Slaa kutikisa kampeni za udiwani Lwenzera-Geita:CCM waweweseka,washusha shehena ya culverts kuhadaa

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Taarifa za ujio wa Dr Slaa hapa Lwenzera kesho kwa ajili ya kuendelea kumnadi mgombea wa udiwani kamanda IBUGA zimezidi kuwa koroga zaidi ccm ambao mpaka sasa hawajazindua kampeni zao rasmi badala yake wanaendelea na kampeni za kificho.

Jana jioni lori moja likiwa na shehena kubwa ya culverts zilizotengenezwa kwa simenti liliwasili na kuzishusha mbele ya ofisi za ccm katani hapa.Nakuanzia hapo mkada wao wamekuwa wakipita katika miji na mitaa mbalimbali wakishawishi wananchi wachague mgombea wa ccm kwani kero zote katani humo zitatatuliwa ndani ya muda mfupi ikiwemo ya barabara na kuwa vifaa vimeshaanza kuwasili na kama hawaamini waende kwenye ofisi za chama wakajionee.

Slaa atakuwepo kesho hapa.

Nikiripoti kutoka uwanja wa mapambano na nikiwahakikishieni kuwa hatachomoka katika uchaguzi huu,ni mimi IDIMULWA wa JF
 
Jaman Dr.slaa utamuua Zitto na CCM kwa mwendo huu.

Please slaa u should just die a little, so that Zitto and CCM may live.
 
mkada wao wamekuwa wakipita katika miji na mitaa mbalimbali wakishawishi wananchi wachague mgombea wa ccm kwani kero zote katani humo zitatatuliwa ndani ya muda mfupi ikiwemo ya barabara na kuwa vifaa vimeshaanza kuwasili na kama hawaamini waende kwenye ofisi za chama wakajionee.

Kwani kabla ya hapo diwani alikuwa wa Chama gani? mpaka wanasema sasa akichaguliwa diwani yataletwa maendeleo fasta?
 
Taarifa za ujio wa Dr Slaa hapa Lwenzera kesho kwa ajili ya kuendelea kumnadi mgombea wa udiwani kamanda IBUGA zimezidi kuwa koroga zaidi ccm ambao mpaka sasa hawajazindua kampeni zao rasmi badala yake wanaendelea na kampeni za kificho.

Jana jioni lori moja likiwa na shehena kubwa ya culverts zilizotengenezwa kwa simenti liliwasili na kuzishusha mbele ya ofisi za ccm katani hapa.Nakuanzia hapo mkada wao wamekuwa wakipita katika miji na mitaa mbalimbali wakishawishi wananchi wachague mgombea wa ccm kwani kero zote katani humo zitatatuliwa ndani ya muda mfupi ikiwemo ya barabara na kuwa vifaa vimeshaanza kuwasili na kama hawaamini waende kwenye ofisi za chama wakajionee.

Slaa atakuwepo kesho hapa.

Nikiripoti kutoka uwanja wa mapambano na nikiwahakikishieni kuwa hatachomoka katika uchaguzi huu,ni mimi IDIMULWA wa JF
mkuu kama ni kweli wameleta hayo makalvert kwa ajili ya kampeni nawaombea washindwe kabisa. japokuwa ni ngumu sana kukuamini maana humu mavuvuzela ya chadema ni mengi mpaka huwa yanapotezaga hata ladha ya kusoma.
 
Mkuu kweli tufahamishe awali diwani alikuwa wa chama gani, na kuyaleta hayo makaravati kipindi hiki ni rushwa!!! wajiulize kilichowatokea Igunga baada ya Magufuli kuhaidi kujenga daraja endapo atachaguliwa mbunge toka Chukua Chako Mapema
 
Taarifa za ujio wa Dr Slaa hapa Lwenzera kesho kwa ajili ya kuendelea kumnadi mgombea wa udiwani kamanda IBUGA zimezidi kuwa koroga zaidi ccm ambao mpaka sasa hawajazindua kampeni zao rasmi badala yake wanaendelea na kampeni za kificho.

Jana jioni lori moja likiwa na shehena kubwa ya culverts zilizotengenezwa kwa simenti liliwasili na kuzishusha mbele ya ofisi za ccm katani hapa.Nakuanzia hapo mkada wao wamekuwa wakipita katika miji na mitaa mbalimbali wakishawishi wananchi wachague mgombea wa ccm kwani kero zote katani humo zitatatuliwa ndani ya muda mfupi ikiwemo ya barabara na kuwa vifaa vimeshaanza kuwasili na kama hawaamini waende kwenye ofisi za chama wakajionee.

Slaa atakuwepo kesho hapa.

Nikiripoti kutoka uwanja wa mapambano na nikiwahakikishieni kuwa hatachomoka katika uchaguzi huu,ni mimi IDIMULWA wa JF
hii inafanana na ile ya Igunga ya kuahidi kujenga daraja wakati wa uchaguzi, kwa mmujibu wa sheria mpya ya uchaguzi hii ni rushwa !
 
Kwani daraja la Mbutu limeshakamilika tayari? Wakamalizie kule Igunga ndiyo waje huku kwetu.
 
Hakuna kulala mwanzo mwisho ni kuwashughulikia nyinyiemu

  • :smash:
 
Back
Top Bottom