Smiles, Fidel08, Dorin, Swado, Mhafidhina, Mzee wa Rula, Zion Daugher etc

Aisee hivi yupo? Ngoja ni do ze needful...nikimkosa nagonga JS au kama vipi MJ1 aikishindikana kabisa Askofu atapata ajali.
Hebu nipeperushie namba zao za simu. Natengeneza bajaji yangu hapa.

Kumbe kugonga hapa JF ruksa??!!!!
 
Aisee hivi yupo? Ngoja ni do ze needful...nikimkosa nagonga JS au kama vipi MJ1 aikishindikana kabisa Askofu atapata ajali.
Hebu nipeperushie namba zao za simu. Natengeneza bajaji yangu hapa.

Aisee Asprin usinitafutie ban wikiendi hii, tafadhali we unaona Invizibo alivokuwa makini lakini, si uwa pm, Mi simo eeh.
 
Aisee hivi yupo? Ngoja ni do ze needful...nikimkosa nagonga JS au kama vipi MJ1 aikishindikana kabisa Askofu atapata ajali.
Hebu nipeperushie namba zao za simu. Natengeneza bajaji yangu hapa.

Mnamsema sababu hayupo eehhh
 
Shauri yako, umemuona invisibo? Acha kugonga hapa JF kabisa. Nenda tu kwingine. Mmmmm mie kimya.

Hivi Robot haruhusu watu kutaniana hapa??! Maana naona mnamuogopa kama vile si binadamu.
Robot ni mshikaji safi tu jamani, msimuogope kihivyo, ukitukana au kwenda kinyume na rules za JF ndo atakusaga saga vinginevyo yule jamaa ni poa sana, tena anaongea kiushikaji tu . . . ni ndugu yetu jamani msimuogope hivyo
 
Najua nipo kwenye etc. Lakin naomba usiende mbali sana au nenda na blacberry au kama ni maombi basi nakutakia la heri huko uendako
 
Hivi Robot haruhusu watu kutaniana hapa??! Maana naona mnamuogopa kama vile si binadamu.
Robot ni mshikaji safi tu jamani, msimuogope kihivyo, ukitukana au kwenda kinyume na rules za JF ndo atakusaga saga vinginevyo yule jamaa ni poa sana, tena anaongea kiushikaji tu . . . ni ndugu yetu jamani msimuogope hivyo

Mmmmmh naogopa kisicho onekana, bora angekuwa Visible lol. Mmmmh invisible halafu anatokea, lazima niogope aisee!
 
more than you think . . . . just tell me where are u and i will come to hit you lol:roll:

Ok ok, ngoja niombe ruhusa, hivi CPU umemuona Paka Mweusi. Hebu ukikutana nae mwambie namtafuta sana eti.Halafu karibu Tegeta kwenye maombi jioni.
 
Mmmmmh naogopa kisicho onekana, bora angekuwa Visible lol. Mmmmh invisible halafu anatokea, lazima niogope aisee!

Mmmmmmmh! Sasa hapo umeenda mbali sana my dia. Robot mbona yupo kila thread hapa JF au unafikiri haoni ninachoandika sasa hivi???
Potezea hiyo ishu ya woga my dia, tuendeleze libeneke kama kawa.
Weekend ni full mitwango na migongano:laugh:
 
Ok ok, ngoja niombe ruhusa, hivi CPU umemuona Paka Mweusi. Hebu ukikutana nae mwambie namtafuta sana eti.Halafu karibu Tegeta kwenye maombi jioni.

Ooooh! St Paka Mweusi, my dia friend! Aisee sijamuona wiki sasa hapa JF ngoja nitumie alternate way kama nitampata
LD mnaombea nini leo??? Kanisa gani hilo unaloenda leo Jmosi
 
Yaani CPU hebu mtafute huyu Mtakatifu kwa gharama zozote zile, yani sio siri usiku mzima nimemtafuta sijamuona na vile anavyokimbia naogopa asijekuwa amekamatwa, Leo ni bible study CPU. Ukimpata PM mje nae sawa eeh!!
 
Back
Top Bottom