Slaa: Tutashinda kwa zaidi ya 80%

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Akihojiwa na Mwanakijiji katibu mkuu wa Chadema amesema wanatarajia ushindi wa kimbunga wa zaidi ya asilimia 80% kwa vile ana uhakika hakuna hata kura moja itakayoibiwa.
 
what a coincidence?nilimuuliza mkazi mmoja wa meru akaniambia ushindi wa cdm ni aslimia zaidi ya 80.
Aliyetoa kauli hii ni mwanaume mwenye umri wa zaidi ya miaka 70.
 
liyepita Arumeru anajua kwa uhakika juu ya hilo!...
Pamoja na matuc yote ya Kibajaji haakuna mabadiliko hata ya milimita moja!...huh!
 
Kwa asilimia 80%, Duhh hapo babu yangu atakuwa ameridhika na maisha, maana utabiri utakuwa umetimia. Ile radhi ya wazee wa EAC.
 
Akihojiwa na Mwanakijiji katibu mkuu wa Chadema amesema wanatarajia ushindi wa kimbunga wa zaidi ya asilimia 80% kwa vile ana uhakika hakuna hata kura moja itakayoibiwa.

[video=youtube_share;gtfFmLyeuQ0]http://youtu.be/gtfFmLyeuQ0[/video]
 
liyepita Arumeru anajua kwa uhakika juu ya hilo!...
Pamoja na matuc yote ya Kibajaji haakuna mabadiliko hata ya milimita moja!...huh!

Kumbuka watu waliomchagua Kikwete kwasababu ni mweupe waweza wakawepo pia Arumeru wakamchagua Sioi kwasababu kafiwa na baba yake mzazi, ni kuongeza tu nguvu za kupunguza kundi la watu wa aina hii.
 
mila ya wameru inamkataza siyoi kujihusisha na mchakato huu kwa sababu bado yupo kwenye maombolezo.
Kwa mshiili-anaamini kuwa kumpigia siyoi ni sawasawa na kushangilia kifo cha sumari Sr.
Hapa ndipo ccm ilipopoteza kura za wazee.
 
Waheshimiwa mbona hiyo asilimia na kubwa sana. Naamini ushindi kwa CDM upo lakini sio kwa kiwango hicho. Plz tuwe wahalisia na kusiongozwe na hisia na matamanio.Bazazi na Bazazi!
 
o
what a coincidence?nilimuuliza mkazi mmoja wa meru akaniambia ushindi wa cdm ni aslimia zaidi ya 80.
Aliyetoa kauli hii ni mwanaume mwenye umri wa zaidi ya miaka 70.
Kmsingi nafurahishwa na habari hizi, ila nashindwa kukubaliana na wewe kwamba mkazi wa Arumeru Mashariki mwenye umri wa zaidi ya miaka 70 anaweza akawa anaelewa maana ya (80%).
 
Naamini hakuna chama kama ccm kwa maoni yangu chadema wangemsimamisho zitto agombee kiti cha urasi ata mimi nitamuunga mkono na anaweza akaibadilisha nchi.
 
Back
Top Bottom