Smg (abunge) za chadema waanza kazi waliyotumwa na wananchi

haya mambo nayosoma humu kuhusu chadema yananipa raha wao ccm hawana muda na wananchi kbs cha kushangaza macho yao na masikio yako kwenye mambo ya kujishibisha mfano swala la mkuu wa mkoa wa dar naona hawalali
 
Na uwakilishe kwenye kamati za bunge zenye mshiko mzuri
 
Naomba kufahamishwe, wamepata fungu wapi wakati bajeti ya serikali itapangwa June 2011? Swali lanyongeza, kila jimbo moja huunda halmashauri? Mfano, Kawe

Nadhani kwenye halimashauri huwa kuna pesa nyingi sana ambazo zinakwenda kwa wajanja wachache. Nilikuwa nazungumza na rafiki yangu mmoja akaniambia ile halimashauri ya moshi walikuwa na hamu sana ccm washinde kwa sababu ilikuwa chini ya chadema walikuwa wanashindwa kufanya dili. milango ilifungwa dili zilikauka.
 
Nimeipenda hii, kumbe ndio maana wameamua kumalizia hasira zao kwa kutembeza kichapo kwa wamachinga? Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! well done CDM maana jamaa hawataweza kuvumilia miaka mingine mitano itabidi waombe transfer!!
 
Tunawapongeza sana wabunge wetu kwa kuanza kazi kwa kasi ya ajabu,hayo ndo mambo watanzania tunataka sio swala la mashangingi na posho za viongozi,namuomba mbunge wangu wa ubungo John Mnyika atenge muda wa kuja chuo kikuu ili apate mawazo ya wasomi na namna ya kuendelea kutekeleza ahadi zake kwa pamoja tutashinda hila zote za chama twawala.na awe makini kwani wameanza kumfanyia fitina ktk jimbo lake kwa kuanza kukata maji na umeme ili aonekane hawezi kazi,lakini tunaimani naye na kwa nguvu ya pamoja tutashinda,revolution for change!tuko pamoja na hatuta lala kamwe
 
Naomba kufahamishwe, wamepata fungu wapi wakati bajeti ya serikali itapangwa June 2011? Swali lanyongeza, kila jimbo moja huunda halmashauri? Mfano, Kawe

Sio Kila kitu kinataka pesa mzee..... Vingine ni ufatiliaji tu na kuwabana watendaji.... Mfano kuwauliza Tanesco kwanini wanaweka mgao bila kuwatangazia wananchi huitaji hata senti... Ni voucher moja tu ya simu ya kuongea na Meneja
 
Mwenye contacts za wenje tafadhari... tushirikiane kuijenga nyamagana kimawazo kama wenzetu wa ubungo na mnyika, pia mlio karibu na wabunge wa chadema wahimizeni wote kujiunga mitandaoni muwaeleze kuwa hii ndio silaha yetu kuu chadema na njia mbadala ya kupunguza matumizi yanayo epukika (usafiri)

Nadhani kuwaomba wajiunge humu mtandaoni ni rahisi kama tukiwaomba hawa ambao wamo humu sasa i.e Regia etc. wawaombe wenzao waje huku sababu kuna a good support huku na watu wanaowaunga mkono
 
Natamani ningekuwa Sabodo. Ningemwaga mihela kwenye majimbo ya CDM kama mwehu. Na kwa mwendo huu sijui sheikh nani atawaokoa 2015. Wenje na Hynes ipeni raha Mwanza pleeeeeeeeease!
 
Hao wa mwanza wamshikie bango Wilson Kabwe ni fisadi wa kutupwa alihama Mbeya na vijana wake wa kuchakachua Mphamacia na mzee wa manunuzi na ugavi Mahinya hao ni moto wasione pesa imetolewa wataitafutia matumizi yasiokuwa na msingi.
 
Wabunge wa chadema wapo kikazi zaidi,na si kifisadi kama walivyo wa ccm.chapeni kazi vijana wakati ndio huuu.
 
Nakwambia hawa ni makamanda wa vita wera wera moto unawaka halima mdeee kisha vamia mabarabara ya vichochoro anawaunganisha wananchi barabara zinachongwa sasa nakwambia mambo ni mdundo wera wera nakwambia

Acha kuwadanganya watu wewe, hakuna barabara yoyote ya Kawe inayojengwa . Mwambieni aanze na barabara ya TANESCO pale mikocheni ni mbaya mno na haipitiki. Kuna watu walikwenda ofisini kwake kumpa ujumbe akasema ana kwenda kikaoni . Mwambieni hatutaki mchezo tutamnyonya mtu macho aiseee, asituletee u sister du wake.
 
WALK THE TALK ALWAYS -
1. Kama walivyotekeleza kilio cha wananchi pale mjengoni kwa kumpa feedback mwenyekiti wa ccm Taifa, Hon.Kikwete kwamba hakufurahishwa na udikiteta uliotekelezwa na nec na usalama wa Taifa na hivyo kuhitaji forum ya katiba mpya, tume huru (NEC) na tume huru kuchunguza kasoro nzito za mchakato wa uchaguzi na kuicha nchi nzima ikitisika ikiwa ni pamoja na wasio na akili kulaani hatua ya MEJEMADALI wa wananchi. Kazi ya MAJEMADALI hao inaendelea ikiwa ni pamoja na kuhakikisha virusi vya ccm havipewi nafasi.

2. MAKAMANDA hao wamevamia majimbo yao na kuanza kazi kwenda mbele mfano ni mpiganaji Tundu Lissu ametoa elimu ya uraia kwa wananchi kwamba sheria ya kuwatosha ushuru walalahoi kodi za mazao ya misitu ilishafutwa tangu mwaka 2002 na hivyo kuweka vizuizi na kuendelea kuwatoza watanzania huku mabilioni yakipoytea kwenye magogo na vitaru vya uwindaji ni kuwanyonya na kuwanyanyasa wananchi maskini nchini mwao-kutokana na elimu hiyo ya uraia wananchi wa singida wameng'oa vizuizi vilivyoweka kwa malengo hayo, nakwambia moto utawaka.

3. Wapiganaji Wenje na Hynes(Mwanza) Lema(Arusha) waliong'oa mizimu na mizinga ya ccm wapo kwenye mchakato wa kumpata meya wa jiji la mwanza kwa lengo la kutekeleza ilani ya chadema jijini mwanza na arusha -hii itakuwa mifano ya majiji yanayoongozwa na chadema -elimu bure, afya bure na miundombinu, na vita dhidi ya ufisadi ni vipa umbele walivyoweka mbele kuvishugulikia kazi mdundo.

4. Wapiganaji wengine wote wako wanamalizia workplans zao na kuzisubmit kwa kiongozi Dr.Slaa amabae atakuwa anamonitor utendaji kwa kuwa na one on ones on monthly basis, quarterly review na mid year review, nakwambia moto si mchezo vijana wamesukwa na wanaenda kulipua mabomu mjengo utawaka moto.

Hongera CHADEMA, hongera Dr.Slaa, Hongera CC CHADEMA, hongera kiungo mchezeshaji baba mbowe -vita ni vita mura

Halmashauri zote ziko chini ya ofisi ya waziri mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, na Waziri wake ni Kapteni George Mkuchika. Nimjuavyo huyu mzee atawamaliza tu
 
Hao wa mwanza wamshikie bango Wilson Kabwe ni fisadi wa kutupwa alihama Mbeya na vijana wake wa kuchakachua Mphamacia na mzee wa manunuzi na ugavi Mahinya hao ni moto wasione pesa imetolewa wataitafutia matumizi yasiokuwa na msingi.

Huyu Kabwe his time is running out...... Sababu Mwanza Chadema wana madiwani wengi kuliko CCM sasa am sure hata Mkurugenzi wa Jiji watamwondoa tu
 
WALK THE TALK ALWAYS -
1. Kama walivyotekeleza kilio cha wananchi pale mjengoni kwa kumpa feedback mwenyekiti wa ccm Taifa, Hon.Kikwete kwamba hakufurahishwa na udikiteta uliotekelezwa na nec na usalama wa Taifa na hivyo kuhitaji forum ya katiba mpya, tume huru (NEC) na tume huru kuchunguza kasoro nzito za mchakato wa uchaguzi na kuicha nchi nzima ikitisika ikiwa ni pamoja na wasio na akili kulaani hatua ya MEJEMADALI wa wananchi. Kazi ya MAJEMADALI hao inaendelea ikiwa ni pamoja na kuhakikisha virusi vya ccm havipewi nafasi.

2. MAKAMANDA hao wamevamia majimbo yao na kuanza kazi kwenda mbele mfano ni mpiganaji Tundu Lissu ametoa elimu ya uraia kwa wananchi kwamba sheria ya kuwatosha ushuru walalahoi kodi za mazao ya misitu ilishafutwa tangu mwaka 2002 na hivyo kuweka vizuizi na kuendelea kuwatoza watanzania huku mabilioni yakipoytea kwenye magogo na vitaru vya uwindaji ni kuwanyonya na kuwanyanyasa wananchi maskini nchini mwao-kutokana na elimu hiyo ya uraia wananchi wa singida wameng'oa vizuizi vilivyoweka kwa malengo hayo, nakwambia moto utawaka.

3. Wapiganaji Wenje na Hynes(Mwanza) Lema(Arusha) waliong'oa mizimu na mizinga ya ccm wapo kwenye mchakato wa kumpata meya wa jiji la mwanza kwa lengo la kutekeleza ilani ya chadema jijini mwanza na arusha -hii itakuwa mifano ya majiji yanayoongozwa na chadema -elimu bure, afya bure na miundombinu, na vita dhidi ya ufisadi ni vipa umbele walivyoweka mbele kuvishugulikia kazi mdundo.

4. Wapiganaji wengine wote wako wanamalizia workplans zao na kuzisubmit kwa kiongozi Dr.Slaa amabae atakuwa anamonitor utendaji kwa kuwa na one on ones on monthly basis, quarterly review na mid year review, nakwambia moto si mchezo vijana wamesukwa na wanaenda kulipua mabomu mjengo utawaka moto.

Hongera CHADEMA, hongera Dr.Slaa, Hongera CC CHADEMA, hongera kiungo mchezeshaji baba mbowe -vita ni vita mura

Hongereni sana kwa kutekeleza ILANI YA UCHAGUZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA VITENDO
 
Back
Top Bottom