Elections 2010 Slaa yuko wapi?

Ni bora ukaua Jemedari mmoja kuliko kuua wabeba mizigo 100 .Askari mmoja wa Israel akitekwa Palestina wanaskuachiliwa wafungwa wake 100 ili askari mmoja aliyetekwa apatiwe uhuru. Nodo maana uchumi wa Tanzania unategea Mji wa Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Tanga, Mbeya ,Nenda TRA ulizia Je msingi wa mapato uya nchi unatokana na nini.
We e vipi ? unauliza yuko wapi. Kazi aliyofanya uioni. Kwa sasa ni kuangalia matokeo na baada ya hapo ni kuona jambo gani la kuongea. Maana watu makini ufanya kazi bila kukurupuka. Kazi imesha fanyika. Kila mtu amefarijika sana maana Unapimwa kwa ubora wa matokeo siyo wingi. Huu ni mwanzo kukamato miji ya Tanzania ndo ubora next ni huko huko. Mtu wa mafanikio endelevu ni pale utakapo anza project kwa sehemu ndogo na p[ole p[ole ukakamilisha baada ya kuweka misingi imara.Linganisha kaanzia Karatu kaweka msingi imara sasa kapanuka kaingiza mabingwa Bungeni kama yeye imekuwa hivyo je wapampanaji wote alio pata itakuwaje. Angalia mtaji alio tumia na matokeo mtaji mdogo faida kubwa sana. Siyo kuwekeza mtaji mkubwa faida kidogo mwish wake unafunga duka. Mtu akifilisiki ni pale duka lake linapo anza kuishiwa bidhaa na asiweze kurudishia mwisho wa safari ni kufunga duka . Mtu mwelevu na shupavu anaanza na kiberiti baada ya miaka mitano nafungua supermarket. Subiri uone msingi ambao amejenga tayari plani imeisha kamilika sasa amemaliza msing miaka mitano ataauzia bidhaa zake zote kwenye supermarket. Kama nakuombea uishi maisha marefu uje uone ninayo kwambia.
 
Mamanalia wewe ni wale wale wachumia tumbo kama huwezi kuona kazi ya DR Slaa basio hata pepo mbinguni nakuhakikishia huwezi kuiona maana unaonyesha una tabia za kifisadi na kula rushwa unadanganywa na vijumba na vigari used ulivyo navyo. Unaangaikia tumbo ndo maada akili yago ni ile ya mgando. Tutakuombea maana Bwana wetu Yesu Kristo alisema mna macho lakini amuoni.
 
Du inaniuma sana kuikosa Arusha City, yaani every body knows Arusha na imeenda kwa upinzani. Inaniuma sana kuikosa Moshi tena, inaniuma sana kuikosa Mbeya City, Inaniuma sana kuikosa Mwanza City, Musoma, Kigoma, Dar (Ubungo).

Ndani ya uongozi wa Kikwete haya ndo yanatokea, maana yake nini?

Msiba ndani ya CCM...kweli leo CCM inategemea Singida na Songea?? Kweli hiki ni kifo!!


Umefafanua vizuri!
Sasa nenda hatua moja mbele linganisha maendeleo ya mikoa iliyoenda kwa CCM na iliyoenda upinzani, utajua CCM ni chama cha aina gani na kinatakiwa kuongoza mikoa ya aina gani.

All CITIES to opposition, je unaelewa maana yake?

Just thinking Aloud!
 
Nadhani umepungukiwa vitu vingi (sina uhakika):
1. Busara,
2. Hekima,
3. Heshima,
4. Elimu,
5. nk

Hupaswi kuleta udini hapa. Huyu ni mtu wa kuheshimiwa na wa Tanzania wote, wenye dini na wasio nazo, wa CHADEMA, CCM, TLP, nk. Hata hivyo, naomba nikusamehe kwa sababu akili za watu zimegawanyika ktk makundi manne:
1. Wenye akili ndogo: Kazi yao kujadili mambo ya watu, mfano fulani kala dagaa jana, fulani ana suruali moja, nk.
2. Wenye akili za kawaida (za kati): Hawa hupoteza muda wao kujadili matukio; fulani kampiga jana fulani; fulani mchawi sana, nk
3. Wenye akili za juu: Hawa hujadili FIKRA (IDEAS): Wanaweza kuisaidia jamii kwa kuishirikisha mawazo yao.
4.Wenye akili za juu sana kama kina Nyerere, Yesu, Isaac Newton (nadhani na Mtume): Hawa huwa wanajadili IDEAS lakini IDEAS zao zipo juu sana kiasi kwamba wanapata shida hata kuwashirikisha wengine mawazo yao. Mara nyingi huonekana hawana akili wakati wa uhai wao. Wakifa ndo tunaanza, Oo kumbe, ooo ningejua...TOOO LATE: Naamini Slaa anaingia kundi hili na hupaswi kumpuuza kwa kigezo chochote. Hata kama angeshindwa kuwa RAIS, this is is the person who has shown a GREAT LOVE TO ALL, INCLUDING YOURSELF AND MYSELF.

thanks
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom