Slogans za ku-edit

Mnaofikiria kupigia kura vyama ndio mnaotuangusha. CHADEMA au CCM wakiweka jiwe utalipigia kwa sababu wewe ni shabiki wa chama hicho. Hebu tutoke huko jamani tuchague mgombea yoyote atakayesimamia maslahi na ustawi wetu kwa kiwango cha juu kinachotarajiwa na kila mtanzania bila ya kuangalia chama cha siasa anachotoka.

Full point,Hapa hata usipoongea tena mwaka mzima, ushabiki wa vyama ndio unatuangusha, watu hawaangalii sifa za mgombea, wanaangalia anatoka chama gani, rubbish!
 
Back
Top Bottom