Elections 2010 Slaa: Tusianze kushangilia ushindi

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
301
Dr. Wilbrod SlaaTusianze kushangilia ushindi kabla hata kipenga cha mwisho kulia. Sote tuendelee kuhamasishana kuchangia ili wagombea wetu wote waweze kushinda. Vijana jitoleeni muda na vipaji vyenu, na wenye uwezo jitoleeni kutusaidia kuchapisha mabango yetu. Ushindi tunaoutaka una gharama ya hali na maisha. Tushikamane hadi ushindi!
Tusianze... | Facebook
 
Back
Top Bottom