SMS iliyoniamsha.. kuna kusalimika?

Again, swali ni serikali yetu iko willing kumtafuta huyo mtu?

Mwanzoni yes lakini ikaonekana anafanya kazi nzuri sana za kuwakeep bize baadhi ya watu so ile option ya Bologna ikawekwa kwenye tray.

la hasha serikali iko bize na kushughulikia ufisadi na bad news left and right

Again i repeathakuna ambaye anashindikana kama serikali inaamua kutumia resorces zake ...bear that in mind.Hata bin Laden wangemtaka wangepata ndio itakuwa huyo anayesema eto hakuna mwenye habari zake!
 
Mhmm it sounds like uzushi but the way ulivyoi-present Mzee inamfanya mtu ajifikirie zaidi ya mara mbili. I think Rostam can do but Ngombare? and why killing Mwakyembe? kazi yake juu ya Richmond si ilishakwisha?

Sasa hili ni onyo kwa kila mtu including JF members usikubali mtu akusalimie akiwa amevaa gloves, tena asikuguse popote. Mungu iponye Tanzania.

its-a-trap.jpg
 
Mwanzoni yes lakini ikaonekana anafanya kazi nzuri sana za kuwakeep bize baadhi ya watu so ile option ya Bologna ikawekwa kwenye tray.

la hasha serikali iko bize na kushughulikia ufisadi na bad news left and right

Again i repeat hakuna ambaye anashindikana kama serikali inaamua kutumia resorces zake ...bear that in mind.Hata bin Laden wangemtaka wangepata ndio itakuwa huyo anayesema eto hakuna mwenye habari zake!

Hakuna cha serikali kutafuta wahalifu watakutafuta wewe kwa kupambana na wahalifu na watakupakazia kila jambo na kama hauko makini watakumaliza.

Jambo la msingi ni kushikamana na kuhakikisha nchi inakombolewa
 
serikali haina uwezo wa kutrace simu za wireless na kuweza kugundua wahalifu walioko nyuma yake kwenye matukio mbalimbali. Hawana uwezo huo.
 
watawezaje kuwatrace watu wa aina hii wakati wao ndo wanaongoza kwa tabia hizi chafu?
 
serikali haina uwezo wa kutrace simu za wireless na kuweza kugundua wahalifu walioko nyuma yake kwenye matukio mbalimbali. Hawana uwezo huo.

Naungana na walioandika hapo juu, hata kama wangekua na huo uwezo, bado hawana sababu ya kuwatafuta. Kama wamepikiwa na Sithole wa Deloite, wakatafuniwa na Ernst and Young, na wao wakashindwa kumeza tonge laini la wezi wa fedha za EPA wataweza kutumia akili zao kulima, kuvuna, kusaga, kupika na kutafuta seuse kumeza? HAWANA UJASIRI HUO. Mutaendelea kupiga kelele wakati wao ni VIZIWI kutaandika na kutangaza wakati wao ni VIPOFU.

Tanzania ni nchi ya LAANA inahitaji kuzinguliwa kwa KAFARA. Kwa wanaojua KAFARA, ni lazima kuchinja ili kumwaga damu kama alivyofanya nabii Ibrahim kwa kutaka kumchinja mwanae Ismael kabla ya kuletewa mwana kondoo amchinje.

Kwa kuwa dini zote zinaamini kuhusu KAFARA, laana tuliyonayo Watanzania tunahitaji KAFARA na baba yetu (JK) lazima akubali kumtoa kipenzi chake (Lowassa) ili awe sadaka kama Nabii Ibrahim alivyomtoa mwanae Ismael na kama Mungu atamuonea huruma, atamleta mwanakondoo mbadala wake. Hala hala kondoo asijekuwa Nape Nnauye. Kondoo anaweza kuwa RA, Lukaza, Mkapa, Jeetu Pate, Vithlani, Tanil Somaiya, Mramba, Yona na kadhalika.
 
serikali haina uwezo wa kutrace simu za wireless na kuweza kugundua wahalifu walioko nyuma yake kwenye matukio mbalimbali. Hawana uwezo huo.

are you sure? ndio maana unasema ID yako haiwezi kujulikana?

mjomba serikali inayo sana uwezo huo....the issue iliyopo in hand je inataka kufanya hivyo?

mjomba serikali ikikutaka itakupata tuu hata ujifiche wapi. Huwezi kuwaambia wanajeshi wa share resources na jeshi la polisi wakati kila mmoja ana bajeti yake

unless unataka kuongelea vyombo vya usalama kushare intelligence repots lakini si rahisi kama unavyofikiria kwani for obvious reasons vyombo hivi dunia nzima havipendi kushashare au kuingiliana kikazi
 
GT, usome basi mtu anachoandika.... don't infer kitu ambacho sijasema. Itakusaidia sana ku focus.
 
Unamaanisha serikali ya Tanzania au serikali kwa ujumla popote pale duniani?

Hoja kubwa hapa ni je, kuna kusalimika kama kuna vitisho vya aina hii? Je, vyombo vya dola vinafuatilia? Kama vina uwezo ama havina ni changamoto lakini si wakati wa kuanza kunyooshena vidole ama kutishana. Mfano hata ukinijua utanifanya nini wakati mimi si mhalifu. Mimi si kama Nape maana hatuwanii uongozi UVCCM kwamba kutakata jina langu
 
Ni ngumu ku-trace cell phone especially kama mtoa vitisho yuko sophisticated. Kuna cell ambazo unaweza kununua na kuziwekea minutes ukazitumia halafu unatupa (disposable)...sasa hii utai-trace vipi?
 
siku za nyuma ulishawahi kusema kuwa hakuna anayweza kujua ID yako. Hilo uslikatae

sijawahi, kwani siishi katika nchi ya kufikirika. Anayetaka kunijua ananijua kama vile anayetaka kukujua wewe anaweza kukujua. Au unadhani wewe hujulikani?
 
sijawahi, kwani siishi katika nchi ya kufikirika. Anayetaka kunijua ananijua kama vile anayetaka kukujua wewe anaweza kukujua. Au unadhani wewe hujulikani?

I think you dared him to reveal you ID a while ago....you gave him 24hrs or some' like that and he wasn't able to......memba that?
 
from Senior Activist <senior_activist@yahoo.co.uk>
reply-to senior_activist@yahoo.co.uk
to Mwanakijiji@jamiiforums.com
date Wed, Sep 3, 2008 at 5:56 AM
subject Narrow minded personnel
signed-by yahoo.co.uk

hide details Sep 3 (6 days ago)

Reply

Nimekuwa nifuatilia upuuzi unaouandika kwenye gazeti la Chama chenu kwa muda mrefu ukiwa chini ya kificho cha jina lako halisi. Justification ya watu makini walio wengi kwako ni kwamba wewe ni mpuuzi na mpumbavu mkubwa!!! Kijitu chenye fikra finyu ambazo hata harufu ya elimu hakijawahi kuinusa, na kama kimewahi basi kinafanana kabisa na wale wasomi mah...thi. Sasa upuuzi wako hatuwezi kuuvumilia tena, kilichobaki kwako ni kujichunga kimwili ili madhara yaliyokusudiwa kwako yasikufike mapema.

Keep on touch.
 
Back
Top Bottom