Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,510
HUYU NI ms TUUUMatatizo ya Id Kumi kumi bana, unaandika halafu unasahau kusign in na ID nyingine matokeo yake unaandika unajiquote na kujijibu mwenyewe
HUYU NI ms TUUUMatatizo ya Id Kumi kumi bana, unaandika halafu unasahau kusign in na ID nyingine matokeo yake unaandika unajiquote na kujijibu mwenyewe
mbona umeleta kidogo saana mkuu ongeza zingine1. Kuna wanafunzi zaidi ya 400 waliotia saini zao wakipendekeza mimi nigombee urais.( ilikuwa ni siku ya pili tangu nichukue fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la karatu;sahihi 400 zilipatikanaje ndani ya masaa?au kwa sababu alihojiwa na gazeti la mwananchi?!)
2. Sikuwa na ndoto ya kugombea urais.( kuna wanafunzi zaidi ya 400 waliotia saini zao wakipendekeza mimi nigombee urais;uliamua ndani ya siku mbili?,safi,kumbe hata kulipa madeni yote ndani ya siku 100 inwezekana)
3. Mwaka 2001 hadi 2008 watanzania ambao ni masikini wa kutupwa wameongezeka kutoka 11.4 milioni hadi 12.9 milioni. (ni 11.1 hadi 11.8,world economic report 2010)
4. Mfumo mbovu wa uendeshaji wa serikali unasababishwa na katiba mbovu. (maana yake serikali yoyote ikiwa madarakani na ikatenda vibaya isihojiwe mpaka katiba irekebishwe na kwamba yeye amekuwa sehemu ya bunge linaloongozwa kwa katiba mbovu kwa miaka mingi na amekubali waliounda katiba hiyo toka mwaka 1977 si lolote)
5. Nitajenga mfumo mpya wa serikali kwa kubadilisha katiba.(katiba hushughulikiwa na bunge au huandikwa na rais kama mahubiri kanisani?)
6. Hadi sasa imejenga shule za sekondari 300 tu.(shule zilizojengwa ni 3,131 katika kata 2,575)
7. Ahadi kwenye bajeti zipo, lakini hazitekelezwi.(hakuthubutu kuendelea kuelezea hapo,alijua ni uongo)
8. Hakuna utawala wa sheria.(nini kilimpata shibuda alipoleta ghasia mafia?)
9. Mimi ni ‘zero tolerance' kwa ufisadi. (ruzuku ya tshs.1 bilioni kila mwaka toka serikalini kwenda ccbrt ina matatizo kila mwaka,huko yeye ni mwenyekiti;ameacha ukatibu mkuu wa baraza la maaskofu tanzania akiwa na matatizo mengi ya kifedha na hata jimboni mbulu)
10. Hakuna ‘level ground' ya siasa hapa nchini.(ni nani ambaye hakusaini sheria ya uchaguzi na ambaye hawajibiki akizivunja?)
11. Chadema ndicho chama mbadala.(kwa uhalisia na vipimo gani?)
12. Sikujua kama josephine ni mkwe wa mtu.
13. Kafulila ni mdudu sisimizi. (lmao!)
14. I was cleared by the vatican.( http://lineofauthority.com/,priesthood is never cleared)
15. Kikao cha kutengue uteuzi wa viongozi huwa ni cha kiofisi.(kafulila alitimuliwa kihuni).
16. Tunawapenda watanzania wote.(familia yake yenyewe ameshindwa kuiweka iishi pamoja kwa upendo).
Just proving that facts are stubborn things.
mbona umeleta kidogo saana mkuu ongeza zingine
ccm oyeeeeee!!!
Ccm ni safi,
mafisadi ni nafsi ya mtu,
uwizi ni nafisi ya mtu.
Maendeleo hayaleti kwa kukaa vijiweni,
fanyeni kazi muone uzuri wa ccm.
Mmm, umejiandaa kuhadaa???? hata huchoki?
Huyu katumwa. Na anaifanya kazi.
In the 106 repplies you have repplied 26 Timimes!!!
Kwahiyo unasemaje?
Kura Apewe nani?
... Unachojaribu kuconstruct hakina impact yeyote kwenye Taifa maana ya wananchi. Too personal. Wizi wa meremeta, wizi wa kagoda, wizi wa iptl, wizi wa epa, wizi wa .....
Ahadi za Mgombea wa CCM impact yake ni kubwa. Ni za uongo. Hazitekelezeki. Zinaonyesha miaka mitano hakuwa kazini.
Pole ndugu. It is too late now! We have the new President!!
naomba niwe mod japo kwa masaa mawili had saa kumi ya leo
niisafishe jf
vichaa wameingia humu
tehe tehe!
Huyu katumwa. Na anaifanya kazi.
In the 106 repplies you have repplied 26 Timimes!!!
Kwahiyo unasemaje?
Kura Apewe nani?
If you look for truth, you may find comfort in the end; if you look for comfort you will not get either comfort or truth only soft soap and wishful thinking to begin, and in the end, despair.
1. Kuna wanafunzi zaidi ya 400 waliotia saini zao wakipendekeza mimi nigombee urais.( Ilikuwa ni siku ya pili tangu nichukue fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Karatu;sahihi 400 zilipatikanaje ndani ya masaa?Au kwa sababu alihojiwa na gazeti la Mwananchi?!)
2. Sikuwa na ndoto ya kugombea urais.( Kuna wanafunzi zaidi ya 400 waliotia saini zao wakipendekeza mimi nigombee urais;uliamua ndani ya siku mbili?,safi,kumbe hata kulipa madeni yote ndani ya siku 100 inwezekana)
3. Mwaka 2001 hadi 2008 Watanzania ambao ni masikini wa kutupwa wameongezeka kutoka 11.4 milioni hadi 12.9 milioni. (Ni 11.1 hadi 11.8,World Economic Report 2010)
4. Mfumo mbovu wa uendeshaji wa serikali unasababishwa na Katiba mbovu. (Maana yake serikali yoyote ikiwa madarakani na ikatenda vibaya isihojiwe mpaka katiba irekebishwe na kwamba yeye amekuwa sehemu ya Bunge linaloongozwa kwa katiba mbovu kwa miaka mingi na amekubali waliounda katiba hiyo toka mwaka 1977 si lolote)
5. Nitajenga mfumo mpya wa serikali kwa kubadilisha Katiba.(Katiba hushughulikiwa na Bunge au huandikwa na rais kama mahubiri kanisani?)
6. Hadi sasa imejenga shule za sekondari 300 tu.(Shule zilizojengwa ni 3,131 katika kata 2,575)
7. Ahadi kwenye bajeti zipo, lakini hazitekelezwi.(Hakuthubutu kuendelea kuelezea hapo,alijua ni uongo)
8. Hakuna utawala wa sheria.(Nini kilimpata Shibuda alipoleta ghasia Mafia?)
9. Mimi ni zero tolerance kwa ufisadi. (Ruzuku ya Tshs.1 Bilioni kila mwaka toka serikalini kwenda CCBRT ina matatizo kila mwaka,huko yeye ni mwenyekiti;ameacha ukatibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania akiwa na matatizo mengi ya kifedha na hata jimboni Mbulu)
10. Hakuna level ground ya siasa hapa nchini.(Ni nani ambaye hakusaini sheria ya uchaguzi na ambaye hawajibiki akizivunja?)
11. Chadema ndicho chama mbadala.(Kwa uhalisia na vipimo gani?)
12. Sikujua kama Josephine ni mkwe wa mtu.
13. Kafulila ni mdudu sisimizi. (Lmao!)
14. I was cleared by the Vatican.( http://lineofauthority.com/,priesthood is never cleared)
15. Kikao cha kutengue uteuzi wa viongozi huwa ni cha kiofisi.(Kafulila alitimuliwa kihuni).
16. Tunawapenda Watanzania wote.(familia yake yenyewe ameshindwa kuiweka iishi pamoja kwa upendo).
huna sababu mkuu, kichaa akikunyang'anya nguo chutama usimkimbize
DON'T ARGUE WITH A FOOL, BECAUSE PEOPLE MAY NOT RECOGNISE THE DIFFERENCE!
Watu kama hawa wananiboa kweli, wakati mwingine mtu unaweza ukaamua ukaacha fani yako ukaamua kuwapunguza watu wajinga kama hawa (japo kuna uhuru wa kutoa mawazo lakini ujinga kama huu nd'o uliomfanya Ernesto Che Guevara akaacha udaktari (DOCTOR OF MEDICINE) akaamua kuingia msituni. Huu ni ujinga! Unaona kabisa CCM wameboronga halafu unaleta ujinga hapa. Samahani kwa maneno makali niliyotumia.
''If you tremble indignation at every injustice then you are a comrade of mine."
"The revolution is not an apple that falls when it is ripe. You have to make it fall."
"Let me say, at the risk of seeming ridiculous, that the true revolutionary is guided by great feelings of love."
"It's a sad thing not to have friends, but it is even sadder not to have enemies."
"Cruel leaders are replaced only to have new leaders turn cruel!"
Che Guevara-II (MEDICAL OFFICER)
Nimeipenda dunia nzima. Senks!
Pathological Liar at work! Hatudanganyiki wewe kiumbe