JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 7,491
- 7,515
Salaam wandugu! kwenye settings za meseji naona kuna ''message validity'' ambamo humo kuna options tofauti mojawapo ni maximum, hivi ni nini kazi yake.? na kwenye message center number kuna namba ambazo ziko pale ambazo ni za kampuni ya simu ambayo ninatumia mtandao wake, je ninapobadilisha line na kuweka ya mtandao tofauti na ule niliotumia mwanzo, hii message center number huwa inabadilika?