Back
Top Bottom