Slaa ndani ya chuo kikuu cha ardhi!

Dkt Slaa Amemaliza kutoa hotuba fupi ya ufunguzi,amesimama bwana Benson mkurugenzi wa kurugenzi ya Mafunzo Chadema kama mchokoza mada,mambo yanaendelea..,anasema ukiingia CDM ni kwa ajiri ya kupigania watanzania (hapa anaelezea nafasi ya wanafunzi kama wanachama wa CDM)...
 
Anasema Gereza baya ni Uoga sio Ukonga wala Keko Hivyo anawataka wanachuo waungane na cdm kukomboa watanzania waache kuwaogopa wakoloni weusi..,Tanzania ina madini,ardhi safi,maji n.k mbona Zambia inadelea kwa Chuma tu?! kwanin basi tanzania ni masikini? TUACHE UOGA.
 
Dr. Ameshaingia! Mbunge wa kiteto kafunika kwa hotuba yake fupi! Haka kanyimbo ka slaa anaweza kananipa mizuka sana! Likikatiza gamba lolote kwa mizuka hii naweza kulipa vichwa kama 100 vya pua

Do you mean what you say? tangu lini wewe ukawachukia magamba?
 
....Anaongea H.Mdee mbunge wa kawe,anasema wakati yupo Udsm siasa ilikuwa ni maisha yao sabab CCM walikuwa wapo peke yao ,lakin Chadema ilipoanza kuwasha moto ikawa nongwa,wakapiga marufuku.Sasa anashanga wanachuo wasiposhiri siasa nani atashiriki?
 
Safi sana CHADEMA...Mkuu endelea kutujuza
 
uckurupuke tek ur ku make ur decisiön right kwan bado chadema wanasafar ndefu kuonyesha kwel kuw wana nia ya kwel ya hii nchi....
 
Halima anazungumzia katiba,kama raisi kwenye mswaada imeelezwa atatengeneza,hadidu za rejea,anaunda tume ya katiba,tume inawasilisha ripoti kwanza kwa rais kabla ya kusomwa kwa wananchi,hapo hakuna katiba ni usanii! Anawataka wasomi waache ubinafsi wawe na msimamo wakae imara kuchangia mchakato wa katiba ipatikane katiba bora.
 
..ni zamu ya mwenyekiti CHASO Ardhi ,Anasema wanachuo wamechelewa kuanza siasa maana wapo juu miaka 20
wakati katiba inaelekeza unaweza kujiunga na chama ukiwa above 18.Hivyo wanachuo waharakishe kujiunga na Chadema ile marufuku waachane nayo maana watoto wa S.Africa walishiriki kuleta uhuru,hivyo hakuna kulala.
 
Dr. Ameshaingia! Mbunge wa kiteto kafunika kwa hotuba yake fupi! Haka kanyimbo ka slaa anaweza kananipa mizuka sana! Likikatiza gamba lolote kwa mizuka hii naweza kulipa vichwa kama 100 vya pua

Hongera mkuu
Gamba kwako limevuka!
 
..sasa m/mwenyeki BAVICHA taifa anazungumza,anakumbusha kwamba Vijana ni nguvu ya mabadiriko,anawaeleza kuwa vijana ni lazima waisemee jamii kwani wananchi wanawategemea.
 
..sasa m/mwenyeki BAVICHA taifa anazungumza,anakumbusha kwamba Vijana ni nguvu ya mabadiriko,anawaeleza kuwa vijana ni lazima waisemee jamii kwani wananchi wanawategemea.

Ni Heche huyo?vp ana mashiko nayeye!
 
Vijana wanaendelea kujadili mada "Nafasi ya vijana katika siasa" bwana mmoja amesema mpaka sasa vijana wa chedema wanafanya vizuri hivyo waendelee kumantain mwenendo wao.
 
Mchangiaji mmoja amesema CHASO iwe makini na wanasiasa mamuluki,wale wanaosema eti mimi CDM damu lakin nipo ccm kwa maslahi hao hawafai na hawapaswi kubaki CDM.
 
Wazee dr.slaa kesho atakuwepo mitaa ya skanska hall(sorry kama nimekosea spelling),tegeta road akizindua chadema students organisation(chaso) tawi la ardhi university! Usafiri utakuwepo chuoni kuanzia saa 2 asubuhi! Karibuni, me ntaenda ili kuiwakilisha ardhi kimapambano and nione kama slaa anaweza kunishawishi ili nijiunge naye majeshi! Hadi wakati huu sipo upande wowote kichama tz
Itabidi tukodiwe magari ili tuonekani wengi. What makes the difference bty u and ccm kama mnavyodai? Craizy.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom