SMS na majibu yanayokera!!!

BelindaJacob

Platinum Member
Nov 24, 2008
6,474
4,021
Sms: Sweet, nimekukumbuka sana leo, natamani tungekuwa sote mida hii. Upo wapi mpenzi?
Jibu: Nipo

Sms: Yaani nimekutafuta kweli mpenzi, mbona ulikuwa hupatikani? Mwenzio sijalala nakufikiria wewe my love. Umenimiss?
Jibu: Simu iliisha charge

Sms: Baby leo nakula chakula kitamu kweli. Sijui wewe unakula nini. Natamani tungekuwa wote. Karibu mpenzi
Jibu: Thank you

Sms: Honey, yaani ile perfume uliniletea inanukia vizuri ajabu. Yaani hapa nipo nasikia harufu yake na kukuwaza wewe, tena nakumbuka leo umetoka fresh na ile tshirt nilikununulia. Ukisoma hii sms wewe unapata hisia gani?
Jibu: Tshirt inanibana
 
halaaa, nimecheka kwa huzuni! ni bora tu acnijibu kabisa kuliko kuaribiana cku.
 
ahaaaaaaaaaaaaa yaani unijibu hivyo nakutosa! mmm ati t-shirt inanibana!
 
Ooh c'mon Shishi, intimacy is not all about clingy lovey-dovey smses. Spontaneity is key and from time to time i'll get u surprised with steamy txts!!
 
ahaaaaaaaaaaaaa yaani unijibu hivyo nakutosa! mmm ati t-shirt inanibana!

ndio mana na mie nasema bora acngenijibu kabisa, jamaa dizaini kunichoka vile, au walikuwa kwenye kaugomvi? hata kama kaugomvi bac tujibiane vizuri then tutakuja kuweka mambo sawa....mapenzi mzigo mzito aisee.
 
Sms: Sweet, nimekukumbuka sana leo, natamani tungekuwa sote mida hii. Upo wapi mpenzi?
Jibu: Nipo

Sms: Yaani nimekutafuta kweli mpenzi, mbona ulikuwa hupatikani? Mwenzio sijalala nakufikiria wewe my love. Umenimiss?
Jibu: Simu iliisha charge

Sms: Baby leo nakula chakula kitamu kweli. Sijui wewe unakula nini. Natamani tungekuwa wote. Karibu mpenzi
Jibu: Thank you

Sms: Honey, yaani ile perfume uliniletea inanukia vizuri ajabu. Yaani hapa nipo nasikia harufu yake na kukuwaza wewe, tena nakumbuka leo umetoka fresh na ile tshirt nilikununulia. Ukisoma hii sms wewe unapata hisia gani?
Jibu: Tshirt inanibana

Sasa BJ, tueleze basi ni majibu gani ambayo ungeyapata ungefurahi?
 
majibu mazuri sana hasa ukiwa busy
 
Jibu: OOOh baby nimekumiss pia sana tangu jana ;), leo sili nikashiba kwa kukuwaza wewe sabuni yangu ya roho..how i wish tungekuwa pamoja pia.nko ofisini etc ....love u bunny!

Jibu: OOh pole mami, simu yangu nilisahau kuichagi sasa ikaisha moto. i will make it up to you! kisses! mwah!

Jibu: ahsante mami, najua ulivyo stadi wa hiyo dpt, i miss your cuisine, najilia mchemsho tu hapa.......enjoy my dear!

Jibu: switi karibu, am glad unaipenda hiyo perfume, my gal has got to smell sweet... t-shirt bomba kila mtu anaulizia basi naringa kusema imetoka kwa my heartthrob! ahsante sana mami.

Haya habari ndo hiyo!!!:D
 
Sms
: Sweet, nimekukumbuka sana leo, natamani tungekuwa sote mida hii. Upo wapi mpenzi?

Jibu: Ooh My Sweet Baby, I miss you so much, I wish ningekuwa Pembeni mida but usijali darling niko na wewe japo Kiroho

Sms: Yaani nimekutafuta kweli mpenzi, mbona ulikuwa hupatikani? Mwenzio sijalala nakufikiria wewe my love. Umenimiss?

Jibu: Real? Ooh ma Sweet pole honey wangu, my phone was on ila nadhani ni network, am very sorry kusikia hujalala. I Love you my Baby, Mm...waaa!

Sms: Baby leo nakula chakula kitamu kweli. Sijui wewe unakula nini. Natamani tungekuwa wote. Karibu mpenzi

Jibu: Mhh! Asante Mpenzi, nakula chakula kitamu kama chako nami natamani saaana ungekuwa karibu nikulishe, cause you are my Beatiful Queen

Sms: Honey, yaani ile perfume uliniletea inanukia vizuri ajabu. Yaani hapa nipo nasikia harufu yake na kukuwaza wewe, tena nakumbuka leo umetoka fresh na ile tshirt nilikununulia. Ukisoma hii sms wewe unapata hisia gani?

Jibu: Kweli, thats wonderfull any way as your King I always know what is good for my Queen, by the way ile TShirt imenitoa Bomba kishenzi I wish tungekuwa tunaongozana midaa

Hapo vipi Beli, ungesuuzika?
 
Sms: Sweet, nimekukumbuka sana leo, natamani tungekuwa sote mida hii. Upo wapi mpenzi?

Jibu: OOOh baby nimekumiss pia sana tangu jana ;), leo sili nikashiba kwa kukuwaza wewe sabuni yangu ya roho..how i wish tungekuwa pamoja pia.nko ofisini etc ....love u bunny!

Sms: Yaani nimekutafuta kweli mpenzi, mbona ulikuwa hupatikani? Mwenzio sijalala nakufikiria wewe my love. Umenimiss?

Jibu: OOh pole mami, simu yangu nilisahau kuichagi sasa ikaisha moto. i will make it up to you! kisses! mwah!

Sms: Baby leo nakula chakula kitamu kweli. Sijui wewe unakula nini. Natamani tungekuwa wote. Karibu mpenzi

Jibu: ahsante mami, najua ulivyo stadi wa hiyo dpt, i miss your cuisine, najilia mchemsho tu hapa.......enjoy my dear!

Sms: Honey, yaani ile perfume uliniletea inanukia vizuri ajabu. Yaani hapa nipo nasikia harufu yake na kukuwaza wewe, tena nakumbuka leo umetoka fresh na ile tshirt nilikununulia. Ukisoma hii sms wewe unapata hisia gani?

Jibu: switi karibu, am glad unaipenda hiyo perfume, my gal has got to smell sweet... t-shirt bomba kila mtu anaulizia basi naringa kusema imetoka kwa my heartthrob! ahsante sana mami.

Haya habari ndo hiyo!!!:D
Ha ha haaaaa, hi safi sana hope watu watajifunza namna za kuwajibu Wapenzi wao
 
halaaa, nimecheka kwa huzuni! ni bora tu acnijibu kabisa kuliko kuaribiana cku.

We acha tu, wewe unakuta una furaha zako zinaisha..

yep, sometimes is necessary!

Ujue na mood ya mwenzio ikoje lakini!!

ahaaaaaaaaaaaaa yaani unijibu hivyo nakutosa! mmm ati t-shirt inanibana!

Job true true, unaweza ku-epress jambo negative in a good way..Eti hata shukrani kwanza!.

majibu mazuri sana hasa ukiwa busy

Yakiwa applicable both sides eti eeh, au wewe tu ukiwa buzy jamani?

heheh hapa dalili si njema hata kidogo!

Kama mlikuwa mpo okay lazima ushuku kuna tatizo kwa majibu hayo! Si unajua mazoea..
 
Sasa BJ, tueleze basi ni majibu gani ambayo ungeyapata ungefurahi?

Naona Shishi kanisaidia, angalau vichombezo jamani unless mmenuniana au umemkwaza mwenzio sasa unajaribu kumrudisha kwenye mstari yeye bado na hasira kedekede..

Ha ha haaaaa, hi safi sana hope watu watajifunza namna za kuwajibu Wapenzi wao

Swadaktaaah!..hata usipoandika dear, mpz au la'azizi lakini uwe na lugha ya upendo..

Hapo vipi Beli, ungesuuzika?

NyU, Kweli ningesuuzika, mapenzi kubembelezana!ha ha ha
 
utaumia bure nawe tulia kwa kuwa anaweza kukujibu hivyo kumbe anayejibu siyo yeye ni nyumba ndogo au mwenzi wake wa pembeni.

kikubwa unamsubiria akija unamuuliza hivi ni wewe ulikuwa unanijibu zile msg au?ili uweze pata jibu la majibu husika.

Sometime majibu ya kwenye cm yanatupotezea mud ya siku kama hauko makini/
 
[B said:
Sms[/B]: Honey, yaani ile perfume uliniletea inanukia vizuri ajabu. Yaani hapa nipo nasikia harufu yake na kukuwaza wewe, tena nakumbuka leo umetoka fresh na ile tshirt nilikununulia. Ukisoma hii sms wewe unapata hisia gani?
Jibu: Tshirt inanibana

Haaaaaaaaaaa....! Yaani leo nimecheka mpaka mwisho....!
 
Hapo vipi Beli, ungesuuzika?

utaumia bure nawe tulia kwa kuwa anaweza kukujibu hivyo kumbe anayejibu siyo yeye ni nyumba ndogo au mwenzi wake wa pembeni.

kikubwa unamsubiria akija unamuuliza hivi ni wewe ulikuwa unanijibu zile msg au?ili uweze pata jibu la majibu husika.

Sometime majibu ya kwenye cm yanatupotezea mud ya siku kama hauko makini/

Duh! inawezekana kimada fulani ndio mwenye kutuma haya majibu eti!!:rolleyes: ati 'nipo'.....kwanza hiyo charge ya sms sawa kama hata umenndika msg ndefu..maximizing kabisa value for money...
 
Jamani kama upo kazini si unajibu short and clear kwani kuna ubaya hapo je angekuchunia?
 
utaumia bure nawe tulia kwa kuwa anaweza kukujibu hivyo kumbe anayejibu siyo yeye ni nyumba ndogo au mwenzi wake wa pembeni.

kikubwa unamsubiria akija unamuuliza hivi ni wewe ulikuwa unanijibu zile msg au?ili uweze pata jibu la majibu husika.

Sometime majibu ya kwenye cm yanatupotezea mud ya siku kama hauko makini/

Nyinyi ndio huwa Mnadanganyagwa!

Hivi kwa akili kidume kitakwambia hii msg siyo yangu ni Nyumba Ndogo? Ili iweje sasa
 
Sometime majibu ya kwenye cm yanatupotezea mud ya siku kama hauko makini/

swadakta shem,
no comment.
icon8.gif
icon9.gif
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom