Elections 2010 SMS ya Maandamano nchi Nzima Ijumaa Imeanza

NON-VIOLENCE PROTESTS FRIDAY!!!!!

Ndugu zangu watanzania, tangu uhuru, ni karibia miaka 50 sasa imepita. Hali ya mtanzania wa leo na yule wa mwaka 60 ni mbaya zaidi. Masikini anazidi kudidimia kwenye umasikini, na matajiri, masultani na wenye madaraka wanaishi kama wafalme.

Tutazidi kuishi kama watumwa kwenye nchi yetu hadi lini?
Tutazidi kuwatumikia watu, hadi lini?
Tutazidi kuishi kwenye ufukara hadi lini?
Tutazidi kuvumilia unyanyasaji hadi?
Tutazidi kunyimwa haki zetu za msingi hadi lini?
Tutazidi kuwaonga wenye nguvu ili kupata haki kwenye mahakama zetu hadi lini?
Tutazidi kuonewa na watu wenye uchu wa madaraka na ulafi usio na kikomo hadi hadi lini?

Ukombozi wa nchi ni lazima iletwe watu wenyewe,na gharama hiyo muda mwingine inakuwa na maisha yetu. Utulivu na amani tunayoidumisha imekuwa ni kama sababu ya wenye madaraka kutunyanyasa ni lazima tujitoe mhanga leo kwa ajili ya vizazi vijavyo. Nipo tayari kufa leo ili mtoto wangu apate maisha mazuri hapo baadae.Hatuwezi kuwaachia wachache watuamulie tunavyoishi tunavoishi.

Tumechoka na Kikwete, Tumechoka na Makamba, na viongozi wengine walio madarakani. Huu ndio muda wa mabadiliko. Fedha nyingi zimechotwa kwenye hazina ambazo zingewawezesha watoto wetu kusoma bure, lakini wezi hadi leo wapo huru. Baadhi ya vijana walioiba kuku wapo jela kesi zao wala hazijaguswa, mafisadi wapo huru na wanazidi kutumia hela zetu za kodi.

Tumechoka!

Wanamagari ya kurusha maji ya kuwasha,
Wana maaskari wenye bunduki wanaolipwa na kodi zetu,
Wana walinzi wao wanaowalinda tusiwafikie, haina shida.
Lakini sisi tuna mikono mitupu na matawi yanayoashiria amani.
Watuue, dunia yote itashuudia. Lazima tuandamane kudai haki yetu ya kuwachagua tunaowapenda. Uhuru tulishaupata lakini wachache wanatunyang'anya

Ikiwa kudai haki yetu itaitwa uchochezi, basi iwe ni uchochezi, lakini hatuwezi kulazimishwa kuwakubali watu ambao hatukuwachague watuongoze. Kikwete, na mwanae Ridhiwani wanatuona kama wapumbavu. Makamba na familia yake wanaitumia nchi yetu kama shamba lao. Kwa nini tusilalamike?

Huu ndio mda wa ukombozi, lazima vita vya amani vianze. Maandamano ni haki yetu ya msingi, hatutumii silaa ya aina yoyote zaidi ya kuandamana. Watanzania wenzangu, tunaanza maandamano ijumaa kwa wiki moja, ni lazima matokeo yabatilishwe au kura zihesabiwe upya ili wale tuliowachagua watuongoze.

Ikiwa mtu atapoteza maisha yake, genge zima la majambazi, NEC (Jaji makame na kundi lake) Familia ya Kikwete, Makongoro Mahanga na wengine wengi wawajibishwe na kama itawezekana wafikishwe katika makama ya kimataifa. Wao ndio chanzo cha matatizo yote, wamtuchokoza. Bila kuiba kura zetu tusingefikiria kuandamana.Hii itakuwa fundisho, kwa kizazi hiki na vijavyo kwamba anayekubali, kuonewa atazidi kuishi kwenye umasikini na ukiwa

Tupo tayari kupigania kile tunachoamini ni chetu; Haki yetu!!!
Mungu awabarikini wote
Maandamano ya amani ni haki yetu na ni lazima watu wapinge kwa nguvu zote uhaini huu wa Kikwete, Makame, Kiravu na wote walioshiriki kugeuza mchakato wa uchaguzi kuwa kishekesho. Haini Kikwete hatukutaki. Mwizi mkubwa wa demokrasia
 
Maandamano ya amani ni haki yetu ya msingi mkuu. Subiri Jaji akiendelea kutangaza matokeo. Tumekataa
 
It is about time hawa watu wamezidi watanzania tuna akili na hatutaki kuburuzwa!
 
Mhhh! Kuna kitu nimekumbuka we ulietangaza unataka kutulocha kwani rais anaapishwa lini? Ijumaa c tunaandamana Boya anaapishwa.
Atatuchapaaa!.
 
naunga mkono kama hayo maandamano yaratibiwe vyema(kuwe na ratiba, ujumbe kamil, viongozi wa juu wote wa upinzani wawepo) hii italeta nguvu ya maandamano na uhalisia wa tendo hilo.pia inabidi viongozi wakubwa walisensitize vyema raia tuwe wengi kabisa. mageuzi ni lazma kumkabili adui yetu mmoja dudu ccm
 
Hili ndilo jibu sahihi kabisa kwa wakati huu. Naunga mkono watanzania saa ya kudai uhuru wetu ni sasa, haki ya mtanzania lazima itambulike na kuheshimika! tumechoka na hatuwezi kuvumilia tena. Nimepata mshtuko sana jinsi walivyochezea kura zetu kwa manufaa yao mfano haiwekani kabisa jimboni kwa mwenyekiti wa CHADEMA kura za uraisi aongoze JK, sasa nimetambua kwanini JK alikuwa na speed kubwa ya kuteua majaji!!! hii inamaanisha hata mahakamani hakutakuwa na haki tena kwa raia wa Tanzania zaidi ya mtandao wa JK!!!

Tunadanganywa kwa neno AMANI (Nchi yetu ni ya amani)!! Hivi amani hii ni ipi?? Hatuwezi kuwa na amani wakati, watoto wetu wanapata elimu duni, hatuna uhakika wa huduma za afya, hatuna mahali pazuri pa kuishi, usalama wetu upo hatiani, chakula chetu ni cha shida, tunanyanyaswa na hao walio madarakani na mengine mengi.

TUUNGANE WOTE TUDAI UHURU WETU ULIOPOKWA NA MAJANGIRI HAWA WASIOONA AIBU MUDA WOTE.
 
Mkuu Acid:::

Bila DAMU kumwagika huwezi kuona mabadiliko ya mifumo ya SIASA!

Ni swala la kihistoria tu wala si uchochezi!

Ukiangalia mfano wa Zanzibar unaweza kupata TASWIRA ya nini kitatokea Tanzania Bara 2020

Uchaguzi wa 2015 lazima patakuwa na UMWAGIKAJI WA DAMU :: Yalitokea Shinyanga, Arusha, Mwanza, Kigoma na kwingineko mwaka huu ni mwanzo tu wa njia ya kuelekea huko ambapo panachukiza!
 
Twendeni polepole tunaandamana kwa sababu ipi......na maandamano ya amani ya kushinikiza nini?

Chadema wanatakiwa watoe takwimu za kututhibitishia kwanza ni nani kashinda chaguzi hizi kabla ya kuandamana......vinginevyo tunaandamana kwa sababu zipi?

wewe kweli wa ajabu.hauoni matokeo ya ubunge,jinsi ambavyo watu wamenimwa haki yao.swala sio nani mshindi,swala ni kutangaza matokeo ya kweli.hatulazimishi dk slaa kushinda ila kinachotangazwa kiwe cha kweli
 
NON-VIOLENCE PROTESTS FRIDAY!!!!!

Ndugu zangu watanzania, tangu uhuru, ni karibia miaka 50 sasa imepita. Hali ya mtanzania wa leo na yule wa mwaka 60 ni mbaya zaidi. Masikini anazidi kudidimia kwenye umasikini, na matajiri, masultani na wenye madaraka wanaishi kama wafalme.

Tutazidi kuishi kama watumwa kwenye nchi yetu hadi lini?
Tutazidi kuwatumikia watu, hadi lini?
Tutazidi kuishi kwenye ufukara hadi lini?
Tutazidi kuvumilia unyanyasaji hadi?
Tutazidi kunyimwa haki zetu za msingi hadi lini?
Tutazidi kuwaonga wenye nguvu ili kupata haki kwenye mahakama zetu hadi lini?
Tutazidi kuonewa na watu wenye uchu wa madaraka na ulafi usio na kikomo hadi hadi lini?

Ukombozi wa nchi ni lazima iletwe watu wenyewe,na gharama hiyo muda mwingine inakuwa na maisha yetu. Utulivu na amani tunayoidumisha imekuwa ni kama sababu ya wenye madaraka kutunyanyasa ni lazima tujitoe mhanga leo kwa ajili ya vizazi vijavyo. Nipo tayari kufa leo ili mtoto wangu apate maisha mazuri hapo baadae.Hatuwezi kuwaachia wachache watuamulie tunavyoishi tunavoishi.

Tumechoka na Kikwete, Tumechoka na Makamba, na viongozi wengine walio madarakani. Huu ndio muda wa mabadiliko. Fedha nyingi zimechotwa kwenye hazina ambazo zingewawezesha watoto wetu kusoma bure, lakini wezi hadi leo wapo huru. Baadhi ya vijana walioiba kuku wapo jela kesi zao wala hazijaguswa, mafisadi wapo huru na wanazidi kutumia hela zetu za kodi.

Tumechoka!

Wanamagari ya kurusha maji ya kuwasha,
Wana maaskari wenye bunduki wanaolipwa na kodi zetu,
Wana walinzi wao wanaowalinda tusiwafikie, haina shida.
Lakini sisi tuna mikono mitupu na matawi yanayoashiria amani.
Watuue, dunia yote itashuudia. Lazima tuandamane kudai haki yetu ya kuwachagua tunaowapenda. Uhuru tulishaupata lakini wachache wanatunyang'anya

Ikiwa kudai haki yetu itaitwa uchochezi, basi iwe ni uchochezi, lakini hatuwezi kulazimishwa kuwakubali watu ambao hatukuwachague watuongoze. Kikwete, na mwanae Ridhiwani wanatuona kama wapumbavu. Makamba na familia yake wanaitumia nchi yetu kama shamba lao. Kwa nini tusilalamike?

Huu ndio mda wa ukombozi, lazima vita vya amani vianze. Maandamano ni haki yetu ya msingi, hatutumii silaa ya aina yoyote zaidi ya kuandamana. Watanzania wenzangu, tunaanza maandamano ijumaa kwa wiki moja, ni lazima matokeo yabatilishwe au kura zihesabiwe upya ili wale tuliowachagua watuongoze.

Ikiwa mtu atapoteza maisha yake, genge zima la majambazi, NEC (Jaji makame na kundi lake) Familia ya Kikwete, Makongoro Mahanga na wengine wengi wawajibishwe na kama itawezekana wafikishwe katika makama ya kimataifa. Wao ndio chanzo cha matatizo yote, wamtuchokoza. Bila kuiba kura zetu tusingefikiria kuandamana.Hii itakuwa fundisho, kwa kizazi hiki na vijavyo kwamba anayekubali, kuonewa atazidi kuishi kwenye umasikini na ukiwa

Tupo tayari kupigania kile tunachoamini ni chetu; Haki yetu!!!
Mungu awabarikini wote

Ni vema anayetangaza maandamano akafanya hivyo redioni, kwenye TV na magazeti ili wengi wajue na uhalali wa kuandamana uwepo. Isijekuwa kuna mtu anachakachua mawazo ya watanzania. Aidha, kudai kuhesabu kura si wazo la busara; nadhani kujumlisha kura ndo la msingi zaidi. Kubwa zaidi ni kurudia UCHAGUZI. We need source of message for uhakika pls.
 
message hiyo ni ya kichochezi na haitofautiani na za akina shamte au yoyote ile tuliyokua tunailaani

watanzania tutambue kuwa utu wetu ni zaidi ya momentarily emotions zinazozunguka vichwani mwetu.... miaka mitano si mingi na kwa subira ushindi waweza patikana

nashauri tuache upuuzi huo, tujiunge wote wapinzani na wapenda maendeleo ya nchi

binafsi jumapili ntajiunga rasmi kujiandaa na 2015... sihitaji kupoteza ndugu, rafiki, mke, au watoto wangu kwasababu inayoweza kusubiri

damusi bei rahisi kama inavyotamkwa, ukifa hurudi tena lakini ukisubiri utaona kesho

time heals

For the 1st time umeongea point!
 
NON-VIOLENCE PROTESTS FRIDAY!!!!!

Ndugu zangu watanzania, tangu uhuru, ni karibia miaka 50 sasa imepita. Hali ya mtanzania wa leo na yule wa mwaka 60 ni mbaya zaidi. Masikini anazidi kudidimia kwenye umasikini, na matajiri, masultani na wenye madaraka wanaishi kama wafalme.

Tutazidi kuishi kama watumwa kwenye nchi yetu hadi lini?
Tutazidi kuwatumikia watu, hadi lini?
Tutazidi kuishi kwenye ufukara hadi lini?
Tutazidi kuvumilia unyanyasaji hadi?
Tutazidi kunyimwa haki zetu za msingi hadi lini?
Tutazidi kuwaonga wenye nguvu ili kupata haki kwenye mahakama zetu hadi lini?
Tutazidi kuonewa na watu wenye uchu wa madaraka na ulafi usio na kikomo hadi hadi lini?

Ukombozi wa nchi ni lazima iletwe watu wenyewe,na gharama hiyo muda mwingine inakuwa na maisha yetu. Utulivu na amani tunayoidumisha imekuwa ni kama sababu ya wenye madaraka kutunyanyasa ni lazima tujitoe mhanga leo kwa ajili ya vizazi vijavyo. Nipo tayari kufa leo ili mtoto wangu apate maisha mazuri hapo baadae.Hatuwezi kuwaachia wachache watuamulie tunavyoishi tunavoishi.

Tumechoka na Kikwete, Tumechoka na Makamba, na viongozi wengine walio madarakani. Huu ndio muda wa mabadiliko. Fedha nyingi zimechotwa kwenye hazina ambazo zingewawezesha watoto wetu kusoma bure, lakini wezi hadi leo wapo huru. Baadhi ya vijana walioiba kuku wapo jela kesi zao wala hazijaguswa, mafisadi wapo huru na wanazidi kutumia hela zetu za kodi.

Tumechoka!

Wanamagari ya kurusha maji ya kuwasha,
Wana maaskari wenye bunduki wanaolipwa na kodi zetu,
Wana walinzi wao wanaowalinda tusiwafikie, haina shida.
Lakini sisi tuna mikono mitupu na matawi yanayoashiria amani.
Watuue, dunia yote itashuudia. Lazima tuandamane kudai haki yetu ya kuwachagua tunaowapenda. Uhuru tulishaupata lakini wachache wanatunyang'anya

Ikiwa kudai haki yetu itaitwa uchochezi, basi iwe ni uchochezi, lakini hatuwezi kulazimishwa kuwakubali watu ambao hatukuwachague watuongoze. Kikwete, na mwanae Ridhiwani wanatuona kama wapumbavu. Makamba na familia yake wanaitumia nchi yetu kama shamba lao. Kwa nini tusilalamike?

Huu ndio mda wa ukombozi, lazima vita vya amani vianze. Maandamano ni haki yetu ya msingi, hatutumii silaa ya aina yoyote zaidi ya kuandamana. Watanzania wenzangu, tunaanza maandamano ijumaa kwa wiki moja, ni lazima matokeo yabatilishwe au kura zihesabiwe upya ili wale tuliowachagua watuongoze.

Ikiwa mtu atapoteza maisha yake, genge zima la majambazi, NEC (Jaji makame na kundi lake) Familia ya Kikwete, Makongoro Mahanga na wengine wengi wawajibishwe na kama itawezekana wafikishwe katika makama ya kimataifa. Wao ndio chanzo cha matatizo yote, wamtuchokoza. Bila kuiba kura zetu tusingefikiria kuandamana.Hii itakuwa fundisho, kwa kizazi hiki na vijavyo kwamba anayekubali, kuonewa atazidi kuishi kwenye umasikini na ukiwa

Tupo tayari kupigania kile tunachoamini ni chetu; Haki yetu!!!
Mungu awabarikini wote

Mimi ninapomuona Ridhiwani anamkejeli Dr.Slaainanitia kichefuchefu na ni utomvu wa nidhamu na kiburi kutoka kwa Baba yake JK ya kuwadharau wazazi wengine wakati Mamam yake wa kambo Salma anasisitiza mtoto wa mwenzako ni wako.Maandamano ya amani ni muhimu kudai nchi yetu inatawaliwa na wakoloni weusi.Namshauri shemeji yake JK(Mwema) asijaribu kuwapiga mabomum wananchi wasio na silaha la sivyo TZ haitatawalika.Haiwezekana wanausalama watujagulie kiongozi.
 
ndo hivyo kaka.alafu huyu Ridhiwa anajifanya rais mdogo ana boa sana.
Ninyi ndo mnamfanya rais mdogo kwa kumhusisha na mambo ya utawala wa nchi. Any way tuachane na ya Ridhiwani turudi kwenye ajenda yetu. Nilipoanza kusoma thread hii nilipata hamasa ya kushirki kwenye maandamo hayo huku nikiona muda unachelewa, ambayo naamini kuwa ni dhidi ya mfumo kandamizi. Lakini nmeshtuka kutajwa kwa watu binafsi kama Makamba na Ridhiwani ambao hawana nafasi yoyote katika Mfumo unaoendesha nchi. Lakini pengine mimi ndie cjui ushiriki wao ktk cctm ya nchi. Tafadhali naombeni kujuvwa uhusiano wa Makamba, Ridhwani na matatizo ya Watanzania.
 
lazima kieleweke. kama kenya tu amani amani kitu gani hakuna amani ya kifikra tanzania tunajidanganya. swain kabisa
 
Ninyi ndo mnamfanya rais mdogo kwa kumhusisha na mambo ya utawala wa nchi. Any way tuachane na ya Ridhiwani turudi kwenye ajenda yetu. Nilipoanza kusoma thread hii nilipata hamasa ya kushirki kwenye maandamo hayo huku nikiona muda unachelewa, ambayo naamini kuwa ni dhidi ya mfumo kandamizi. Lakini nmeshtuka kutajwa kwa watu binafsi kama Makamba na Ridhiwani ambao hawana nafasi yoyote katika Mfumo unaoendesha nchi. Lakini pengine mimi ndie cjui ushiriki wao ktk cctm ya nchi. Tafadhali naombeni kujuvwa uhusiano wa Makamba, Ridhwani na matatizo ya Watanzania.
Thanks god,,, at least there is still some tanzanians with brains, be blessed my comrade!!!!
some secret agendas behind dr SLAA's race starts to come out. lets just wait and see
 
Nchi hii ni ya wengi, wafuasi na wasio wafuasi wa chama chochote ni lazima tuangalie sababu za kuandamana kwa kina na ukweli wake ili siku ya siku tusijeonekana majuha wanaandamana. Lete data zaidi kushawishi umuhimu wa kuandamana.
 
Back
Top Bottom