Slaa, Lissu na wafuasi wao wafikishwa mahakamani Arusha

Wakazi wa Arusha tunaomba updates.

Arusha iko shwari rats jana walipiga viroba usiku wamechoka mbaya na waliambiwa siku saba sasa imekuwa siku moja mbuzi hafukuzwi kwa maneno anafukuzwa kwa fimbo
 
Acha vyombo vya dola vifanye kazi yake, hawawezi kutuharibia Tanzania yetu kwa uchu wa madaraka

hivi kama huna lakuongea ai ukae kimya..mamako anhekuwa hana uchu angekuzaa ukawa na akili za makengeza hivo
 
Daima mwishowa yote manyanyaso na mateso haki ndio mshindi na daima ukweli ndio utamuweka mtu huru. sidhani matatizo ya watanzania yanaweza kutatuliwa kwa matumizi mabaya ya nguvu za jeshi la polisi.

cha msingi ni kuangalia jinsi gani demokrasia ya taifa letu inaweza kupatikana na kuboresha maisha ya wananchi. Viongozi wa serikali wanatakiwa kuwa macho na mfumuko wa bei na ugumu wa maisha ya wananchi kuliko kutumia vyombo vya dola kudhibiti matokeo ya ukandamizaji na maisha magumu.

Kwa kadri siku zinavyokwenda ndivyo ugumu wa maisha unavyoongezeka na masikini kuanza kuchukia matajiri na viongozi wa serikali na chama tawala, hii inaweza pelekea siku moja mwananchi au wananchi kujitoa muhanga kuteketeza wananchi au viongozi wa serikali na kuondoa utulivu wa nchi yetu.

I really can't figure this out and just simply can't get my head around it, what is not happening in A town?

Plz I plea for only balanced info.
 
Salaam,

vijana tujishirikishe na vyama vya kijamii, ushabiki wa kisiasa unaendelea bila ya hizi pressure groups ni kazi bure, real democracy, real development comes from a wider participation of all members of society in governance through electorate-based politics and planned and organized politics of the people through pressure groups/civil societies..bila ya hizi tutakalia kupiga makelele tu chademaaaaaaa! ccmmmmmmmm, slaaaaaaa, lowassaaaaa, membeeeeee, sijui nani tena mwisho wake tutagawanywa kiukanda, kidini, kikabila kwa sababu wanasiasa wanchotaka ni kushinda chaguzi na hamna kingine.

siyo kila mmoja wetu ataweza kushiriki katika electorate-based politics zaidi ya kupiga kura sasa tuna uhakika gani na tunaowachagua watafanya yale tunayotaka wafanyae bila ya kujumuika kijamii kutumia nguvu yetu ya kidemokrasia na kufuatilia ahadi za tuliowachagua?

Tukumbuke freedom of association ipo kwenye katiba, na katika demokrasia hiki ni kitu muhimu kama wananchi wamegawanyika na wanaishia kulalamika tu bila ya kua na sauti yenye ushawishi kwa wanajamii wengine katika vyama hivi vya kijamii hatuna hata hii haki ya kulalmika

vijana tusitake nguvu zetu zivunwe kwa ajili ya kutudidimiza sisi wenyewe. ukombozi wa tanzania hautegemei vyama va siasa na siasa za chaguzi pekee, ukombozi wa tanzania hautegemei katiba mpya pekee kwani katiba mpya inaweza kudakwa na kuhodhiwa wanasiasa kwa sababu zao kimadaraka na sisi tukabaki kulalamika kwa sababu hatuna chombo/vyombo venye nafasi katika demokrasia yetu zaidi ya kura(ambazo tunajua zinaibiwa katika chaguzi nyingi tu).

Vijana naomba muamke, ukombozi wa kimaendeleo Tanzania ni kitu cha muhimu na takatifu kuachwa kwa wanasiasa pekee yao.

AMKENI!!!!

Nimefurahi sana kukusoma mkuu. Much respect for your precious post. I wish I was an Editor in a widely circulate News Paper, your post must have captured the Front Page in capital letters
 
Ha haha ha ha ha leo asubuhi nimecheka sana nimekutana na mbowe anakimbia sijaamini macho,yangu padri kashindwa kukimbia mzee kapumzike siasa zitakuua

ccm ni chama legelege hakiwezi kutoa maamzi mazito ingeni kwa chadema chama imara kama simba
 
Biased arguments, kwani maendeleo yataletwa na vitendo vya CDM kuvunja sheria??

Two wrongs do not make it right.

Daima mwishowa yote manyanyaso na mateso haki ndio mshindi na daima ukweli ndio utamuweka mtu huru. sidhani matatizo ya watanzania yanaweza kutatuliwa kwa matumizi mabaya ya nguvu za jeshi la polisi.

cha msingi ni kuangalia jinsi gani demokrasia ya taifa letu inaweza kupatikana na kuboresha maisha ya wananchi. Viongozi wa serikali wanatakiwa kuwa macho na mfumuko wa bei na ugumu wa maisha ya wananchi kuliko kutumia vyombo vya dola kudhibiti matokeo ya ukandamizaji na maisha magumu.

Kwa kadri siku zinavyokwenda ndivyo ugumu wa maisha unavyoongezeka na masikini kuanza kuchukia matajiri na viongozi wa serikali na chama tawala, hii inaweza pelekea siku moja mwananchi au wananchi kujitoa muhanga kuteketeza wananchi au viongozi wa serikali na kuondoa utulivu wa nchi yetu.

Kama mawazo ya pro CCM humu ndiyo mawazo ya watawala wetu basi utawala huu ni kama mbwa anaekaribia kufa ambavyo huwa anapoteza uwezo wa kunusa. Kwa hiyo inakua rahisi kula sumu hata kuuwawa na maadui zake. Sioni mwana CCM anayejadili imekuaje tumefika hapa,na kwa nini. Naona wana CCM wenye kejeli za kihuni na ujinga. Hivi Mwalimu Nyerere angefufuka leo akasoma maoni ya pro CCM humu ingekuaje? Angeamini hawa ndiyo wafuasi wa chama alichokiasisi? Mbona juzi nimesoma press release nzuri tu za akina Milya na Malisa?! Wana CCM wenye hekima na busara wako wapi?
 
Wakazi wa Arusha tunaomba updates.

Hali si shwari kama jana huku mitaani tunakoishi.
Jana tulilala kwa usalama usio wa kawaida, kila mtu alishangaa manake hata waliosahau nguo nje walizikuta asubuhi. Nasikia hii hali ilisababishwa na mkesha wa kisiasa maeneo wanayoita NMC.
Leo hali imerudia ya siku zote, vibaka kwa kwenda mbele.
 
Uhuru wa mahakama hueshimiwe bila ya kujali siasa dini wala cheo. Lema kanyimwa dhamana na mahakama. Polisi walitumia busara kumuomba akubali dhamana sasa tatizo liko wapi?

CDM tuambieni mnataka nini? na mna agenda gani? kila siku nyinyi Slaa, mbowe , Lema na Lisu tu mbona sisikii kina Mnyika na Zitto kuwekwa ndani?
 
Kuna waraaka mmoja humu jf leo kila ukitupiwa unachomolewa fasta,anaona hali ya ya amani nchini ina anza kuharibika,nilipata kuupitia juu juu,nikatoka kidogo narudi haupo.
 
Kuna waraaka mmoja humu jf leo kila ukitupiwa unachomolewa fasta,anaona hali ya ya amani nchini ina anza kuharibika,nilipata kuupitia juu juu,nikatoka kidogo narudi haupo.

Usione watawala wanatabasamu ktk Tv lakini moyoni hawana amani. Mimi nimebahatika kuusoma asubuhi,hali siyo nzuri. Unapoambiwa Polisi wetu hapo Arusha wanaonyesha kuchoshwa na jinsi wanavyotumikishwa na serikali ya CCM basi mengi yaliyoandikwa pengine ni kweli.
 
Mkuu ni kweli yaaani ule unatisha kama yatatokea yaliyo andikwa wa tz tutarajie mengine mapyaa makubwa zaidi.
 
Arusha iko shwari rats jana walipiga viroba usiku wamechoka mbaya na waliambiwa siku saba sasa imekuwa siku moja mbuzi hafukuzwi kwa maneno anafukuzwa kwa fimbo
Boko boko haram,
Mbuzi analiwa nyama na waarabu wanamkaribisha.Haya ya kufukuza ya wapi tena?
 
Kuna waraaka mmoja humu jf leo kila ukitupiwa unachomolewa fasta,anaona hali ya ya amani nchini ina anza kuharibika,nilipata kuupitia juu juu,nikatoka kidogo narudi haupo.

Huo waraka ulikuwa unasemaje kwa kifupi?
 
Acha vyombo vya dola vifanye kazi yake, hawawezi kutuharibia Tanzania yetu kwa uchu wa madaraka
kazi gani? sawa na kuzima moto wa petrol kwa kidumu cha maji. ni mwanzo tu sijui mtafungua kesi ngapi hadi dec 31st. Arusha jeshi zima wiki hii yote linahangaika na Lema na DR slaa, majukumu mengine pending....
 
Back
Top Bottom