Slaa sisi ni watu wazima na timilifu

Status
Not open for further replies.

Mpunumpunyenye

Senior Member
Dec 7, 2011
114
50
NIMECHOSHWA NA KAULI ZA MZEE WETU SLAA, eti kuwa wanapata msaada usiozidi milioni 60 kutoka kwa chama cha kikisto cha ujerumani sasa swali langu nauliza, kila mtu dunia hii anafahamu ubaya na uzuri ya misada ya wazungu kwa maana hakuna cha bure, na kwakuwa chadema tumeshuhudia kwa hapahapa tanzania wanauwezo wa kuchangisha mamilioni ya pesa kwa siku moja nawanchangia bila kupewa masharti, sasa kuna ulazima gani wa kwenda kwa wazungu hawa kupiga magoti kupewa milioni 60kwa mwaka??
 
Bora CDM 60 million, ile suti ya wa kwenu mbona usiseme. Na SSM waliomba pia pesa kwa sms na walipewa mbona hawakutoa hata hesabu yake? Acheni majungu.
 
NIMECHOSHWA NA KAULI ZA MZEE WETU SLAA, eti kuwa wanapata msaada usiozidi milioni 60 kutoka kwa chama cha kikisto cha ujerumani sasa swali langu nauliza, kila mtu dunia hii anafahamu ubaya na uzuri ya misada ya wazungu kwa maana hakuna cha bure, na kwakuwa chadema tumeshuhudia kwa hapahapa tanzania wanauwezo wa kuchangisha mamilioni ya pesa kwa siku moja nawanchangia bila kupewa masharti, sasa kuna ulazima gani wa kwenda kwa wazungu hawa kupiga magoti kupewa milioni 60kwa mwaka??

mtu mnafiki utamjua tu!
 
mbona hujaioji serikali yako chovu inyotegemea over 30% misaada toka nje. wakati tuna rasilimali libao
 
Na Huyo Baba mwanaasha kila siku kiguu na njia na bakuli kama marehemu matonya tumwiteje? Na Mtimilifu ni Mmoja 2, Hakuna mwanadamu mkamilifu
 
Acha Uzuzu wewe, Kila Chama huwa kina Vyama Rafiki na CCM vyama vyake Rafiki na ambavyo huwa vinaipatia CCM pesa ni Vyama vya Kikomonist China, na hata ANC cha south, Ila vingine ni vya Africa sema havina Uwezo wa Kusaidia CCM,
r
CHADEMA nao wana vyama Rafiki kama vya Ghana, Liberia, Republican, Conservative cha Uingereza, CDU na vingine vingi, Na kuna Muungano wao unaitwa DU, so kusaidiana huwa ni jambo la kawaida na si Pesa za Za Serikali bali za kwao wenyewe, Hata CHADEMA wanao uwezo wa kusaidia vyama vilivyo kwenye huo umoja wao, na hizo pesa zina Kaguriwa na Mkaguzi CAG, na ni pesa kwa ajiri ya CAPACITY BUILIDING si za Kampeni wala nini, na hata CCM wanajua hilo na si ishu ya Siri ni ishu ya Uwazi kabisa

Na hata hivyo vinavyo saidia CCM ni kwa ajiri ya kuendesha shughuli za kiofisi na si Kampeni, hakuna Nchi ya Kijinga inayo weza kusapoti chama cha Nchi nyingine kwenye Kampeni kwa sababu wanatambua Madhara yake, na hata Policy za uhusiano haziruhusu

Sasa Nape yeye anatakiwa Kudhibitisha Nchi na si Chama, na MOU iliyo sainiwa kati ya CHADEMA na hizo Nchi, so hapo ndo kazi ilipo

CHADEMA Ruzuku ya Milioni 200 NA ZAIDI KWA MWEZI Watashindwa kufanya mikutano?
 
NIMECHOSHWA NA KAULI ZA MZEE WETU SLAA, eti kuwa wanapata msaada usiozidi milioni 60 kutoka kwa chama cha kikisto cha ujerumani sasa swali langu nauliza, kila mtu dunia hii anafahamu ubaya na uzuri ya misada ya wazungu kwa maana hakuna cha bure, na kwakuwa chadema tumeshuhudia kwa hapahapa tanzania wanauwezo wa kuchangisha mamilioni ya pesa kwa siku moja nawanchangia bila kupewa masharti, sasa kuna ulazima gani wa kwenda kwa wazungu hawa kupiga magoti kupewa milioni 60kwa mwaka??
CCM wanapata msaada na chama cha EPA, Mbona husemi. Unafiki ndugu!
 
Upuuzi mtupu huu, mbona CCM ni marafiki na chama cha kikomunisti cha China na huwa wanapata sana misada. Mleta mada mbona kama mtoto mdogo anayelialia na kulamba kamasi?
 
Acha Uzuzu wewe, Kila Chama huwa kina Vyama Rafiki na CCM vyama vyake Rafiki na ambavyo huwa vinaipatia CCM pesa ni Vyama vya Kikomonist China, na hata ANC cha south, Ila vingine ni vya Africa sema havina Uwezo wa Kusaidia CCM,
r
CHADEMA nao wana vyama Rafiki kama vya Ghana, Liberia, Republican, Conservative cha Uingereza, CDU na vingine vingi, Na kuna Muungano wao unaitwa DU, so kusaidiana huwa ni jambo la kawaida na si Pesa za Za Serikali bali za kwao wenyewe, Hata CHADEMA wanao uwezo wa kusaidia vyama vilivyo kwenye huo umoja wao, na hizo pesa zina Kaguriwa na Mkaguzi CAG, na ni pesa kwa ajiri ya CAPACITY BUILIDING si za Kampeni wala nini, na hata CCM wanajua hilo na si ishu ya Siri ni ishu ya Uwazi kabisa

Na hata hivyo vinavyo saidia CCM ni kwa ajiri ya kuendesha shughuli za kiofisi na si Kampeni, hakuna Nchi ya Kijinga inayo weza kusapoti chama cha Nchi nyingine kwenye Kampeni kwa sababu wanatambua Madhara yake, na hata Policy za uhusiano haziruhusu

Sasa Nape yeye anatakiwa Kudhibitisha Nchi na si Chama, na MOU iliyo sainiwa kati ya CHADEMA na hizo Nchi, so hapo ndo kazi ilipo

CHADEMA Ruzuku ya Milioni 200 NA ZAIDI KWA MWEZI Watashindwa kufanya mikutano?

Eliah G Kamwela says thanks for this very useful post.
 
NIMECHOSHWA NA KAULI ZA MZEE WETU SLAA, eti kuwa wanapata msaada usiozidi milioni 60 kutoka kwa chama cha kikisto cha ujerumani sasa swali langu nauliza, kila mtu dunia hii anafahamu ubaya na uzuri ya misada ya wazungu kwa maana hakuna cha bure, na kwakuwa chadema tumeshuhudia kwa hapahapa tanzania wanauwezo wa kuchangisha mamilioni ya pesa kwa siku moja nawanchangia bila kupewa masharti, sasa kuna ulazima gani wa kwenda kwa wazungu hawa kupiga magoti kupewa milioni 60kwa mwaka??

Mkuu, your point being?
 
Hakiamama nafuu hata ya marehemu Matonya!
Ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaa!!!!

Back
Top Bottom