Smartphone app capable of HIV testing

Autorun

JF-Expert Member
Mar 21, 2008
557
116
Researchers in South Korea and South Africa are working hard to launch smart phones that can be used to test for HIV/AIDS in many parts of Africa through a revolutionary gadget called Smart Scope.
The research team is reported to have developed a microscope and an application that can photograph and analyse blood samples in areas far from laboratories to diagnose HIV and even measure the health of immune systems.
Smartscope, is a small 1-millimeter (0.04-inch) microscope and light which clips over a smartphone’s camera.
“Our idea was to obtain images and analyse images on this smartphone using applications,” said Jung Kyung Kim, a professor in biomedical engineering at Kookmin University in South Korea.
The new technology would be initially used for HIV/AIDS testing in rural communities in South Africa and Swaziland.
An estimated 6 million South Africans are infected with the HIV virus while an estimate 25% of Swazi adults are infected with the virus.
What do you think about Smart Scope? Do you think it can be a game changer for HIV/AIDS testing in Africa?
 
Kwa hii kupima haitakua hiari na siri kama sasa ilivyo
 
duh hapo kasheshe... Wabongo wakizpata wataanza kuchukua magoma na kuyapima
 
mmmhhh? Yani mkipeana number za sim tu,
watu mnapiga kabisa na HIV test... Mabwaku!
Kambaku, make sure you get one mapema.
 
mmmhhh? Yani mkipeana number za sim tu,
watu mnapiga kabisa na HIV test... Mabwaku!
Kambaku, make sure you get one mapema.


Yaani smartphone ndio itakuwa mpango mzima....raia wataloweka sana kwa mwendo huu baada ya kupima...
 
We mtu unahishi karne ya ngapi?
Kupima ni lazima, tena kila term!

Mwaka jana nilikuwa na mchumba alipima inatosha.

Hujawahi sikia mtu anakataa scholarship sababu anatakiwa kupima?
 
nlivomuelewa jamaa haitakua smartphone inatambua ukimwi bali smartphone itakua hadubini ndogo halafu itabidi hilo goma lako au mtu unaempima umtoe damu kwanza then ndo upime ukimwi

Hii ina maana still kuna kutoa damu so ujuzi wa kinesi unatakiwa uwepo.

I hope nokia watatoa purelab (laboratory ya simu) na apple watoe ilab na android (food-name-yoyote)lab
 
''What do you think about Smart Scope? Do you think it can be a game changer for HIV/AIDS testing in Africa?''[/QUOTE]

Kwa hakika hii ni GAME CHANGER tu hakuna kingine. Lakini safari hii mhuni mwingine (smartphone) anaingizwa katika BIASHARA kongwe ya kupima watu wengi zaidi kadiri iwezekanavyo!!!, chezea biashara ya kuuwa watu wewe?
 
nlivomuelewa jamaa haitakua smartphone inatambua ukimwi bali smartphone itakua hadubini ndogo halafu itabidi hilo goma lako au mtu unaempima umtoe damu kwanza then ndo upime ukimwi

Hii ina maana still kuna kutoa damu so ujuzi wa kinesi unatakiwa uwepo.

I hope nokia watatoa purelab (laboratory ya simu) na apple watoe ilab na android (food-name-yoyote)lab

Androids watasema ugali lab! Since hii tech itakua inahusika sana afrca itawabd watumie jna la chakula cha kiafrica
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom