Slaa: Too many questions surround new TIB boss

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,011
Slaa: Too many questions surround new TIB boss

FINNIGAN WA SIMBEYE
THIS DAY
Dar es Salaam

CONTROVERSY continues to dog the surprise appointment of senior Bank of Tanzania (BoT) official Peter Noni as the new head of the state-run Tanzania Investment Bank Limited (TIB).

The deputy leader of the official opposition in parliament, Dr Wilbrod Slaa, was yesterday the latest personality to question the government’s choice of a new managing director for the public bank, describing it as ’’very controversial.’’

He said the fact that Noni was in charge of the central bank department that oversaw dubious payments from the external payment arrears (EPA) account was enough to raise serious questions about his background.

Slaa, who is secretary-general of the opposition CHADEMA political party and legislator for Karatu Constituency, insisted that the government could have opted for a less controversial person to fill the TIB chief executive post.

’’The problem of recycling the same people in top positions despite their questionable backgrounds was there during the Mwalimu Nyerere era because at that time there was a shortage of qualified experts. But that’s not the case today...we now have tens of thousands of qualified Tanzanians to hold such portfolios,’’ he asserted.

He said Noni’s appointment also brings up a lot of ethical questions, given that the government has said part of the 63bn/- recovered from the stolen EPA funds has been placed in the custody of TIB.

’’It is ironic that the same person who ran the BoT department that administered the EPA funds in the first place, is now made new boss of TIB,’’ he remarked.

Further voicing concern over Noni’s credibility to head the TIB given such a background record, Slaa said he had been suspicious from the time when Noni was appointed as BoT director of strategic planning and performance review, after being transferred from the central bank’s directorate of economic policy.

’’I find it quite bewildering that this same individual can now be promoted to become TIB boss,’’ he stated, remarking that there is a need for such government appointments to key public positions should always be beyond such suspicion.

Stressed Slaa: ’’This is a man who worked at the BoT department through which the EPA funds were stolen...and has now been promoted to a top job at a sensitive bank which has been given the responsibility of managing the recovered EPA money. We can only wonder how and why this is so.’’

Central bank insiders say Noni was part of the inner circle of the late BoT governor Dr Daudi Ballali, and is believed to be intimately familiar with the workings of the EPA account where more than 133bn/- was looted during 2005/06.

According to a statement from the Ministry of Finance and Economic Affairs, President Jakaya Kikwete appointed Noni as MD of the TIB effective from May 27 this year.

He replaces former TIB chief William Mlaki, who has reached the statutory retirement age.

At the time of his new appointment, Noni was director of strategic planning and performance review at the central bank.

Previously, he served as BoT director of economic policy, where he was among key central bank officials involved in the processing of payments from the EPA account.

In January this year, Noni appeared before the Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam as a prosecution witness and testified against three former BoT officials facing criminal charges in relation to the EPA embezzlement scandal.

The ex-BoT officials on trial in the case are Ms Ester Mary Komu, Imani David Akim Mwakosya, and Bosco Ndimbo Kimola.

An audit report by Ernst & Young named several senior BoT officials who held the following positions between June 2005 and July 2006 as being ’’directly or indirectly’’ involved in the EPA scandal:

The governor (Ballali), director of finance, secretary to the Board (two different officers served in this capacity during the stated period), director of economic policy (two different officers served in this capacity during the period), deputy director of the debt department (two different officers served as DDDD during the period), and head of bilateral and commercial debt.

The audit report uncovered that the BoT debt department, which falls under the directorate of economic policy (once headed by Noni himself), was responsible for the management of the EPA debts.

During the period reviewed in the audit, the department was headed by its deputy director (DDDD), Ms Esther Komu, who took up the position in June 2005.

Reporting to Ms Komu was the head of bilateral and commercial debt (HBCD), Imani Mwakosya, who held the position for a number of years.
 
Slaa may be right with his observations however, majority of tanzanians undertook risks of incriminations as a responce to fulfliling superiors directives. Noni can either be associated with EPA scandal or clean.
 
aaahh wapi? he is too dirty jamani huwezi kumtetea
 
Naomba cv ya noni jamani kwa mwenye nayoo...

Pia track record yake ya utendaji toka aanze utumishi wa umma na popotee
 
Naomba cv ya noni jamani kwa mwenye nayoo...

Pia track record yake ya utendaji toka aanze utumishi wa umma na popotee

Unafikiri CV huwa zinakuwa mbaya?? we acha we!!! tatizo cv za uadilifu !!
 
Unafikiri CV huwa zinakuwa mbaya?? we acha we!!! tatizo cv za uadilifu !!

CV ya Noni inajitosheleza. Wafanyakazi waandamizi wa BoT wanasema Peter Noni ni mchapa kazi sana na anajua anachokifanya. Wengi wao wanakubali kwamba angeweza hata kuwa Gavana. Tatizo ni kwamba kama anavyosema Dr. Slaa, Noni "is not beyond suspicion". Inasemekana (alleged) ana mali nyingi mno zikiwemo shares kwenye VodaCom na anamiliki kampuni ya Planetel ambao ni mmoja ya wakala wakubwa wa VodaCom. Nadhani katika hali hii Kikwete inabidi awe makini na uteuzi wa watu kama hawa. Atafute watu kama "mke wa Kaizari" ambaye hapashwi kuliliwa chembe ya shaka na hao wapo.
 
CV yake kwenye skills itaonesha ni mwerevu mno kaweza kupoteza billion 133 kwa kipindi cha miaka miwili na kutopatikana na makosa yoyote wala kusimama mahakamani kama muhukumiwa yaani ni ajabu, hila wa chini yake ndio waendao mahakamini ajizi ya kabugo.

wakati watanznania wamechachama na ufisadi nchini mwao unamuhitaji mtu kama huyu aweze fanya shughuli zingine za ufisadi kama kaweza kukwepa mahakama kwa wizi wa mara ya kwanza, au akatunge risiti za hela iliyo rudi ni mjuaji huyu wa kutunga mbinu za ufisadi perferct candidate kwa rais na viongozi wake wanaopenda ufisadi Noni ni mtu wa watu. well ingawa watu wenywe wachache na manufaa yao wenyewe at the cost of new schools, medicine, creating job opportunities. bajeti imetoka, stimulus package imetoka, mikopo inaenda Private sector Mh.JK keshasema. TIB ndio responsible for distributing that money, private sector is full of shady companies zenye majina ya watu wengine viongozi wanaubia, hela ikiingia iamishwe benki zinazo husika dont you think this is the man for that kind of operation. ps and the timing of the appointment was perfect alafu JK ana maarifa nani kasema.

Mungu Ibariki Tanznania
 
Nionavyo mimi ni kwamba watu wamefanikisha kazi ya ku-bankroll uchaguzi wa Kikwete na kuipatia CCM fedha chafu, sasa wanazawadiwa, kuzibwa midomo, pamoja na kujiandaa na 2010.

Same thing happenned to Mkullo.
 
Last edited:
Haya ni maaandalizi ya 2010, believe me. In 2005, CCM ilipata fedha yake kutoka BOT. This time around, wakati macho yote yameelekezwa BOT, fedha ya kampeni ya CCM itatoka TIB. Peter Noni was very effective kwenye kuwezesha upatikanaji wa fedha through EPA, now he'll play a similar role ndani ya TIB. Dr Slaa elekezeni macho yenu BOT na TIB ilikuwabana CCM wasichukue hela ya kampeni for 2010.
 
Dua la kuku etc. etc.

Amandla.............

Unajua watu kama akina Silaa mara nyingine huwa wananikera sana. Walitumika sana kwenye succession politics za BoT ili kumng'oa Ballali. Wakalifichaficha la succession kwa kupitia suala la EPA. Wakampigia kelele Ballali kumbe wanawasaidia akina JK, RA na akina Noni waendelee kutesa. Na ninaamini hilo walilijua lakini waliamua kuwasaidia ili kung'oana BoT. Sasa leo wanalalamika kuhusu Noni, mbona hawakumtaja kwenye orodha ya mafisadi. Bila kuwa wakweli mioyoni mwetu na kupambana hasa hasa hawa CCM wataendelea kushinda.

Mwaka 2005 walijua Noni ndiye alikuwa mhimili mkubwa wa RA pale BoT, lakini kwa sababu wakajiunga na CCM katika kugombea vyeo vya BoT, wakamiss opportunity, sasa leo amekwenda TIB kupokea hela nyingine kwa ajili ya kampeni za 2010 wapinzani wanajikuta wamechanganyikiwa. Waelewe kuwa CCM kwenye scheming wanakwenda na mbio za masafa mafupi wakati wapinzani wanakwenda na mbio za masafa marefu. Kwa hiyo akina Silaa wekeni ajenda zenu vizuri na aachaneni na succession politics za CCM
 
Mkuu inaonekana unajua mambo sana lakini basi walau amua nawewe uache kukodolea tu macho uunganishe nguvu tuwabwage hawa mafisadi! Mkuu hawa wapiganaji wetu Kina Slaa they need our in put mkuu, tusiwachukie tuwatie moyo na kuwasaidia tunapoona tunaweza.
 
Sawa Mkuu ndiyo tunawakumbusha kuwa wao wakiamua kuwachambua CCM wasiangalie nani wala nani. Maana yule wanayemwacha ndiye atakayekuja kuwararua (siyo kwa vita bali kwa ushindi). Na sisi tunawapa moyo wawabane CCM wote
 
Jamaa ana cv tamu sana kama ni kwa cv hakuna wa kupingana......sijui hayo mengine....
 
Back
Top Bottom