Elections 2010 Slaa kuzuiwa kugombea urais?

nafikiri wote waliozungumzia hili sakata ni kati ya wale wanaofikiri watanzania wako usingizini. Ukimzuia Dr slaa hata na JK hawezi kuwa kabisa na sifa. Ni bora kufunga midomo tu. JK ameisha chukua fomu na nasikia baadhi ya maeneo tayari kuna mabaango ya chagua chamaa na yeye. Kuna kampeni zaidi ya hiyo. TUachane na hizi hoja
 
Ukiwa ndani ya nyumba ya kioo usianze kuwatupia mawe walio nje. CCM na vikaragosi vyenu jaribuni kuweka pingamizi muone itakavyo kula kwenu.
 
taarifa iliyotolewa na tume ya taifa ya uchaguzi ni kuwa dokta slaa ameanza kampeni kabla ya muda.
Ni kinyume cha sheria maana kila anapopita anaeleza atakayowafanyia watanzania pindi akichaguliwa kuwa rais. Kwakuwa lengo la mwanasiasa huyo ni kuomba ridhaa ya kudhaminiwa hakupaswa kuanza kutoa ahadi za yale atakayoyafanya maana kwa kufanya hivyo ni kuanza kampeni.

Je, rais mtarajiwa hawezi kuwekewa pingamizi hasa ukitilia maanani mavuvuzela (mtikila, yule wa tlp, nccr na tpp maendeleo) nao ni wagombea wanaoweza kutumika kirahisi na wevi hawa wa chama cha mapinduzi kutimiza azma hiyo? Si kwamba mavuvuzela hayo yanaweza kutangulia kumwekea pingamizi rais slaa/ samahani, namaanisha rais mtarajiwa dokta slaa?

kwa mgombea mtarajiwa aliyeanza kampeni kama huyu, inabidi awajibishwa kwa mujibu wa sheria.

Ccm hoyeee
 
kwa mgombea mtarajiwa aliyeanza kampeni kama huyu, inabidi awajibishwa kwa mujibu wa sheria.

Ccm hoyeee

Wa-Tanzania tupendane, tushirikiane, tuijenge nchi yetu.
"Mungu katika Jina la Yesu akusamehe Maovu yako yote, na Kukuponya Magonjwa yako yote
(Zaburi 103:3)"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom