sms center number

kasambalakk

Senior Member
Apr 2, 2011
125
17
habari za mida hiii
natumaini kuwa wote wasoma hii kitu ni wazima....
sasa wanajamii nataka kujua kama naweza kupata zile sms center number ambazo naweza kuna katuma sms for free jombaa..maujanja kama yapo please pm wajombaaa...

nakumbuka kuna kipindi nilikuwa napata hizi sms center sema mdau wangu alisepa....
 
Kama ni kumchakachua RA au yule mhindi wa HEWATEL poa, lakini kama unatumia TiGo, Zantel potezeya kaka siyo fea!
Nakumbuka zamani tulikkuwa tunatumia center namba za kampuni flani ya india teh teh! irrrikuwa bureeee bureeee, tulikuwa hatuna pesa sku hizo bana, kwani wewe unakosa sh50 ya meseji sa hivi bana? Au ndy uko chuoni ful kuchati na wachumba30 mpaka unawachanganya majina inakuwa UGONVI! tehe teh!!
 
amoeba hebu nipm hayo manamba ya india!
 
Back
Top Bottom