Elections 2010 sms chochezi za CCM, nani alikuwa waziri mwenye dhamana ya TCRA?

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
Ukifuatilia suala la sms za ccm huwezi kumweka pembeni waziri aliyekuwa na dhamana ya TCRA. Nani waziri aliyehusika na TCRA kabla ya kampeni za uchaguzi? Kwa vyovyote vile analo la kuhusu ushiriki wake katika kuratibu uharamia huo wa CCM.
 
Back
Top Bottom