1. Kuna wanafunzi zaidi ya 400 waliotia saini zao wakipendekeza mimi nigombee urais.( Ilikuwa ni siku ya pili tangu nichukue fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Karatu;sahihi 400 zilipatikanaje ndani ya masaa?Au kwa sababu alihojiwa na gazeti la Mwananchi?!)
2. Sikuwa na ndoto ya kugombea urais.( Kuna wanafunzi zaidi ya 400 waliotia saini zao wakipendekeza mimi nigombee urais;uliamua ndani ya siku mbili?,safi,kumbe hata kulipa madeni yote ndani ya siku 100 inwezekana)
3. Mwaka 2001 hadi 2008 Watanzania ambao ni masikini wa kutupwa wameongezeka kutoka 11.4 milioni hadi 12.9 milioni. (Ni 11.1 hadi 11.8,World Economic Report 2010)
4. Mfumo mbovu wa uendeshaji wa serikali unasababishwa na Katiba mbovu. (Maana yake serikali yoyote ikiwa madarakani na ikatenda vibaya isihojiwe mpaka katiba irekebishwe na kwamba yeye amekuwa sehemu ya Bunge linaloongozwa kwa katiba mbovu kwa miaka mingi na amekubali waliounda katiba hiyo toka mwaka 1977 si lolote)
5. Nitajenga mfumo mpya wa serikali kwa kubadilisha Katiba.(Katiba hushughulikiwa na Bunge au huandikwa na rais kama mahubiri kanisani?)
6. Hadi sasa imejenga shule za sekondari 300 tu.(Shule zilizojengwa ni 3,131 katika kata 2,575)
7. Ahadi kwenye bajeti zipo, lakini hazitekelezwi.(Hakuthubutu kuendelea kuelezea hapo,alijua ni uongo)
8. Hakuna utawala wa sheria.(Nini kilimpata Shibuda alipoleta ghasia Mafia?)
9. Mimi ni zero tolerance kwa ufisadi. (Ruzuku ya Tshs.1 Bilioni kila mwaka toka serikalini kwenda CCBRT ina matatizo kila mwaka,huko yeye ni mwenyekiti;ameacha ukatibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania akiwa na matatizo mengi ya kifedha na hata jimboni Mbulu)
10. Hakuna level ground ya siasa hapa nchini.(Ni nani ambaye hakusaini sheria ya uchaguzi na ambaye hawajibiki akizivunja?)
11. Chadema ndicho chama mbadala.(Kwa uhalisia na vipimo gani?)
12. Sikujua kama Josephine ni mkwe wa mtu.
13. Kafulila ni mdudu sisimizi. (Lmao!)
14. I was cleared by the Vatican.( http://lineofauthority.com/,priesthood is never cleared)
15. Kikao cha kutengue uteuzi wa viongozi huwa ni cha kiofisi.(Kafulila alitimuliwa kihuni).
16. Tunawapenda Watanzania wote.(familia yake yenyewe ameshindwa kuiweka iishi pamoja kwa upendo).