Elections 2010 Slaa yuko wapi?

Anajiandaa kwenda Ikulu. Mwishoni mwa week hii ataapishwa kura rais wa Tanzania kwa awamu ya tano. Na Mhe. Mbowe ni Waziri Mkuu na MHe. Joseph Mbilinyi akiwa waziri wa utamaduni.
 
oh my God, nyie watu mtakufa kwa pressure, relax n accept tht slaa n chadema conclusively don't qualify 4 tht nation.

Hakuna anayekufa kwa pressure kama mafisadi na recepients wa vijisenti vya mafisadi kama wewe maana siku yenu ipo tu kila kitu kitaanikwa wazi..kama kina yona na mramba
 
I thought we all love TANZANIA.
Not CCM or CHADEMA. We need to be focused, guys, do lot let yourselves be taken by the moment.
We have a common enemy and that is not CHADEMA or CCM.
Our enemy should be anyone against the happiness and wellbeing of Tanzanians.
We are flourishing them when we fight among ourselves!!

Jamani watu,
If you are among the people who are corrupt by choice, and huwajibiki kazini, mongo, mchonganishi, you are THE ENEMY!!!
But if we are in agreement that we want Tanzania to be improving especially in individual wellbeing. I cant find a reason to fight any of my fellow JF members!!
We all know that Dr Slaa was VERY GENUINE in what he felt for. And he fought and he has won!!
There is new bllod in a lot of Tanzanians, and it is good that it is young MEN,
I have felt very moved by the fact that young MEN are taking control of their destiny, although not always in a wise way, but at least they know it is in their hands!!!!
this what is called mapambazuko, there is no way, but to go forward and us the sunshine ahead of us!!!
 
:bowl:yupo kanisani:bowl:
ANAPOKEA MAAGIZO KUTOKA KWA PENGO NAMNA YA KULIPA FADHILA ZA KANISA ALIZOPEWAKATIKA KAMPENI,
kisha ataenda UK kutoa ripoti kwa wafadhili

:hippie:mpoooo!:hippie:
 
:bowl:yupo kanisani:bowl:
ANAPOKEA MAAGIZO KUTOKA KWA PENGO NAMNA YA KULIPA FADHILA ZA KANISA ALIZOPEWAKATIKA KAMPENI,
kisha ataenda UK kutoa ripoti kwa wafadhili

:hippie:mpoooo!:hippie:

Nadhani umepungukiwa vitu vingi (sina uhakika):
1. Busara,
2. Hekima,
3. Heshima,
4. Elimu,
5. nk

Hupaswi kuleta udini hapa. Huyu ni mtu wa kuheshimiwa na wa Tanzania wote, wenye dini na wasio nazo, wa CHADEMA, CCM, TLP, nk. Hata hivyo, naomba nikusamehe kwa sababu akili za watu zimegawanyika ktk makundi manne:
1. Wenye akili ndogo: Kazi yao kujadili mambo ya watu, mfano fulani kala dagaa jana, fulani ana suruali moja, nk.
2. Wenye akili za kawaida (za kati): Hawa hupoteza muda wao kujadili matukio; fulani kampiga jana fulani; fulani mchawi sana, nk
3. Wenye akili za juu: Hawa hujadili FIKRA (IDEAS): Wanaweza kuisaidia jamii kwa kuishirikisha mawazo yao.
4.Wenye akili za juu sana kama kina Nyerere, Yesu, Isaac Newton (nadhani na Mtume): Hawa huwa wanajadili IDEAS lakini IDEAS zao zipo juu sana kiasi kwamba wanapata shida hata kuwashirikisha wengine mawazo yao. Mara nyingi huonekana hawana akili wakati wa uhai wao. Wakifa ndo tunaanza, Oo kumbe, ooo ningejua...TOOO LATE: Naamini Slaa anaingia kundi hili na hupaswi kumpuuza kwa kigezo chochote. Hata kama angeshindwa kuwa RAIS, this is is the person who has shown a GREAT LOVE TO ALL, INCLUDING YOURSELF AND MYSELF.
 
Kura za vituoni inaonyesha hazina sana mshiko maana zanzibar kura za vituoni na zilizotangazwa mpaka sasa na ZEC zinatofautiana kuna mambo ya ajabu sana kwenye suala zima la jumla ya kura za vituoni na zile za kujumuisha.

Unashangaa leo? Kashangae segelea muheshimiwa amekamatwa na masunduku ya kura.
 
Day light dreams! Still not aware who has won?? CCM will never be an opposition, they coming up the next election. This one has been profitable for stability. Hope Slaa will be like Mrema Agustion in few years to come. Hope he will do well if elected the Chairman of his party.

Du inaniuma sana kuikosa Arusha City, yaani every body knows Arusha na imeenda kwa upinzani. Inaniuma sana kuikosa Moshi tena, inaniuma sana kuikosa Mbeya City, Inaniuma sana kuikosa Mwanza City, Musoma, Kigoma, Dar (Ubungo).

Ndani ya uongozi wa Kikwete haya ndo yanatokea, maana yake nini?

Msiba ndani ya CCM...kweli leo CCM inategemea Singida na Songea?? Kweli hiki ni kifo!!
 
Wewe nadhani utakuwa na matatizo, kwani swali lako halina msingi wowote,
Dr Slaa ni muungwana, anasubiri wanaojichetua na kuchakachua
hana harka from there sheria itafuata mkondo wake, hakuna haja ya kuongea kabla
Maana tume yenyewe inajifanya kutangaza majimbo ambayo JK ameshinda, yale ambayo wanaona
ameshindwa wanaendelea kuchakachua ndio watangaze
 
Anaandaa sababu za kushindwa, probably atasema nimeibiwa, an usual song for wapinzani.




Hatukushangai wewe ni mmoja wapo wa mafisadi unayelishwa na CCM, huku ni watu tunaoangalia masilahi ya nchi, kwa kuzunguka kila kijiji kuona jinsi maisha ya watanzania yalivyo mabaya ila kama una dini unajua kwamba kiama kitakufika, naomba uulizwe hili swali lako siku ya kiama uliongea kwa MASLAHI ya nani wananchi or mafisadi?? ulitetea CCM kwa manufaa yako binafsi au kwa manufaa ya watanzania???
kila siku swali hili litakaa kichwani pako mpaka utakapoliona kaburi.....
 
Mkuu ulitake awe wapi? safarini kama mkwere kuchakachua matokeo. Ni mwanasheria bado amtulia tu kusubiri matokeo!


Poa moto ndugu kwenye ukweli uongo hujitenga,huna haja ya kukashifu kabila ya mtu.Tanzania ni ya wote
 
Yani katika watu wenye LOW mind ni Huyu MAMANALIA, anajua fika kwa dhamira yake tume ya uchanguzi si huru, wote wanaripoti kwa kikwete , ni mjinga gani au mpumbavu gani asiejua kuwa wizi upo na ni mkubwa sanaaaa.
MAMANALIA umepotea step, JF ni sehemu ya kuchambua data za ukweli. Pole sana rudi michuzi kachangie picha za jk kuweka jimwe la msingi bagamoyo.
 
kwani jeykey na salma na riz1 wapo wapi? post yako inanieleza kuwa wewe ni bogas hujielewi
 
Anaandaa sababu za kushindwa, probably atasema nimeibiwa, an usual song for wapinzani.

Kampeni zilivyoanza na Chadema kuanza wiki moja baada ya CCM, mlisema Dr. Slaa si kitu; Dr. Slaa alipoanza kufagia nyayo za JK mlisema campaign maneja, Prof. Baregu, ni mchovu kwa Kinana; Sasa mmeanza tena kupiga kelele! Na matokeo ni vivyo hivyo acha JK atangulie!

I trust and believe in Chadema team, they know what they are doing now.

Wewe unataka aongee kuhusu nini? Kwani NEC wamemaliza kutangaza matokeo?
 
Anaandaa sababu za kushindwa, probably atasema nimeibiwa, an usual song for wapinzani.
Bila shaka huyu jamaa hana Aibu ulichoandika ni sawa na kuweka maji kwneye Debe lililotoboka kwani umesahau kuwa Dr si JUha kama JK ni mtu wa mahesabu na hata hivyo kazi aliyoifanya ni kubwa na ndio umeona waunge zaidi ya 30 na ado zingine amazo tunasubiria, vile vile ni mpiganaji mzuri wa siasa kwani askari Hodari anashambulia ngome ile ngumu ya Adui, Kupitia DR PhD slaa ameteka ngome kama Mwanza pamoja na mbinu chafu za ccm mpaka kikwete kwenda kumsaidia Masha bila kufanikiwa Arusha, pamoja na LOwasa Fisadi namba mili 2 Baada ya kikwete Fisadi 1, kumshawishi Lema Kwa 2Billions Bila mafanikio hiyo ni siasa iliyo imara ya kiongozi bora kuteka na kufanya mapinduzi,na miji mingine ambayo CHADEMA imechukua kama UBungo, Mbulu, Karatu na sehemu nyingi, CCM wameiba kura nyingi halafu bado kuna majimo mengi zaidi ya mia.
 
MI naona hakuna haja ya kurumbana saaaaaaana la msingi tukubali matokeo, kama unaona si haki subili serkali iundwe kisha tafuta taratibu za kuomba katiba mpya au tume huru.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom