SLAA na Kauli Tata

Hivi hafif, wewe hukwepo kwenye ile opinion polls ya hapa JF na kwingineko? Mbona Dr Slaa alishinda au kwa vile mechakachua?

Na mzimu wa uchakachuaji bado unawasumbua mtakoma, na kama hamkuchakachua kwa nini mnahofia nguvu ya uma? wakati ni juzi tu tulifanya uchaguzi?

Ndugu yangu acha kabisa kujidanganya kwa polls zilizopigwa hapa JF . naomba ufahamu JF almost imetekwa tena dhahiri na Chadema na pasi na shaka kabisa ni moja kati ya matawi ya Chadema, thats why hata viongozi wao waandamizi wanaingia na kutoa hoja mbalimbali.

Suala hapa JE NI WATZ WANGAPI WANAOINGIA KWENYE JF FORUM? sasa hao wasioingia ndio waliommaliza Slaa kabisaaaaaaaaa
 
Kwenye bluu hapo kama wewe sio Member wa CHADEMA unafanya nini humu? na kama JF ni Tawi la CHADEMA na nyinyi si mfungue Forum yenu? hamkushikiwa bunduki kujisajili humu

Kwenye red viongozi wa CHADEMA wanaingia humu jamvini kwa sababu wana uwezo wa kujenga na kupangua haja sio viongozi wenu CCM walikimbia midahalo enzi za uchaguzi je wakiingia humu jamvini wakikutana na watu walioenda shule si watafyata na wataondoka mikono nyuma kichwa wameinamisha chini, na ndio maana wamekodi na kuwalipa watu kama wakina KUPENG,E, KASHAGA,MAJIMSHINDO,WEWE MWENYEWE,ZOMBA,MS(kapiwa life BAN),genius brain na wengine wengi maana mawazo yenu yote ni ya kipuuzi na hayana maana mkiongozwa na viongozi wenu wa chama MAKAMBA,CHILIGATI,HIZA,WASSIRA

Think positive dude... mbona unakuwa mzembe wa fikra anyway inawezekana nabishana na mtu asiyejua lolote ambae anajua kuchezea Keyboard
 
Mzushi tu hana lolote na hafai kupewa nchi sababu yeye na wasaidizi wake hawako makini katika kupokea na kutoa habari
Safi sanaaa. Mkweli ni Mkwere,Makamba,Sophia Simba, Chiligati,Tambwe,yule Bondia wa zamani Tyson na Mwenyekiti kivuli wa CCM (RA), na, na,na ........ kweli CCM inajivunia kuwa na utajiri wa viongozi wakweli na makini sana,wachapakazi,wabunifu na waadilifu kuliko chama chochote cha Siasa nchi za kusini mwa jangwa la Sahara. Kwa kweli ni fahari kubwa kuwa mwanachama au mshabiki wa chama hiki.
 
Ndugu yangu acha kabisa kujidanganya kwa polls zilizopigwa hapa JF . naomba ufahamu JF almost imetekwa tena dhahiri na Chadema na pasi na shaka kabisa ni moja kati ya matawi ya Chadema, thats why hata viongozi wao waandamizi wanaingia na kutoa hoja mbalimbali.

Suala hapa JE NI WATZ WANGAPI WANAOINGIA KWENYE JF FORUM? sasa hao wasioingia ndio waliommaliza Slaa kabisaaaaaaaaa

HAFIF LOGIC: ILIYOWEKWA RED COLOR HAPO JUU. kwa hiyo ndugu yangu na wewe kwa kuwa unachangia mada humu ni CHADEMA pia? lakini mimi nikwambie, sio CHADEMA hasa, ila naunga mkono chama au kikundi chochote ambacho kinathubutu kuiambia ukweli serikali ya CCM. CHADEMA kimethubutu kuitikisa serikali na kama haikujipanga vizuri na kufanya kile kinachotakiwa na wananchi, hakuna zaidi ya kuondolewa madarakani. najua tatizo lako wewe, hujali matatizo ya nchi wala ya wananchi wake. ajenda yako ni moja tu: UDINI. Mtu yeyote ambaye anaonekana siyo Muislamu akionekana anafanya kitu, na hasa awe au aliwahi kuwa Padre au mchungaji, basi huyo hafai kabisa. ila akiwa ni Sheikh looh! huyu saafi! kwa hiyo HAFIF Logic ina matatizo
 
Dr Slaa ni member hapa....anachangia sana na anachukua mawazo pia kwa uangalifu mkubwa na anaiamini JF kama credible source yake ya hoja (from credible members of course sio wakina JeyKeywaUkweli,MS,Kishaga etc)....sasa anapotoa hoja hadharani anaumakini wake...mathalan:
  1. Issue ya CONATINER LA KURA TUNDUMA ilianzia hapa...thread yake ipo ni kubwa tu
  2. Suala la RC Shinyanga lilianzia hapa na thread yake ipo
  3. EPA ilianzia hapa na thread ziko kibao
  4. MEREMETA pia imo humu
  5. RICHMOND, DOWANS zote zilianzia hapa

Unaona sasa, wenzako wana facts. Wacha uzushi.:washing:
 
Kwani Jk ni mangapi kadanganya tangu aingie madarakani kwani hamuoni.Kusema kuna vyama vinahubiri udini na ukabila Je huo sio uongo na ukurupukaji?Je Pinda na uongo wa Arusha hamuoni?Hayo namengine mengi kwa viongozi waandamizi walopewa dhamana na wananchi.
 
Huyu jama vipi? Haya tuambie RC wa Shinyanga yuko hospitali gani na nani kiongozi gani alyeenda kumjulia hali? Yule kafa we sema wanamficha. Swali watamficha hadi lini?

Kuhusu kura feki, je wewe ulienda kuhakikisha au kwa vile wamezificha, ukweli ni kwamba anayoyasema slaa ni ya kweli na ndio maana wanaogopa kumpeleka mahakamani.

Tokea Slaa aanze kuongea umeshasikia kuna mtu kamfungulia kesi kwa kusema uwongo? Wote hao wanajulikana na ni ukweli mtupu.

Jipange, kalete hoja mpya tena

Binafsi swali la msingi au lenye mantiki kwangu sio watamficha hadi lini; bali ni kwanini wamfiche/wafiche kwamba amekufa!!!
 
Ndugu yangu acha kabisa kujidanganya kwa polls zilizopigwa hapa JF . naomba ufahamu JF almost imetekwa tena dhahiri na Chadema na pasi na shaka kabisa ni moja kati ya matawi ya Chadema, thats why hata viongozi wao waandamizi wanaingia na kutoa hoja mbalimbali.

Suala hapa JE NI WATZ WANGAPI WANAOINGIA KWENYE JF FORUM? sasa hao wasioingia ndio waliommaliza Slaa kabisaaaaaaaaa

Kwa vile ni home of great thinkers basi pasi na shaka hata hao (kwenye red) wakielevuka ndiyo ushindi mkuu unaotafutwa. Kumbuka kutoka 80% 2005 mpaka 60(25%?) 2010. keep watching!!!
 
Sasa kauli za kikwete ndiyo nzuri?? angalia:
Kwanini Tanzania haiendelei? Kikwete akajibu siuji!
Eti yeye ndiyo mwajiri namba moja...then baada ya mwezi tu akaanza kuomba kura!!
Ukila lazima uliwe! ndiyo kauli za raisi wa nchi hizo!
Mzee Nyerere badala ya Baba wa Taifa!!
Uchumi wa Tz Umepanda ndiyo maana kuna foleni..!!
Aliulizwa nini kaifanyia Tanzania? akajibu kaitoa hapa kaipeleka pale!!!!!!
N.K

Hamna kitu hapo, bora tungeongozwa na Kingwendu!
 
Ni kweli Kabisa DR SLAA anaongoza kwa kutoa kauli tata.
Nadhani ndiye Mwanasiasa ambaye akisema kesho ataongea na waandishi wa habari
hata kama Kikwete atakuwa New York atasitisha misele yake yote siku hiyo mpaka ajue exactly jamaa anasema nini.

Kwa mfano, kwa kumbukumbu yangu DR Slaa ndiye mwanasiasa pekee ambaye kauli zake tata zimewahi kuwafurumusha usalama wa taifa kutoka mafichoni na kuongea in public. yes ni yeye.

Ndiye mwanasiasa pekee ambaye kauli zake hujadiliwa kwenye Baraza la Mawaziri.of course.

Na hizo ndio zinazomjenga na kumtofautisha na wenzake wote.

N.B
Moja ya alteration zake tata alizozitoa wiki hii ni pale alipotoa mpaka PLOT NO. ya makazi (Oysterbay) ya Mkurugenzi wa Organization ya Kijurumeni inayoifinance CCM kifedha katika Majibu yake ambayo binafsi sikutegemea kama angejibu namna ile, kwamba si CHADEMA peke yake wanaofadhiriwa na mataifa ya nje. Hii tata kwelikweli na utata wake ndio uliopelekea wizara ya Mamabo ya nje kujitetea kwamba CHADEMA wameposha Kauli ya Membe, ni utata wa majibu haya pia ndio utakaopelekea Wizara ya Mambo ya Nje kutotoa report ya uchunguzi unaoendelea juu ya chama wananchodai hawajakitaja jina ila kinafadhiriwa na nchi za nje kuleta machafuko nchini na pia ni utata wa majibu hayo ndio umeimaliza kabisa propaganda hii, haitosikika tena ikizungumzwa na serikali wala wana CCM waliobakiwa na akili kidogo za kutopotea njia ya kurudi nyumbani.
 
Back
Top Bottom