Smarter skies..2050

Tulizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
848
662
Wenzetu wanafikiria 2050... siyo mbali sana... ni miaka 18 toka sasa... ila sisi waswahili tutakuwa bado tunakimbia kurudi "stone age"...

[video=youtube_share;Jg0CvGCf4XU]http://youtu.be/Jg0CvGCf4XU[/video]
 
Ulishaambiwa,kufikiria sana mambo ya nchii hii, "Ni hatari kwa afya yako". Wewe husikii. Kwanini lakini?
 
Back
Top Bottom