Slaa ndani ya chuo kikuu cha ardhi!

Wazee dr.slaa kesho atakuwepo mitaa ya skanska hall(sorry kama nimekosea spelling),tegeta road akizindua chadema students organisation(chaso) tawi la ardhi university! Usafiri utakuwepo chuoni kuanzia saa 2 asubuhi! Karibuni, me ntaenda ili kuiwakilisha ardhi kimapambano and nione kama slaa anaweza kunishawishi ili nijiunge naye majeshi! Hadi wakati huu sipo upande wowote kichama tz

Hapo kwenye red mkuu..Kumbuka the hottest part in hell is reserved for those people who are neutral.
 
Rais wa nchi anazindua tawi la CHADEMA chuo cha ardhi - Neva miss guys - hongereni sana.
 
Kama wasomi wengi wanamwelewa Dr. Slaa inakuwaje mzee mpaka leo bado unasisita? Inaonyesha wewe unashawishika hata kwa fedha maana hauna maumivu kabisa na shida za hii nchi. Hata kama siyo Dr. Slaa, kama msomi uliyeelewa nchi hii inavyoenda, unahitaji kuunga mkono upinnzani dhidi ya udhalimu utawala uliopo.
Rudi moyoni mwako ufikirie vizuri maana wasomi ndo tunaowategemea kwenye upinzani na wajinga ndo mtaji wa magamba.

hao ndo wale wanaotema big g kwa karanga za kuonjeshwa
 
Labda itasaidia uchoraji wa ramani. li nchi kubwaaaaa bado wamebakia kutupimia high density. Hivi hamuwezi kubadili ili ukubwa wa low density kuwa high density? Kila walichosoma kwa mzungu ndo wanafanya. Mwingereza anastahili kuwa na high density kwa sababu ya udogo wa eneo lake la ardhi. Badilikeni wandugu!! Kwa kweli mnachosha, miaka 50 ya uhuru lakini mawazo ni yale yale ya akina Tip Tip na Mirambo na Kinjekitile..... Dr Slaa hebu waambie na hili
 
Mkuu umenikumbusha point hapo, wabongo tupo wachache, tuna ardhi kuuuuuubwaaaaaaaa, lakini eti High density sijui vya nini Lol, hapo ndo nachokaga bandugu.
 
msituangushe nyie vijana wa archi.
hivi ramani mnazochoraga zinafanyiwaga kazi? hivi nyinyi ndio mlichora ramani ya manzese? nyie kweli ni vichwa

mkuu mbona manzese ni slam, sio planned area. sioni ni vp unaihusisha na ardhi university
 
Wazee ndio 2po ukumbini 2namsubiri slaa! Ful mzuka, mazingira yamekaa kisomisomi sana! Watu wapo kibao! Misong ya ukweli inapigwa kama ule wa slaa anaweza! Kama unaweza sogea tulisongeshe kisomi zaidi! Kama kawaida wanawake ni kama 10 hivi wapo ukumbini,hawa dada zetu sijui vipi?
 
maandalizi ndo yanaendelea na ukumbi umeshajaa wanafunzi kutoka vyuo vya DIT,UDSM,ARDHI na CBE wameshafika na wengine wanakaribia kufika kutok IFM na vyui vingine.ill be back.
 
Watz 2na tatizo sn la muda! Hadi muda huu slaa hajaingia!cdm kama kweli wanataka kuleta mapinduz inabid wachange kuanzia kwenye vitu vidogo vidogo kama muda
 
Dr. Ameshaingia! Mbunge wa kiteto kafunika kwa hotuba yake fupi! Haka kanyimbo ka slaa anaweza kananipa mizuka sana! Likikatiza gamba lolote kwa mizuka hii naweza kulipa vichwa kama 100 vya pua
 
Watz 2na tatizo sn la muda! Hadi muda huu slaa hajaingia!cdm kama kweli wanataka kuleta mapinduz inabid wachange kuanzia kwenye vitu vidogo vidogo kama muda
..
Ishi ili jamaa vp?!.Dokta wa ukweli ameshaingia na kongamano limeanza,.viongoz wameomba radhi,dokta amechelewa coz alikua ana solve saga la Kusakwa mwenyekiti wa taifa..wanachama 300 wamevunwa chuo kikuu Ardhi.
 
Kaomb radhi kuchelewa,walikuwa wanasolve tatizo la mbowe! Dr.mbishiii! Kama messi
 
Dokta anaelezea suala la kutaka kukamatwa kwa Mbowe..wamekubaliana mh Mbowe aendelee na kazi zake kama kawaida ,kama serikali inataka kumkamata imkamate na wameshamuandaa kisaikorojia kukaa gerezan ila serikali ijue inawakamata watanzaia wote na ijue hivyo na ijiandae kwa lolote.
 
Dokta anawataka wanachuo wawe critical thinkers waishi katika haya SEE ,JUDGE and ACT.Pia anawasihi vijana wa Ardhi wawe makini wakiwa makazin maana migogoro ya Ardhi inalimaliza taifa ambacho ndio kitengo chao.
 
Dokta anaelezea suala la kutaka kukamatwa kwa Mbowe..wamekubaliana mh Mbowe aendelee na kazi zake kama kawaida ,kama serikali inataka kumkamata imkamate na wameshamuandaa kisaikorojia kukaa gerezan ila serikali ijue inawakamata watanzaia wote na ijue hivyo na ijiandae kwa lolote.

Hayo ni masuala muhimu sana dr slaa, nadhani inabidi uwaandae kisaikolojia na wanafunzi wakamtoe jela akifungwa kama ilivyokuwa arusha na pia uwaandae kisaikolojia kwenda kuandamana na wakati tukiaga majeneza ya watoto wa masikini watakao kutwa na mauti wakati wa harakati za kumkomboa shujaa anayepambana na mahakama. Haya kwa sasa ndio mambo muhimu sana ndugu zangu wanafunzi wa vyuo vikuu.
 
kweli nimeamini dr. Ndiye rais wa nchi hii,,, anapendwa sana,, i dont think if kikwete angekuwepo hapa kwenye hili kongamano angesikilizwa kwa makini na utulivu kama docta,,, kweli nimeamini,,, kikwete mchakachuzi,,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom